Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa na imani?

mtoto wa mchungaji

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
279
480
Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi.

Mtoto wa Mchungaji sielewi.
 
Ndo utwana huo wa mtu mweusi kukataa mizimu yetu, kuletewa Mungu Mpya, kutumia lugha isiyo kilugha chetu, kuyatekeleza majina yetu ya asili na kujipachika ya wageni, kutupilia mbali hata mazuri ya mababu na bibi zetu, kuacha tambiko na ngoma za kutuliza mizuka n.k
 
Hapo unazungumzia Utamaduni (Culture)

Hakuna jamii ambayo haikuwa na Culture yake Duniani. HAKUNA

Kilichotokea ni Domination, yaani jamii moja iliyokuwa na Nguvu kudominate jamii nyingine, hasa kama hiyo jamii yenye nguvu ilikuwa na nguvu ya kiichumi na kiteknolojia.

Kuna Faida nyingi na Hasara pia ya hii domination, kwa mfano tu:-

Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k

Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.

Wapo ambao huwa wanaponda sana Western Culture na kujifanya kutetea Old African Culture lakini Western culture ndio imewafumbua macho na kuiona dunia kama ilivyo sasa.

Kwa mfano ukiulizwa tu

''Ngoma za Asili'' au ''Vigodoro'' na mambo ya kucheza na Nyoka vina umuhimu gani sasa??
 
Mtoto wa Mchungaji sielewi.
Sio kweli kabisa ukisoma historia waafrika ndio binadamu wa kwanza kustaarabika.. Soma hizi
 
Ndo utwana huo wa mtu mweusi kukataa mizimu yetu, kuletewa Mungu Mpya, kutumia lugha isiyo kilugha chetu, kuyatekeleza majina yetu ya asili na kujipachika ya wageni, kutupilia mbali hata mazuri ya mababu na bibi zetu, kuacha tambiko na ngoma za kutuliza mizuka n.k
Watu weusi tuache unafiki, Mizimu yetu ilitusaidia nini?

Nani anayetukataza kuiabudu hata leo?

Lugha yetu haikuwa strong na hakukuwa na mikakati yoyote ya kuisambaza Duniani ili iwe na waongeaji wengi.

Tungekuwa na uwezo wa kutawala (Conguering) kokote Duniani tungeacha lugha yetu ikizungumzwa huko, sasa tuliokuwa Watumwa sisi tungeweza nini zaidi ya kupokea vya kuletwa?

Kama mizimu ina umuhimu tuirudie wala hakuna Mzungu atakuzuia uone kama tutatoboa kwenye Dunia hii. Ndio huko kupiga nyungu n.k
 
Mtoto wa Mchungaji sielewi.

Je, Dunia ilianzia Mashariki ya Kati?
 
Sio kweli kabisa ukisoma historia waafrika ndio binadamu wa kwanza kustaarabika.. Soma hizi
Nimeona, ila nimeona inasema dini zote zimeanzia mashariki ya kati, hili si kweli hata kidogo kuna dini hazimjui mtume Mwamedi wala Yesu kama Hindu na imani za Japani, Uchina na Asia na wamebarikiwa sana kama Korea Kaskazini hakuna Yesu, wala Mtume Mwamedi wala Mtume Paulo lakini anamtetemesha ninyi mnayemwita supa pawa.
 
Haisee ukitafiti sana utagundua hilo lakini si tuligundua moto kwa kupekecha vijiti 🔥🔥🔥
 
Hapo unazungumzia Utamaduni (Culture)

Hakuna jamii ambayo haikuwa na Culture yake Duniani. HAKUNA

Kilichotokea ni Domination, yaani jamii moja iliyokuwa na Nguvu kudominate na jamii nyingine, hasa kama hiyo jamii yenye nguvu ilikuwa na nguvu ya kiichumi na kiteknolojia.

Kuna Faida nyingi na Hasara pia ya hii domination, kwa mfano tu:-

Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k

Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.

Wapo ambao huwa wanaponda sana Western Culture na kujifanya kutetea Old African Culture lakini Western culture ndio imewafumbua macho na kuiona dunia kama ilivyo sasa.

Kwa mfano ukiulizwa tu

''Ngoma za Asili'' au ''Vigodoro'' na mambo ya kucheza na Nyoka vina umuhimu gani sasa??
Ndugu kuna mambo huyajui na hivyo ndiyo walivyofanya hili usijue na hata ukielezwa utakataa.
Sasa kwa taarifa yako hakuna kitu chochote ambacho walikileta wazungu kwetu ni kizuri hakuna labda katika short run inawezekana kilionekana kama kizuri lakini nia zao ni hovu tangia mwanzo.
Angalia ubaya wa vitu vyao kwetu alafu linganisha na hivyo ulivyosema: Utumwa, Ukoloni, Imperialisimu, Ubepali, Industrialization, Democrasia, Elimu. unavielewa hivi vitu kiundani?
 
Conguering ndiyo mdudu gani tena? Ulikuwa unamaanisha Conquering siyo! Kwa nini usingeandika tu kiswahili? Shida sana!
 
Ndugu kuna mambo huyajui na hivyo ndiyo walivyofanya hili usijue na hata ukielezwa utakataa.
Sasa kwa taarifa yako hakuna kitu chochote ambacho walikileta wazungu kwetu ni kizuri hakuna labda katika short run inawezekana kilionekana kama kizuri lakini nia zao ni hovu tangia mwanzo.
Angalia ubaya wa vitu vyao kwetu alafu linganisha na hivyo ulivyosema: Utumwa, Ukoloni, Imperialisimu, Ubepali, Industrialization, Democrasia, Elimu. unavielewa hivi vitu kiundani?
Mimi nimeshataja hapo, niambie ni tamaduni gani nzuri aliyokuwa nayo Mwafrika ambayo ingetusaidia mpaka sasa.

Zitaje tuendelee
 
Mtu Mweusi kadri anavyoongeza elimu ndivyo anavyodhidi kuikataa asili yake.....Watu kadri wanavyopata elimu ndio wanazidi kuzipenda asili yao.......

Kuna tatizo kubwa katika mfumo wetu wa elimu barani Africa...
 
Binafsi naona European culture ilileta faida kubwa Africa kuliko Hasara. Utamaduni wa kizungu katika Imani iliambatana na Elimu (Formal Education), Ujenzi (Informal Edu), Afya na ujenzi wa zahanati kongwe na imara, kuzuia Ukeketaji tangu enzi (Genital Mutilation), Kusomesha watoto wa kike n.k

Hasara za Tamaduni za Kiafrika zilikuwa ni nyingi na hatari kwa mfano, Elimu hii ya formal (KKK) haikuwa muhimu, Ukeketaji ulikuwepo katika makabila almost yote, Mwanamke hakuonekana na Umuhimu zaidi ya kuolewa na kuzalishwa tu, Uuaji wa Albino ulikuwepo throughout Africa hasa Western Africa, ukatazwaji wa kula baadhi ya vyakula vyenye virutubisho muhimu kisa mila potofu.

Mkuu kweli wazungu wamekuchukua brain / bongo zetu na kutuachia body / mwili .

Kaa chini kidogo utulie na kutafakari tena na tena .

Tazama hii clip ya itakufanya ufikiri kivingine, utaona kile ambacho umeshindwa kukiona :

Mtu Mweusi kadri anavyoongeza elimu ndivyo anavyodhidi kuikataa asili yake.....Watu kadri wanavyopata elimu ndio wanazidi kuzipenda asili yao.......

Kuna tatizo kubwa katika mfumo wetu wa elimu barani Africa...

Na kuamini kila chake / cheusi ni kibaya ila vya wenzie ni vizuri, hajabaini hata elimu anayopewa inamfanya azidi kuwa "mtumwa".

Hatujiulizi pamoja na elimu hiyo ya Magharibi na Mashariki pamoja na imani zao tunazoabudu vipi hatupigia hatua kama wao?

Lipo jambo hawa watu wamelificha hawataki ku- 'share'. Vipi jamaa na ma digrii lukuki iwe ya uhandisi, utabibu, nuklia, usafiri wa baharini n.k lakini hatupigi maendeleo kama wao lipo jambo tumefichwa ktk elimu wanayotupatia au kutuvuruga bongo zetu .

Haiwezekani lazima turudi na kujiuliza kwa kina.
 
Watetezi wa wazungu,warabu na mababu nani atageuka mshindi?
Wazungu bwana walivunja mpaka pua za vinyago/sanamu za mafarao kupoteza ushahidi wa pua za kibantu kisha wakasema mapiramidi walijenga wao huku huko kwao hakuna cha pyramidi wala masanamu ya kale yanayothibitisha kweli walijennga misri.
Kumbuka kabla ya kuja wazungu huko Afrika magharibi kulikuwa na mataifa majubwa ya kale.
Kayika vitu vyote huwa najiuliza babu zetu nani aliwafundisha uchawi, nani aliwafundisha madawa ya kujitibu,ni njia gani walitumia je sisi tunafeli wapi?
Wazungu hawawashindi babu zetu kuijua miti.
Wanaotetea elimu ya wazungu nini kinawafanya mshindwe kuunda sinda ya kuchoma dawa, sindano lungu, pen, Penseli, Acha ya mambo makubwa makubwa kama ndege kama kweli wazungu wamewaelimisha mnakwama wapi?
 
Hivi ni kweli sisi waafrika hatukuwa na chetu vyote ni vya kigeni kuanzia dini, ludha, chakula, elimu,siasa, imani. Yaani vyote vilikuwa vya kishenzi.

Mtoto wa Mchungaji sielewi.
Dini tulikuwa nazo mkuu,Ila hii dunia mengi tumelishwa na kufundishwa ni uongo mtupu.50% ya ukweli kuhusu hii dunia yamefichwa kwa kusudi maalum.hivi unajua waisrael halisi sio wazungu,yaani sio ngozi nyeupe!?
 
mkuu kwa hiyo waisraeli ni watu gani mkuu?
 
Watetezi wa wazungu,warabu na mababu nani atageuka mshindi?
Wazungu bwana walivunja mpaka pua za vinyago/sanamu za mafarao kupoteza ushahidi wa pua za kibantu kisha wakasema mapiramidi walijenga wao huku huko kwao hakuna cha pyramidi wala masanamu ya kale yanayothibitisha kweli walijennga misri.
Kumbuka kabla ya kuja wazungu huko Afrika magharibi kulikuwa na mataifa majubwa ya kale.
Kayika vitu vyote huwa najiuliza babu zetu nani aliwafundisha uchawi, nani aliwafundisha madawa ya kujitibu,ni njia gani walitumia je sisi tunafeli wapi?
Wazungu hawawashindi babu zetu kuijua miti.
Wanaotetea elimu ya wazungu nini kinawafanya mshindwe kuunda sinda ya kuchoma dawa, sindano lungu, pen, Penseli, Acha ya mambo makubwa makubwa kama ndege kama kweli wazungu wamewaelimisha mnakwama wapi?
Hakuna uchawi wowote waliokuwa nao, ni Imani tu kama ilivyokuwa Imani ya kupigwa risasi na kusema maji wakiaminishwa kuwa risasi itageuka kuwa maji.

Kama Mababu zetu walikuwa wachawi na uchawi wao ulifanya kazi ni kwanini hawakuwaroga wakoloni washindwe kuwatawala?

Kwanini hawakuzuia kufanywa watumwa?
 
Back
Top Bottom