Wanafunzi waliomalizi kidato cha nne wamelala katika viwanja vya Uhuru Park jijini Nairobi baada ya kukamilisha mitihani yao ya mwisho.
Hii ni baada ya kushindwa kuendelea na safari yao ya kuelekea nyumbani baada ya muda wa amri ya kutotoka nje kuwapata wakiwa bado hawajaondoka mjini humo...
Habari JF,
Itakumbukwa siku za mwishoni za kuishi za mpendwa wetu, shujaa wa Afrika na mzee wa kuacha alama (legacy) katika kila alilokuwa anafanya hapa nchini watu wengi sana waliibuka kumpinga vikali juu ya uwepo wa second version ya covid 19 hapa nchini na duniani kote
Tanzia nyingi...
CHADEMA Wanataka mikutano ya hadhara wakati wanatangazia dunia nzima kuwa Tanzania kuna CORONA! Hivi wazungu watawaelewa hawa watu?
Lissu amekuwa akihojiwa na vyombo kibao vya kimataifa akisema Tanzania kuna Corona kweli kweli nyingi ya kutosha ila serikali inaficha taarifa! Ulaya sababu ya...
India imerekodi visa 200,739 ndani ya saa 24 zilizopita huku Hospitali nyingi zenye wagonjwa wa Virusi vya Corona zikiripoti uhaba wa vitanda na Oxygen
Taifa hilo linakabiliwa na wimbi jipya la maambukizi ambalo kitovu chake ni Maharashtra, lilipo Jiji la Mumbai. Zaidi ya robo ya maambukizi ya...
Kwa hakika maradhi ya corona yameutikisa ulimwengu pakubwa sana. Kama ilivyo kwa maradhi yenyewe kutokueleweka vyema, pia na chanjo zake zimekuwa za kubahatisha sana kiasa kwamba tunaweza tukaziita chanjo za ovyo.
Chanjo 4 kubwa ndizo ambazo zimeshatangazwa na kuuzwa nje ya nchi...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19
Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha...
👉 Upinzani wa mtandaoni (keyboard opposion) ukiongozwa na Kigogo, Maria Sarungi na fatuma karume ulilipigia sana kelele ila sasa hawalizungumzii kabisa licha ya serikali kutokubadilisha msimamamo wake juu ya janga hili
👉 Viongozi mbalimbali wameondoka katika kipindi cha hivi karibuni huku...
Habari Wadau!
Repoti ya CAG imemchafua sana Hayati JPM na kwa kuwa kashakufa hana pa kujitetea wapo tunaotamani hata tukamfufue ili aje kumjibu Kicheree.
Lakini sasa hayupo hata tukimtuhumu ni kazi bure, tunajichumia wenyewe dhambi na malipo ya dhambi ni hapa hapa duniani.
Ila sasa kwa...
Pamoja na kwamba maambukizi ya maradhi ya corona nchini Brazil kutajwa kuwa makubwa na kwamba siku ya Ijumaa pekee watu zaidi ya 4000 walikufa kutokana na athari za maradhi hayo.
Pamoja na hivyo nchi hiyo imeamua kufungua kila kitu ikiwemo mashule na mighahawa ili shughuli ziendelee.
Hatua...
Mahakama Kuu nchini Brazil imeamuru Baraza la Senate kuchunguza jinsi serikali ya nchi hiyo ilivyodhibiti maambukizi ya virusi vya corona, huku ikikataza makanisa kufunguliwa na kuzidisha uwezekano wa kuongeza mvutano baina ya Rais Jair Bolsonaro na mhimili wa mahakama.
Uchunguzi huo utahusisha...
Jana tarehe 7.4. 2021, Radio DW iliutangazia ulimwengu kwamba Ujerumani imepata maambukizi mapya ya Corona kwa kiwango kikubwa sana na wanajiandaa kusitisha baadhi ya shughuli ili kujikinga na maambukizi.
Kutokana na taarifa hiyo, naomba mnisaidie kujibu maswali haya:
(1) Je, Ujerumani...
Juzi nilialikwa na kushiriki kwenye mdahalo wa ‘Zoom’ ulioandaliwa na Nadj Media Center. Mjadala ulikuwa mzuri na mkali sana.
Kwa kuanzia nataka ieleweke kuwa nilichokisema hakina lengo la kufubaza heshima (legacy) ya mtazamo/msimamo wa hayati Rais John Magufuli hata kidogo.
Niliunga mkono sera...
Kamati iliyoahidiwa na mheshimiwa Rais Samia Suluhu ya kuchunguza corona inabidi iweke hadidu rejea zake kwa umakini bila kupendelea upande wowote.Mambo yafuatayo ni muhimu kuyaweka kwenye utafiti wao.
Jinsi corona inavyoambukiza watu wa rika tofauti na sababu zake?
Je, dawa za kiasili...
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu.
Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au tunakaa na si kusikia habari tu za nchi nyingine na ikifika kwa Tanzania hamna kitu.
Rais Samia...
Tulipopiga kelele kuhusu hili suala tulionekana ni mazuzu, viongozi wa Bakwata walikuwa busy kumsifu na kumtukuza mfalme huku wakisema hili jambo ni story za kitaa. Muda ni mwalimu mzuri, haya wote tuongee lugha moja sasa.
========
Mamlaka za nchini Saudi Arabia zimesema watu waliopata chanjo...
Seven deaths in UK among AstraZeneca jab recipients after blood clots
SATURDAY APRIL 03 2021
This picture shows vials of the AstraZeneca Covid-19 vaccine in Paris on March 11, 2021.AFP PHOTO
By AFP
The UK medical regulator said Saturday that out of 30 people who suffered blood clots after...
Afisa Mkuu wa Tiba na Mshauri wa Tiba wa Uingereza, Chris Whitty amesema hakutakuwa na lockdown wataishi na #COVID19 kama mafua.
Ameshauri Serikali yake kujifunza kuishi na #CoronaVirus pia amesema vinavyotajwa kuwa virusi vipya ni uongo.
======
The idea that Covid variants can be stopped...
Madagascar imeamua kubadili mtazamo wake juu ya kukabiliana na virusi vya corona na kujumuika na jitihada za kimataifa kupata chanjo ya corona.
"Kuna hatua kadhaa ambazo inabidi kupitia kabla ya kupata chanjo hiyo lakini kujisajili ndio jambo la msingi na hatua muhimu kabla ya kupata chanjo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.