Corona: Hatua mpya hii ya Jafo ni ya kuigwa

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,823
35,829
Mabibi na mabwana kujifunza na kuchukua hatua bado ni jambo la kheri sana.

Pichani ni yule mpiga nyungu mbobezi:

Jafo.PNG


Kwamba anaisifia mvua? Ni wazi kuwa kuna jambo limemsibu.

Tusiwe ving'ang'anizi kama luba.

Heko Suleiman Jaffo kwa kutambua kuwa mabarakoa na social distancing vitatuvusha salama.
 
Tabora" mheshimiwa Rais nyungu kama kawaida na Jumatatu tunaaanza phase three kwa siku saba". Huyu ndiye Selemani Said Jafo akiyejaa wingi wa msamiati mdomoni lakini vitendo vichache. Hatutakiwi kupambana na kupingana na dunia bali kusikilizana na kushauriana nayo.
 
Back
Top Bottom