Niache Nteseke
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 1,955
- 2,166
Naenda moja kwa moja kwenye mada wakuu!
Hivi mtu akijamba na ile harufu ya Ushuzi inayotoka muda huo huwa inanuka sana, sasa hii inachangiwa na chakula mtu anachokula au inakuaje?
Je, kuna chakula mtu anaweza kula kikachangia harufu ya Ushuzi ikawa inanukia vizuri au harufu ikawa sio kali sana ikawa ya wastani kiasi?
Kwa kuwa kuna wataalamu wengi hapa jamvini nikasema niombe msaada wa kueleweshwa hili jambo wakuu kwa maana kila nikijiuliza spati jibu kabisa wakuu. Ahsanteni.
NAWASILISHA.