Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Maneno hayo yamesemwa na mwanasiasa mstaafu Mzee Mgaya kwamba waasisi wa CUF wakina mzee Mapalala (RIP) ndio walikuwa na malengo ya kushika dola tofauti na wenzao wa NCCR - Mageuzi na Chadema.
Mzee Mgaya amenihabarisha kuwa ukiyaelewa kwa makini malengo ya waasisi wa Chadema utakubali pasipo...
C&P
Why socialism always fails
AEIdeas
CARPE DIEM
March 22, 2016
Slightly more than 20 years, I wrote the article “Why Socialism Failed” and it appeared in 1995 in The Freeman, the flagship publication of the Foundation for Economic Education. I think it was the first essay or op-ed I wrote...
Iringa kuchele.
Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao.
Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David...
Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi...
Maneno hayo ameyaandika kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii baada ya aliyekuwa Meya wa Jiji la Arusha, Calist Lazaro kujiunga na CCM.
Calist Lazaro alikuwa rafiki wa karibu na Godbless Lema tokea wakiwa wote wanachama wa TLP kabla ya wote kuhamia CHADEMA.
Inasemekana Godbless Lema...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, hata kama Freeman Mbowe atastaafu uenyekiti wa Chadema mwezi Desemba mchango wake kwa taifa hili hautasahaulika kwa tunaojua siasa.
Mchango wa Mbowe umejikita katika kuwapika na kuwaandaa vijana kuwa viongozi imara na wa kutegemewa na taifa.
Kwa mfano...
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019.
Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
Kiukweli kabla Rais Magufuli hajafanya ziara mikoa ya Lindi na Mtwara nilimuona mbunge wa Ndanda mh Cecil Mwambe kama kamanda anayeweza kumrithi mkongwe wa siasa za upinzani mh Mbowe.
Lakini baada ya Mwambe kuhojiwa na Rais Magufuli na kukiri kuwa alikuja Chadema kwa bahati mbaya baada ya kura...
Ni kufuatia agizo la mahakama kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Wabunge hao ni Peter Msigwa, John Heche, Halima Mdee na Easter.
Wabunge hao walifikishwa mahakamani kisutu lakini hawakuweza kupandishwa kizimbani na badala yake walirudishwa polisi chini ya ulinzi mkali.
Source ITV habari...
Msimamizi wa Uchaguzi katika Wilaya ya Arusha Mjini Mh Msena Bina amesema kuwa licha ya tayari kuampeni kuanza siku ya jana lakini wanatarajiwa kufanya uchaguzi katika mitaa 15 peke yake katika kata tofauti ambapo mingine yote wagombea wake wampeta bila kupingwa katika mitaa 152 hivyo...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),kimeendelea kupata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Jimbo la Buchosa, Jaji Tasinga kutangaza kurejea CCM Tasinga ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa muda wilaya ya Sengerema, alisema sababu mojawapo iliyomsukuma kuondoka Chadema na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho ndicho chama kikuu cha upinzani hapa nchini na mabingwa wa demokrasia kwa kuiiishi, leo kupitia Karibu Mkuu Vincent Mashinji, kimetangaza rasmi kufungua mchakato wa kupata wagombea watakaochuana kwa nafasi mbalimbali za uongozi wa chama hicho...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru wabunge wanne wa CHADEMA wakamatwe na kufikishwa mahakamani hapo kwa kukiuka masharti ya dhamana.
Wabunge hao ambao ni washtakiwa katika kesi ya uchochezi namba 112ya mwaka 2018 ni Ester Bulaya, Mbunge wa Bunda Mjini, John Heche mbunge wa Tarime...
Mbunge Joseph Mbilinyi 'SUGU' akitoa Burudani ktk hafla ya Wabunge wa CHADEMA ya kumpongeza Halima Mdee baada ya kumaliza adhabu ya kutohudhuria Mikutano miwili ya Bunge, Mdee alisimamishwa kutokana na kuunga mkono kauli ya Prof.Assad kuwa Bunge ni dhaifu
KATIBU mwenezi wa chama cha demokrasia na maendeleo, ndugu humphrey Munisi akihojiwa na waandishi wa habari ametoa malalamiko yake ya kutoridhishwa na uamuzi uliofanya na halmashauri kuu ya chama, kujitoa na kuelekeza wagombea wote kujitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa.
Amedai kuwa...
Moshi. Watu sita wanaoaminika ni wafuasi wa vyama vya upinzani vya Chadema na ACT- Wazalendo, wamefikishwa mahakamani katika kesi mbili tofauti jana Jumatatu Novemba 11,2019 ikiwamo ya kuchoma ofisi ya mtendaji wa kata ya Soweto katika Manispaa ya Moshi.
Katibu wa Chadema mkoa Kilimanjaro...
Diwani wa Kata ya Gwarama wilayani Kakonko na MwanaJF Ndugu Elia F Michael aliyekuwa mgombea wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo mwaka 2018 jimbo la Buyungu ameamua kuachana na Chadema na kujiunga na CCM.
Pia soma...
Waziri wa Tamisemi, Seleman Jafo amesema hakuna atakayejitoa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wote waliochukua fomu na kurejesha watashiriki uchaguzi huo kasoro wenye makosa ya uraia, kutojiandikisha katika mtaa husika, kujiandikisha mara mbili, kutodhaminiwa na chama chake #MwananchiUpdates...
Katibu Mkuu wa CHADEMA aliutangazia umma wa watanzania kuwa walihairisha mchakato wa uchaguzi ndani ya Chama chao juu ya sababu mbalimbali na aliahidi mchakato huo ungefanyika mwezi juni 2019 badala ya Desemba 2018.
Hadi ninapoandika thread hii mchakato wa uchaguzi ndani ya Chadema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.