chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Profesa Baregu bado yupo CHADEMA?

    Miaka hiyo kipindi nasoma ingawa sikusoma "ungwini" lakini nilisikia mangwini enzi hizo wakisema kuna Profesa Baregu anajua kujenga hoja. Nilijua Profesa Baregu alikuwa CHADEMA lakini hoja yangu ni kuona CHADEMA inaonyesha wazi umuhimu wa kuwatumia watu kama Profesa Baregu. Kwa uelewa wangu...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ruzuku ya CHADEMA yanunulia magari ya kampeni

    Mlihoji sana ruzuku inakwenda wapi. Haya ni baadhi tu ya maandalizi ya uchaguzi magari 25 mapya ya kupigia kampeni MAGARI mengine mapya 25 ya Chama kwa ajili ya maandalizi ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2020 yamefika Dar es salaam.
  3. Kididimo

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jitahidini muwe na "JOPO" la kumshauri mgombea wenu wa Urais ili atakachonena iwe sauti ya Chama

    Nimemsikiliza Mgombea Urais kupitia Chadema. Kiujumla anapaswa kuongea zaidi kuliko wagombea wa vyama vingine. Kwa kuwa hakuweponchini kwa muda mrefu tofauti na wale wengine, inaweza kuwa sababu ili afahamike. Lakini pia siyo mgeni kwa mambo ya nchi yetu. Watu wana shauku ya kujua "SERA...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwa hija hizi CHADEMA ni afadhali msishiriki Uchaguzi Mkuu 2020

    Vitus Nkuna: Tumepata Shida Sana. Jibu: Hizi ni kelele na wala sio hoja. Hujasema wazi ni shida zipi, kwani zipo shida za uvivu, shida za ndoa n.k. Muungwana hasemi kama hana ushahidi wa kusema wazi. Mjinga anasema kwa kuwa ni kawaida kusemasema ovyo ovyo! Vitus Nkuna: Ndugu zetu wamepotezwa...
  5. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tunasikia taarifa watu wanakufa kwa Corona lakini haisemwi wazi. Serikali imerekebisha Sheria inayozuia kupeana taarifa

    Muda mfupi mh Tundu Lissu atakuwa mbashara kuanzia saa 8: 00 mchana,Vituo vitakavyokuwa live Ni @standardKenya na @KTNNews, hii Ni kwamjibu wa Tumaini Makene ====== Mwandishi: Mchakato wa kupona ulikuwaje? Lissu: Asante kwa kushiriki kwenye kipindi chenu na kuongea na wananchi wa Kenya kuhusu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR yasema wako tayari kushirikiana na CHADEMA na vyama vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Mkurugenzi wa mawasiliano wa NCCR Mageuzi Dr Edward Simbeye amesema chama chake kiko tayari kushirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa demokrasia katika uchaguzi mkuu. Source: East Africa Radio
  7. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Maswali muhimu kwa Mgombea Urais kupitia CHADEMA 2020

    Habari za leo JF experts, Naomba tumchallange mgombea uraisi Lisu maana ni member hapa JF, Mimi ninayo maswali kadhaa kwake. 1; Kwa upepo aliokuja nao, Kuna kila dalili za yeye kushinda ila pia kuna watumishi wazuri walio ndani ya CCM, Je ataweza kwenda nao au atawatupilia mbali? Maana ndiyo...
  8. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

    Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao. Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
  9. O

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kosa la kimkakati walilofanya CHADEMA

    1. Kitendo cha mgombea wenu kujihakikishia kuwa ameshinda hata kabla ya kampeni na matokeo ya uchaguzi yatakapotolewa asitangazwe mshindi, kuwahamasisha wananchi waingie mtaani kuleta fujo, hakika wewe huna sifa ya kuwa rais jitoe tuu kabla ya kampeni, waeleze hao mabeberu uliowahakikishia...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini ACT-Wazalendo wanahimiza sana Wapinzani Kuungana tofauti na CHADEMA ambao wanataka kila Mtu apambane na hali yake tu?

    Kila nikiwasikia ACT-Wazalendo wakizungumza naona wanatia sana Huruma na wakati mwingine hadi 'wanalazimisha' Waungane na CHADEMA lakini kila nikiwasikia CHADEMA wao nawaona hawataki huo Ushirikiano wa 'Kinafiki' na badala yake wanataka kila Chama Kipambane tu na hali yake kuelekea Uchaguzi Mkuu...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2020 Remix ya Wimbo wa Taifa; CHADEMA mmezingua sana

    CHADEMA WAMEONYESHA UBINAFSI: NI KUHUSU WIMBO WA TAIFA. Na, Robert Heriel Nimesikitishwa sana na kile nilichokiona leo kwenye mitandao ya kijamii. Ni video moja ikiwaonyesha wanachama wa CHADEMA wakiimba Remix ya wimbo wa Taifa. Kuimba Remix ya wimbo wa taifa sio kosa na wala sina neno nao...
  12. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  13. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Mkutano Mkuu wa ACT–Wazalendo: Membe apata kura za Ndiyo 410 za Urais Tanzania, Maalim Seif Ndiyo 419 za Zanzibar

    Chama cha ACT–Wazalendo leo tarehe 05 Agust 2020 kinafanya Mkutano wake Mkuu Diamond Jubilee–VIP Hall. #MkutanoMkuuACT2020 #KaziNaBata #TheFutureIsPurple ===== UPDATES ====== #UCHAGUZI2020: MEMBE, MAALIM KUPEPERUSHA BENDERA ZA ACT WAZALENDO URAIS TANZANIA NA ZANZIBAR - Chama hicho...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Lissu kusema hatawapa wagombea CHADEMA pesa litasababisha michango yake idode

    Kuna mama mmoja alimuhoji Tundu Lisu kwenye mkutano wa baraza kuu. Aliuliza wewe Kama mgombea urais una mpango gani kutusaidia kifedha wagombea wengine wa udiwani na ubunge? Akajibu hela Hana wasahau ya Lowassa Sasa Kama Hana na wajumbe wengi wanagombea udiwani na ubunge Ina maana akienda...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe maalumu kwa vyama makini vya Upinzani hasa ACTWazalendo na CHADEMA kuelekea Oktoba, 2020

    Mada inahusika. Napenda kuwapa ujumbe huu maalum kwenu mkiona inafaa kuuzingatia kuelekea uchaguzi wa Oktoba, 2020. i. Senario za Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019 na kilichotokea , ziwape mbinu mia moja zaidi mbele kuhakikisha mnakwepa mitego yote ya CCM, NEC, ZEC na mawakala wao ndani na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

    Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba. Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera. CCM na...
  17. Determinantor

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ije na Sera ya kufufua Vyuo vya Ufundi

    Team, Tunaishi kwenye ulimwengu ambao ukosefu wa ajira rasmi umekua tatizo kubwa sana, Tanzania haiwezi kujitenga na ukweli huu. Sasa, kwakuwa Serikali sikivu ya CCM imeua vyuo vya Ufundi na vile vya jamii ni vyema CHADEMA ikaunda na kutamka wazi wazi kuvifufua vyuo hivi. Vyuo hivi baadhi...
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania "Ni yeye 2020" Ni slogan mbovu kwa CHADEMA kuelekea Uchaguzi

    Kile ambacho CHADEMA imekuwa ikikosoa wengine ndicho inachokuja nacho. Walilalamika juu ya neno Tanzania ya Mag..... . Kwanini CHADEMA mnakuja na slogan inayohusu mgombea na sio wananchi. Je, uchaguzi huu umelenga kuwa na faida kwa nani!? Mpiga kura au mpigiwa kura. Kama ilivyokuwa kwa CCM...
  19. Louis II

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar, Mlimani City: Yaliyojiri Mkutano Mkuu wa CHADEMA leo tarehe 04/08/2020

    Salaam Wakuu, Leo Vikao vya Chanma cha CHADEMA vinaendelea Jijini Dar es Salaam. Na leo ni mkutano Mkuu wa CHADEMA. Tutawalea Updates ya kile kitakachojiri kutoka Mlimani City. Leo Tarehe 4, Agosti 2020, Mkutano Mkuu wa Chama una kazi ya kutekeleza kazi zake, ikiwemo “kuteua mgombea wa Urais...
Back
Top Bottom