#COVID19 ITV News Uingereza yaeleza hali ya Corona Tanzania

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.

Tukizika kichwa chini takoni haipiti
IMG-20210327-WA0042.jpg
 
Si ajabu April itatisha sana kwa idadi ya maambukizi na vifo. Tunaweza kuwakimbiza Brazil au hata kuwazidi.
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua W nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
 
Vyombo vya habari vya kimataifa vimetangaza kuwa Tanzania inachukuliwa na upepo wa corona kwakua W nchi hiyo imeamua kuzika kichwa chake ardhini.

Waandishi wa habari hao walitembelea Tanzania na kujifanya ni Watalii. Walipohoji raia umuhimu wa kuvaa barakoa, wengi walisema wanamuamini Mungu.
Sky Eclat

Amka mkuu. Kwenye ugonjwa wa covid-19 wajuaji wamebebesha biashara 'ZAO' hapo. Chunguza kidogo tu, maandishi yapo ukutani.
 
Back
Top Bottom