changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  2. JamiiForums Tanzania I am addicted to Single Mothers

    1. Huyu nilimpa 2018. Nilimpata akiwa ananyonyesha. Alinipa sababu ya yeye kuachana na baba mtoto ni kwasababu alimuacha tu akaenda kuoa kwengine ila alinishangaza, maana nilimkuta na mtoto wa kunyonyesha. Nilijiuliza, Sasa aliachwa lini na baba mtoto akaoa lini, HAYANIHUSU MI NACHOHITAJI NI...
  3. JamiiForums Tanzania Unatatua vipi changamoto ya housegirl mwenye mtoto?

    Nawasalimu katika jina la aliye juu wapendwa! As the topic is concerned, how do you handle changamoto za housemaid mwenye mtoto nawe una watoto? Ni wiki mbili sasa niko na dada wa kazi mwenye mtoto tena mtoto mdogo guys mdogo sana. Ni baada ya connections zote kufeli so sikuwa na namna majukumu...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Changamoto za wanufaika wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    NHIF NI KILIO KINGINE CHA WATUMISHI Kwanza nianze kwa kuishukuru serikali kwa kuanzisha huduma za bima kwa njia ya bima yaani NHIF ambapo watumishi umma kwa LAZIMA hukatwa bima ya afya bila chaguo la aina ya bima, nashukuru kwa sababu inatusaidia tofauti na kutoa hela zetu mfukoni hata kama...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, changamoto zinazohitaji kutatuliwa bado ni nyingi TAMISEMI

    Wanasema wajuzi, "Charity begins at home" Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua. Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG. Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
  6. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Sisi mpinzani wetu siyo vyama vya siasa ni changamoto za Watanzania

    “Sisi Mpinzani wetu sio Vyama vya Siasa, Mpinzani wetu ni changamoto za Watanzania leo ukizungumza Watumiwhi wana manung’uniko kuhusu mishahara yao, wana manung’uniko kuhusu kupanda madaraja kwa miaka mitano hawajapanda madaraja, leo ukizungumza kuhusu bodi ya mikopo unaona sheria ilikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Majaliwa: Sekta ya Utalii ilikumbwa na changamoto ya ukuaji kutokana na janga la Corona

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Utalii ni miongoni mwa sekta za kiuchumi zilizokumbwa na changamoto ya ukuaji kwa mwaka 2020/21 kutokana na janga la COVID19 Ametaja baadhi ya hatua zilizochukuliwa na mataifa mengine duniani ili kujikinga ni pamoja na kufunga mipaka, kusitisha...
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

  10. JamiiForums Tanzania Changamoto za ndoa

  11. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la pembejeo za kilimo, Rais kaongopewa na ni hatari kwa taifa

    Leo wakati Mhe. Rais Samia Suluhu wakati anaawaapisha Makatibu/Manaibu na viongozi wa Utumishi alihutubia na kuzungumzia changamoto za baadhi ya Wizara alizungumzia kwa ufupi sana Changamoto za KILIMO. Amesema kuna changamoto ya Nzige kwa majirani hili si TATIZO la MKULIMA wa Tanzania. Amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kufanya biashara ya kukopesha au umeshaanza ila una changamoto? Njoo nikushauri la kufanya

    Kuna watu wanafikiria kuanzisha biashara ya mikopo, wengine wameanza tayari ila wamekutana na changamoto nyingi sana na wengine ila wengine wana maswali mengi hukusu biashara hii Njoo nikushauri namna ya kuanzisha biashara hii na nitakushauri pia wewe ambaye umekutana na changamoto
  13. JamiiForums Tanzania Ndoa zina changamoto nyingi sana

  14. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa namna ya kuendana na mwanaume mwenye changamoto za kiuchumi

    ...
  15. JamiiForums Tanzania CCM Inakabiliwa na Changamoto ya Kukosa Viongozi Wawili... Litaathiri Utendaji wa Samia?

    Na. M. M. Mwanakijiji Pamoja na kuwa Taifa limepoteza Rais wake kufuatia kifo cha Rais John Pombe Magufuli Chama cha Mapinduzi kinakabiliwa na changamoto ambayo kama chama hakijawahi kuipitia. Kwa mara ya kwanza Chama cha Mapinduzi hakina Mwenyekiti wake na hakina Katibu Mkuu wake. Ikumbukwe...
  16. G

    JamiiForums Tanzania Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho

    Napata changamoto ya kuomba kuhitimu baada ya kuwa na carryover mwaka wa mwisho
  17. JamiiForums Tanzania Changamoto mbalimbali za maisha ya ndoa. Hii ni changamoto inayonikabili, karibu na wewe utueleze yako tuzitatue

    Mke wangu amepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo nchini Uingereza ambako sasa ana miezi miwili tangu aondoke. Alipoondoka alimleta mama yake mzazi kutoka huko kwao, Kaskazini mwa nchi ili aje hapa nyumbani (sikuelewa haswa dhumuni la ujio wake) maana dada wa kazi yupo, house boy yupo, na mtoto...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Ota jua la asubuhi, kuepuka changamoto ya kukosa usingizi

    Jua ni muhimu katika uzalishaji wa Homoni ya Melatonin ambayo hudhibiti mzunguko wa usingizi. Inaelezwa kuwa jinsi mwili wako unavyoweza kuzalisha Melatonin za kutosha ndivyo mfumo wako wa usingizi unavyoimarika. Pia mwanga wa jua huchochea seli kwenye ngozi na kuzalisha Vitamin D...
  19. JamiiForums Tanzania Wanywa soda tuheshimike

    Kwa niaba ya sisi wanywa soda na vinywaji laini, naomba kufikisha malalamiko yetu kwa mheshimiwa mwenyekiti kuhusu vitendo visivyo vya staha ambavyo tumekua tukifanyiwa na jamii. Kati ya kadhia kubwa tunazokutana nazo ni hizi zifuatazo; 1. Kudharaulika na kuonekana hatuna hela/tumefulia. Hili...
  20. JamiiForums Tanzania WEIZEI: Changamoto ya uzushi imeondoa changamoto ya Kupumua nchini?

    Nimewahi kusikia Wachina wanamsemo unaitwa WEIZEI wakiamini kwamba katika kila janga/ tatizo/ taharuki kuna fursa. Kwa mtazamo wangu taharuki dhahania inayotengenezwa kuhusu kuugua/ mahali alipo Mkuu wetu na kusingiziwa vifo kwa viongozi wa upinzani, nikiiangalia Kichina naona kuna fursa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…