corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel amjibu Fr. Kitima kuhusu Corona. Amkosoa na kumuelimisha maana ya UKWELI

    Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv. Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima. Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria...
  2. J

    ATCL kuanza safari za China tarehe 20/03/2021, wasafiri kupimwa Corona mara mbili ndani ya saa 48 kabla ya safari

    Hii ni habari njema kabisa kwa shirika letu la ndege. Mkurugenzi mkuu wa ATCL amesema shirika lake litaanza safari za China tarehe 20 mwezi huu. Bwana Matindi amesema wasafiri watalazimika kupima Corona mara mbili katika muda wa saa 48 kabla ya kuanza safari. Chanzo: ITV habari Maendeleo...
  3. Erythrocyte

    Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

    Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona . Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na...
  4. comte

    Wachezaji wa Simba wapimwa corona huko Sudan na majibu yanaonyesha hawana

    Kwa nyakati tofauti katika mashindano ya Kimataifa kama Ligi ya mabingwa Afrika na mengineyo kunakuwa na madai ya figisu inapofika kwenye vipimo vya covid 19. Kikosi cha Simba kilifanya vipimo hivyo jana Februari 4 asubuhi katika kambi yao hapa katika hoteli ya nyota tano ya Al Salam. Majibu...
  5. Erythrocyte

    John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
  6. E

    Nchi karibu zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. teyari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua nchini mwao kwa GULF air majuzi. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona Pia shirika...
  7. MK254

    Mkenya wa kwanza (Mkurugenzi Mtendaji wa Wizara ya Afya) apokea chanjo dhidi ya Corona

    Nitafikiwa lini jameni, hebu tuambiwe wapi tupange foleni, sisi tumeelimika na tunafuata mbinu za kisayansi, hatupo radhi kutolewa kafara kwa misingi ya imani ya mtu mmoja, jameni dini zipo nyingi na kila mtu ana imani yake na Mungu wake, ila serikali ipo kwa ajili ya kuongoza kwa misingi ya...
  8. denooJ

    KKKT yasitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka ili kuepuka maambukizi ya Covid-19

    Askofu Dkt. Frederick Shoo Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt. Frederick Shoo, ametangaza kusitisha matamasha yote yanayoambatana na maadhimisho ya Pasaka, lengo likiwa ni kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19. Alitoa agizo hilo katika ibada ya...
  9. E

    Nchi zote duniani sasa zinapigana kumbo kuagiza chanjo ya Corona

    Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni kuingia nchini mwao pasi na kupata chanjo hiyo ya Corona mfano Saudi Arabia, Imetangaza wazi kabisa...
  10. B

    Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

    Mabibi na mabwana takwimu ni muhimu kwa binadamu kuweza kujitathmini au hata kuchukua tahadhari mahsusi. Jana Baraza la maaskofu TEC limetoa takwimu zao. Ndani ya siku 60 zilizopita kanisa katoliki peke yake limepoteza Mapadre 25 na Masista 60. Wapumzike kwa amani waja hawa wa mola. Mapadre na...
  11. Cannabis

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki Kenya watoa tamko la kupinga chanjo ya corona

    Umoja wa Madaktari wa Kikatoliki nchini Kenya umetoa tamko la kupinga utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 kwa madai ya kulinda afya za watu na utakatifu wa maisha. Tamko hilo limesema wanaona kuna nia isiyo njema na upotoshaji katika zoezi zima la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa...
  12. Sam Gidori

    Brazil yashuhudia idadi kubwa zaidi ya vifo vya corona kwa siku ya pili mfululizo

    Brazil imeendelea kuweka rekodi ya vifo vingi kwa siku ya pili mfululizo baada ya kurekodi vifo 1,910 siku ya Jumatano pekee, huku watu 71,704 wakipata maambukizi mapya. Hii ni baada ya vifo vya watu 1,641 siku ya Jumanne pekee, kwa mujibu wa takwimu za Wizara ya Afya ya taifa hilo, ikiwa ni...
  13. Erythrocyte

    Wenzetu waanza kupewa kadi za kuthibitisha wamepata chanjo ya Corona kama Jumuiya ya Kimataifa inavyoelekeza

    Kama wote mlivyokwisha sikia kwamba kuna maeneo bila kuwa na ushahidi kwamba umechanjwa ili kujikinga na Corona hutakanyaga wala kutia pua yako, basi nchi zilizostaarabika na kuamua kufuata mwongozo wa WHO zimeanza kuwapa kadi za uthibitisho wa chanjo raia wake waliochanjwa ili wawe huru...
  14. B

    Corona: Vifo vinazuilika tusijitabirie kwenye nadharia za kijinga

    Mabibi na mabwana ujinga si tusi bali ni hali halisi ya kuwa na uelewa mdogo au kutokuwa na uelewa kabisa kuhusu jambo fulani. Hayupo binadamu mmoja asiyekuwa na ujinga katika mambo yote. Kwamba kila mtu atakufa? Hilo ni dhahiri. Lakini halina maana kuwa tujifie tu hata kama ni kwa...
  15. J

    Changamoto: Mazrui aapishwa kuwa Waziri wa afya Zanzibar; Je, Zitto Kabwe atamshawishi alete chanjo za Corona?

    Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee. Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar. Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa...
  16. M

    Baada ya Sauti ya Wakatoliki kunena kiume jana, kuanzia leo wasianze Kutishwa na Wanasiasa kwani yatawakuta zaidi ya Corona

    Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala (za Kisiasa) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa...
  17. Z

    Ukisema kuwa Tanzania haikushinda corona phase one, utakuwa muongo; huna shukrani kwa Mungu

    Nimeona watu wakilaumu wakituna na wengine kudhihaki kwamba serikali haijawa serious huhusu Corona. Sisi tunaojua maana ya outbreak tunajua kwamba kwanzia mwezi wa 7 mpaka 12 hakuwa na Visa vya Corona. Wengine sisi ni watoa huduma za afya ni mashahidi kabisa kwamba Corona iliisha. Mungu...
  18. mwanzo wetu

    Ofisi za ngazi ya kata, Tarafa na, wilaya tabu sana

    Habari za wakati wakuu. Mimi nimejifunza jambo, Nimetembelea karbuni ofis nyingi apa nchini kuanza na ofis za Chini yaan kata,Tarafa, Wilaya, Mkoa mpaka zile za ngazi ya juu, nilichojifunza watu wanaoishi ktk ofis za Kuanzia kata, Tarafa, Wilaya Hawa watu hawpo charming kwa mteja wao ni watu...
  19. Sam Gidori

    Twitter kuanzisha mfumo wa kupambana na taarifa potofu kuhusu chanjo ya corona

    Twitter imesema kuwa inaanzisha mfumo mpya wa kubaini na kuondoa machapisho yanayopotosha kuhusu chanjo ya COVID-19 na kuwafungia watumiaji wa mtandao huo watakaoonekana kusisitiza kuenea kwa habari za uongo. Kampuni hiyo yenye makao yake San Fransisco nchini Marekani imesema katika chapisho la...
  20. Erythrocyte

    Uzalendo: BAWACHA yaahirisha Kongamano lililopangwa kufanyika Iringa kuadhimisha siku ya Wanawake dunia ili kuzuia maambukizi ya Corona

Back
Top Bottom