corona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Je, ni virusi vya Corona au ni watu wenye ubaguzi wa rangi?

    Maambukizi ya virusi vya Corona yamefichua unafiki kuwa nchi zile zinazopinga vikali ubaguzi wa rangi ndio zenye vitendo vibaya zaidi vya ubaguzi wa rangi. Wakati virusi vya Corona vilipogunduliwa kwa mara ya kwanza mjini Wuhan, China, wao walitoa kauli ya ubaguzi kama “virusi vya China”...
  2. Miss Zomboko

    Uingereza: Vifo vitokananvyo na Unywaji Pombe vyaongezeka baada ya Watu kuwekwa Karantini ya Majumbani

    Inaelezwa kuwa kuongezeka huko kumeanza baada ya watu kutakiwa kukaa majumbani ili kuzuia maambukizi zaidi ya ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona. Taarifa ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (ONS) zinaonyesha kuna vifo 7,423 chanzo kikiwa ni unywaji pombe sawa na ongezeko la...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia Suluhu ahutubia Mabunge ya Kenya: Biashara kushamiri, Vikwazo Mipakani kutatuliwa, Udugu kudumishwa

    Analihutubia Bunge la Kenya litakalojumuisha Wabunge wa Mabunge yote mawili ya nchi hiyo. ======= Rais Samia Suluhu Hassan Nina furaha kubwa kupata nafasi ya kuhutubia kikao cha pamoja cha Bunge la Seneti na la Kitaifa Nchini Kenya - Tanzania tuna Bunge moja. Kwangu, ndio mara ya kwanza...
  4. beth

    WHO: 46% ya maambukizi ya Corona wiki iliyopita yametoka India

    Shirika la Afya (WHO) limesema takriban nusu ya maambukizi ya Virusi vya Corona yaliyorekodiwa duniani wiki iliyopita ni kutokea Nchini India WHO imesema India imerekodi 46% ya maambukizi ulimwenguni pamoja na 25% ya vifo vyote vilivyoripotiwa wiki iliyoisha. Katika saa 24 zilizopita, watu...
  5. FRANCIS DA DON

    Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

    Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge By Christopher Rowland May 4, 2021...
  6. beth

    India: Maambukizi ya Corona yafikia Milioni 20

    Hospitali zinaendelea kuomba misaada ya dharura ya Oxygen huku Mamlaka za Mji Mkuu wa Delhi zikitoa rai kwa Jeshi kuwasaidia kukabiliana na mlipuko. Taifa hilo lina maambukizi zaidi ya Milioni 20. India ambayo inashambuliwa vikali na wimbi la pili la maambukizi ya Virusi vya Corona imerekodi...
  7. Analogia Malenga

    Agizo: Wasafiri watakaoingia nchini watakaa karantini siku 14 kwa gharama zao

    Serikali ya Tanzania hii leo imetoa mwongozo mpya kuhusu ugonjwa wa corona ambapo wasafiri watakaokuwa wanatoka katika nchi zenye maambukizo ya virusi vipya vya corona watatakiwa kukaa karantini kwa siku 14. Mwongozo huo uliosainiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya ya nchi hiyo Profesa Abel...
  8. J

    Jamani huko Kenya corona imepungua?

    Nauliza tu nikiwa kama mtanzania mzalendo maana juzikati tuliambiwa Corona imepamba moto na county kadhaa ziko kwenye lockdown. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  9. GENTAMYCINE

    Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Uchumi wa Tanzania umeshuka kutokana na Corona na ndiyo maana Mishahara inapigwa tu 'Danadana' Kupandishwa

    Ninachojua GENTAMYCINE kwanini Mishahara imekuwa ikipigwa tu 'danadana' Kupandishwa kwa Watumishi nchini tokea 2016 hadi tarehe 17 March, 2021 ni...... 1. Kukurupuka kuanzisha Miradi 2. Kuwekeza zaidi Chato 3. Kukomoa Matajiri wakubwa 4. Ufisadi mkubwa tu Serikalini 5. Kuharibu Mifumo ya Pesa...
  10. beth

    Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  11. beth

    CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  12. B

    Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  13. The Father of All

    Bunduki ni zaidi ya Corona Marekani

    Wanangu wana jamvi. Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Wanasema kwenye nembo ya taifa lao IN GOD WE TRUST. Ila kiukweli inapaswa iwe IN GUN WE TRUST. Wanapenda sana bunduki kiasi cha kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wanachukia ugaidi wa nje lakini wanafanyiana ugaidi wa ndani kwa kutumia...
  14. B

    Corona: India kinaponuka sisi tuna cha kujifunza?

    Mabibi na mabwana corona imepiga katika mataifa yote, lakini hili la India ni hatari tupu: https://www.bbc.com/news/world-asia-56919924 Wenzetu India wananyolewa vilivyo hivi sasa. Je sisi tunatahadhari au mikakati ipi kutoangukia kwenye zahama kama hili? Tume ya Corona ya mama iko wapi...
  15. M

    Amnesty International wanajaribu kuishinikiza Tanzania kununua chanjo ya Covid-19

    Ukitembelea tovuti ya Amnesty International ukurasa wa Tanzania utakuta wamebandika andiko wakitaka kamati iliyoundwa ya corona itumike kuhakikisha kuwa Watanzania wanachanjwa chanjo ya corona. Kinachonishangaza ni kuwa mataifa ya nje yanaongeza sana shinikizo kwa mama kuhusu corona. Wanaingia...
  16. Jidu La Mabambasi

    CORONA toka India, tuchukue tahadhari kubwa!

    Kumbumbu zangu zinasema CORONA iliingia kwa nguvu toka India mwaka jana, baada ya kuwepo tamasha la Diwali lililoalika watu toka India kwa wingi. Tanzania na India tuna mahusiano makubwa ya kibiashara na watu wengi huja na wengine kwenda India. Sasa hivi gonjwa la covid linatesa huko India...
  17. jitombashisho

    Kwa hali ya Corona na kimbunga Jobo, nimeamini Tanzania inalindwa na Mungu

    Hivi mimi ni nani hadi nisishuhudie maajabu ya Mungu kwa Nchi yetu! Kwa sisi tunaosafiri hasa Nchi za wenzetu kwa namna wanavyohangaishwa na Corona na ukiringanisha na namna tunavyoishi hapa kwetu Tanzania hakika mapenzi ya Mungu kwa Nchi yetu ni mema sana. Hilo la kimbuga Jobo pia kutokuleta...
  18. Analogia Malenga

    Kimbunga Jobo: Kamisheni ya kukabiliana na maafa Zanzibar yawatahadharisha wananchi

    Mamlaka za hali ya hewa zimeendelea kutaka wananchi wachukue tahadhari dhidi ya kimbunga JOBO ambacho kwa sasa kipo umbali usiozidi km 400 kutoka mwambao wa Bahari ya Hindi. Kamisheni ya Maafa Zanzibar imetoa tahadhari kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vya usafiri baharini kutokana na uwepo wa...
  19. Ngaliwe

    Hayati Magufuli alikuwa sawa kwenye suala la covid19. Makampuni yaliyotengeneza vipimo vya covid19 yashitakiwa kwa kuwa vipimo vina kasoro

    https://www.newsafrica.net/sections/international/was-tanzania-vindicated-over-covid-testing-claims HAYATI JPM ALIKUWA SAWA KWENYE SUALA LA COVID19: MABEBERU YAMEKUBALI Christian Drosten na watengenezaji wenzie wa vipimo vya Corona maarufu kama " PCR Test" wamefunguliwa mashtaka katika...
  20. Nyendo

    Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 za Corona

    Sudan Kusini yaharibu chanjo 60,000 Corona. Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopitaImage caption: Sudan Kusini Salva Kiir alipokea chanjo ya corona wiki iliyopita. Sudan Kusini imeharibu chanjo za virusi vya corona aina ya AstraZenica ikisema kuwasili nchini humo...
Back
Top Bottom