Muda mfupi kabla ya mpira kuanza, ripoti ya Corona imeonesha wachezaji nane wa Al MERRIKH ya Sudan wana maambukizi ya virusi vya Corona.
Kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Al Merrikh umeripoti kuwa wanaamini ni mpango wa kuwadhoofisha ambao umechezwa jambo ambalo limewafanya wapeleke file...
Baada ya subira ya muda mrefu, hatimaye ripoti ya timu ya wataalamu wa Shirika la Afya Duniani, WHO iliyopewa kazi ya kuchunguza chanzo cha maambukizi ya virusi vya corona inatarajiwa kutolewa wiki hii.
Ujumbe huo uliwasili Wuhan mwezi Januari kufanya uchunguzi kwa muda wa mwezi mmoja katika...
Mabibi na mabwana tuna cha kujifunza hapa:
Fact Sheet: President Biden to Announce All Americans to be Eligible for Vaccinations by May 1, Puts the Nation on a Path to Get Closer to Normal by July 4th | The White House
Habari yenyewe ni kuwa:
1. Marekani kuchanja wote kufikia May 1.
2...
Serikali ya Canada imesema Jana Alhamisi chanjo ya Astrazeneca ni salama na itaendelea kuitumia kwa wananchi wake licha ya nchi za ulaya Norway na Denmark kusitisha kuitumia kwa muda.
Canada ambayo imeagiza chanjo millioni ishirini za Astrazeneca imesema raia wake waliotumia chanjo iyo...
Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya, Raila Odinga amekutwa na maambukizi ya #COVID19 lakini anaendelea vizuri katika hospitali ya Nairobi ambako amelazwa
Odinga alilazwa tangu March 9 baada ya kuwa na uchovu mwingi na maumivu. Ambapo nduguze walisema hakuwa na dalili za shida za mapafu lakini...
Mganga mkuu wa Serikali Prof Makubi amesema serikali imeunda tume maalumu ya wataalamu itakayofuatilia masuala ya chanjo ya Corona.
Prof Makubi amesema tume hiyo itafuatilia masuala ya msingi yahusuyo chanjo hizo kwa muda wote hadi pale serikali itakapojiridhisha kama itumie chanjo hizo ama la...
Brazil imerekodi idadi kubwa zaidi ya vifo ndani ya siku moja vinavyotokana na virusi vya corona tangu kuanza kwa mlipuko.
Jumla ya watu 2,286 walifariki dunia ndani ya saa 24 pekee siku ya Jumatano na kufanya idadi ya vifo kufikia 268,370, kwa mujibu wa takwimu za Chuo Kikuu cha John Hopkins...
Ni muhimu kwa watanzania na Serikali yake kukubali chanjo ya corona ili kuepusha vifo vingi vya watu ambavyo vingeweza kuzuiwa.
Toka Janga la Corona lilivoikumba dunia, serikali ta Tanzania iliamua kutumia mbinu zenye kuhatarisha maisha, kama kuruhusu mikusanyiko ya watu, kutokupima watu corona...
Maeneo ya ndani, haswa mazingira ambayo uingizaji hewa ni duni au hakuna hewa, ni hatari kuliko maeneo ya nje
Sehemu zenye msongamano na watu wengi kama maeneo ya masoko
Mahali ambapo watu wamekaa pamoja kwa muda mrefu, wakiwa na mazungumzo ya karibu kama mikutano
Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona.
Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine kama vile kujifungua kabla ya wakati.
Njia bora ya wajawazito kujilinda na Virusi vya # Corona ni...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Kenya limeitaka serikali ya Kenya kukubali na kuruhusu kuruhusu chanjo zote halali za COVID-19.
Kwamba kanisa katoliki limeruhusu mtandao wa hospitali zake zote nchini Kenya kkutumika kama vituo vya chanjo za COVID-19
---
Catholic Bishops have now...
Nimefanikiwa kupata chanjo ya Corona hapa napoishi na kufanya kazi Dallas, Texas. Nimepata dose mbili za sindano kwenye bega ya kwanza tarehe 5 mwezi wa pili na ya pili tarehe 4 mwezi wa tatu. Nimepata chanjo kutoka kampuni ya Moderna. Nilivimba kidogo kwenye bega kwa mara zote lakini sijapata...
Mbona wenye lockdown bado wanafanya shughuli kama kawa?
Marekani tokea corona ianze hawajaacha kutengeneza filamu, na filamu zina watu zaidi ya 100 on set. Hawakuacha kufanya kampeni, japo midahalo ilikua na virtual attendees lakini mikutano watu walikua wanajaa tena wengine bila barakoa...
TAARIFA KWA UMMA
HALI YA MAAMBUKIZI YA COVID- 19 NCHINI TANZANIA NA HATUA ZA KUCHUKUA
Ndugu wanahabari!
Karibuni tena kwenye Ukumbi huu wa Shaaban Khamis Mloo ambapo CUF- Chama Cha Wananchi kinaongea na Umma wa Watanzania kwa mara nyingine kupitia kwenu.
Awali ya yote ningependa kumshukuru...
SERIKALI imesema inaendelea na jitihada za kukabili maambukizi mapya ya virusi vya Corona, vinavyosababisha ugonjwa wa COVID-19 kwa kutafuta tiba mbadala, huku ikibainisha kuwa licha ya kutumia njia za asili, inaukabili ugonjwa kisayansi pia.
Imenunua mashine mbili zenye thamani ya Sh bilioni...
Mabibi na mabwana na hasa mlio waungwana. Ufuatao ni upotoshaji wa wazi. Tuukatae upotoshaji huu tunapoendelea kuchukua tahadhari:
1. Taarifa sahihi kuhusiana na ugonjwa huu zinaleta taharuki.
Ukweli ni kuwa taarifa sahihi zinatuweka katika hali muafaka ya kukabiliana na tatizo lililopo.
2...
Ndugu wananchi wenzangu napenda kuwaambia tu na huko mitandaoni kumejaa habari na jipya,jamaa amepata chanjo za dozi mbili kasafiri amerudi kupimwa ameoneka positive almanusura azimie.
Hizi chanjo zipo kwenye majaribio na safari hii zinapelekwa direct kwa binadamu, ndio ikasemwa haata...
Wana jamvi amani kwenu !
Leo nachukua nafasi hii kumpongeza askofu mkuu Dkt. Barnabas W. Mtokamhali wa kanisa la TAG; kwa barua ya kumbukumbu TAG/MNM/GEN/45 ya tarehe 05 Machi 2021; kwenda Maaskofu wote wa Majimbo,Wakurugenzi wote wa Idara na Vitengo, Waangalizi wote wa Sehemu, Wachungaji wote...
Wana bodi,
Wimbi la pili la Korona limetupata bila kujiandaa lakini kwa walio wengi ilitokana na athari za kulegeza hatua za kujilinda kabla ya tatizo ku tokomea kabisa. Sidhani kama Tanzania tunaweza kuwa kwenye kundi hili kwasababu tangia mgonjwa wa kwanza kupata ungonjwa huu nchini hatuku...
Imeelezwa kuwa mafanikio yaliyopatikana ya hivi karibuni dhidi ya corona covid 19 iliyoitesa dunia kwa zaidi ya mwaka yanweza yote kupotea.
Sababu ya kwanza ni kutokana na watu wengi kulegeza tahadhari dhini ya ugonjwa huo na sababu ya pili ni kutokana na kuwa kile kirusi cha awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.