Wakuu,
Habari za asubuhi,
Hayati Magufuli alikuwa anaona mbali sana kuhusu hili gonjwa la corona, japo baadhi ya watu wa ndani ya nchi, mataifa jirani na nchi za magharibu walikuwa wakibeza sana misimamo yake.
Mshauli mkuu wa masuala kiafya wa uingereza kaona kujifungia ndani/lockdown...
Mabibi na mabwana pana habari za kutia moyo sana tokea kwa wale magwiji wa tiba ambako mh. Kabudi aliwahi kufuata dawa ya kutibu Corona kwa niaba yetu.
Hatimaye Madagascar rasmi wamejisajili leo kwenye ule mpango maarufu wa chanjo za bure COVAX...
Huu ni mfano mzuri sana kiuongozi, corona sio gonjwa la aibu hadi ufiche fiche mara sijui changamoto la kupumua na pumba zote....
ODM leader Raila Odinga is out of danger, having tested negative for Covid-19.
The news was announced on Wednesday, March 31, by the ODM party on social media...
Watafiti nchini Mexico wanadai kuwa wamebuni mtindo mpya wa Barakoa (mask) ambao utamuwezesha mtumiaji kuweza kula, kunywa na hata kuzungumza huku akiwa bado amejilinda dhidi ya Virusi vya Corona.
Barakoa hiyo ambayo imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii na kuitwa ‘maski za pua’ zilionekana...
Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara.
Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China...
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia.
My Take
Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.
Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi:
Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote.
Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu.
Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa.
Bila shaka huyu...
Rais wa Kenya na mke wake wamekuwa miongoni mwa Wakenya wa mwanzo kabisa kujipatia chanjo ya Corona
Hii ita motivate Wakenya wengi kupata chanjo na hatimaye kumaliza tatizo la corona nchini mwao .
Mungu ibariki Jamhuri ya Watu wa Kenya
Amani iwe kwenu wapendwa katika bwana.
Wakati tukiendelea kuomboleza msiba wa Jemedari wetu Dkt Magufuli, tuna kila sababu ya kutafakari sana kama taifa. Haiwezekani tupoteze watu maarufu na wakubwa hapa nchini kwa kipindi kimoja, sababu ya kupoteza hawa viongozi zinatajwa kuwa ni chronic...
Tunakumbushana tu hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mikusanyiko ya kila aina na majirani wa nchi jirani wanavuka mipaka kuja kuhani msiba huu mkubwa tulionao.
Tafadhali tuchukue tahadhari wenzetu Kenya hali ni tete.
Zaidi soma > Wataalamu wa afya wanahofia kuwa wagonjwa wengi wa Corona...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, watafiti wameonesha kuwapo uhusiano baina ya maambukizi ya corona na usingizi.
Utafiti uliofanyika awali ulionesha kuwa asilimia 40 ya watu waliopata maambukizi ya virusi vya corona walikuwa na matatizo ya kupata usingizi. Utafiti mpya unaonesha kuwa watu...
Nimekuwa nikifuatilia upokeaji wa chanjo ya corona Kenya toka ilipoanza kutolewa, hii ikanifanya nimtafute rafiki yangu wa Kenya kumuuliza kama wanaendelea kuvaa barakoa baada ya chanjo, na cha ajabu nilishtuka kupata jibu kwamba lazima uendelee kuvaa barakoa hata kama una certificate ya chanjo...
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.
Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:
Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.
Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.
Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
Kiongozi wa upinzani nchini Jamhuri ya Kongo (Congo-Brazzaville) na mgombea wa kiti cha urais amefariki kwa COVID-19 ikiwa ni saa chache tu baada ya vituo vya uchaguzi kufungwa.
Guy-Brice Parfait Kolelas alifariki akiwa kwenye ndege akipelekwa nchini Ufaransa kwa matibabu baada ya kuumwa. Saa...
Nimefuatlia sana ugonjwa wa korona tangu uingie!
Nilichogundua wazee wengi wa kiume ndo wanafariki zaidi ukiringanisha na wanawake!
Hii ni kutokana na ukweli kwamba, wanandoa wazee wanapopata changamoto za ugonjwa huo, akianza kufa mwanamke basi kama mme alikuwa naye wakati wa kuuguza naye...
Naombeni kuwakumbusha viongozi wetu pamoja na wasaidizi wa viongozi, MSIICHUKULIE POA CORONA, CHUKUENI HATUA MADHUBUTI KIPINDI HIKI CHA MKUSANYIKO WA MSIBA WA KUMUAGA HAYATI JPM.
Nanyi wasaidizi wa Rais mteule wa sasa Mh. Samia Suluhu, hakikisheni mnamlinda kwa gharama zozote na maambukizi ya...
Mabibi na mabwana tuko msibani.
Tusisahau kuwa pamoja na msiba, pana gonjwa linalotunyemelea. Gonjwa hili linataka barakoa na kuepuka mikusanyiko.
Tunapoomboleza tukumbuke tuna ugonjwa ungalipo na kwa hakika hatutajilaumu kwa kuchukua tahadhari.
Mikutano yote rasmi na isiyo rasmi pia...
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.