Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Nimeona nilisemelee hili mapema kabla kampeni hazijaanza, kiukweli kurugenzi ya mawasiliano CHADEMA imepwaya sana suala la organization ya huu mkutano mkuu. Mtu anaweza kuwaza kuwa uhaba wa vyombo vya habari kwenye Mkutano ni kwa sababu vyombo vya habari vina uoga lakini ukweli ni kwamba...
Amani iwe nanyi wadau!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Leo Kuna mkutano muhimu wa Chama Kikuu cha Upinzani CHADEMA, ambapo macho na masikio ya watanzania wapenda demokrasia na wapenda maendeleo yapo kwenye mkutano huu wa CHADEMA. Moja ya ajenda kuu kwenye mkutano huu ni kumpitisha...
Kwa upande wa CCM inaeleweka chama hicho kina rasilimali za kutosha hivyo mkoa unaweza kugharamia shughuli zote za kampeni ya Rais katika mkoa husika.
Nauliza kwa upande wa CHADEMA na ACT Wazalendo kama wana ukwasi wa kuweza kumudu kufanya kampeni nchi nzima!!
Kwa mfano CHADEMA walifeli...
1. Mueleze bila kupepesa macho tatizo la utapiamlo kwa watoto wachanga na mna mikakati gani. Waziri wa Afya ummy Mwalimu amesema takriban asilimia 31.8 ya vitoto vichanga nchini chini ya umri wa miaka 5 vina utapiamlo, na vina hatari ya udumavu wa akili. Hili jambo ni hatari sana maana hawa ni...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Naibu Katibu Mkuu wa CUF upande wa Zanzibar Mhe. Faki Suleiman Khatib , ametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na CHADEMA .
Haya yametokea ndani ya vikao vya CHADEMA vinavyoendelea huko ukumbi wa Mlimani City
2015 Lowasa alibebwa na Mbowe na kamati kuu bila kura na baraza kuu yaliyofuata Mbowe na kamati walitukanwa Kama watoto
Safari Mbowe na kamati kuu wamegoma kubeba mtu wameachia demokrasia ifanye kazi hawataki presha .Kwa hili hongereni kamati kuu ya CHADEMA
Kila mgombea apambane na hali yake...
Hatimaye dimba limekamilika kwa ajili ya vikao vya kuanzia hapo kesho. Kila kitu kimezingatiwa ikiwemo taratibu za kujikinga na Corona.
Picha za awali zilizotumwa (Isipokuwa ya meza kuu ambayo inajumuisha viongozi wakuu wa chama) ni za vikao vilivyowahi kufanyika siku za nyuma yaani vya...
Binafsi,kwa asilimia 95 , naamini Lissu atapata kura nyingi kuwazidi waitia nia wengine wanaowania kuteuliwa na chama kupeperusha bendera ya CHADEMA kwa nafasi ya uraisi ,na hili litadhihirika pale matokeo ya kura yatakapotangazwa.
Siku hiyo natarajia ukumbi utalipuka kwa shangwe na vigelegele...
Nimeitumia siku ya leo kukiombea kilichokuwa chama kikuu cha upinzani yaani Chadema kifanye vizuri kwenye vikao vyake vya uteuzi vinavyoanza leo pale Mlimani city
Watanzania tunapenda kuwaona Chadema wakibaki kuwa wamoja baada ya kumpata mgombea wa urais na wajitahidi kuvunja makundi yote...
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana...
HUwa naamini, kipimo cha mtu kutoka CCM kuja Upinzani na kuaminiwa kuwa ameachana na CCM lazima afanye mambo mawili.
1: Akae upinzani angalau kwa awamu mbili bila kuonyesha uswahiba wowote na CCM.
2: Angalau atuambie madudu ya CCM ambayo sisi huwa tunahisi tu ila yeye kwa sababu ni insider...
Mkutano wenu unaoanza leo umebeba matumaini kwa Watanzania wanyonge sio wanyonge wa CCM kina MO.
Umebeba matumaini kwa wafanyakazi wa umma ambao hawajaongezewa mishahara kwa zaidi ya miaka mitano sasa.
Umebeba matumaini kwa wakulima na wafugaji ambao wamekuwa wakikopwa mazao yao na serikali ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347.
Nipashe.
Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
Habari wakuu!
Moja ya mambo niliyokirimiwa ni kuwa na uwezo mkubwa wa kuona jambo la sirini, au jambo la mbali. Muda mwingine naweza kusema am a spiritual scanner.
Hili ninaloliandika si tetesi na halina ukweli direct bali ni forecast yangu tu.
Huu muda mfupi uliobaki kabla ya Uchaguzi mkuu...
Sasa ni Rasmi.
Chama kikuu Cha upinzani nchini CHADEMA kitaanza vikao vyake kwa siku 3 mfululizo kuanzia Jumapili tarehe 2 mpaka Jumanne tarehe 4 katika ukumbi maarufu nchini wa Mlimani City.
Kikao Cha Kamati Kuu kitafanyika kesho Jumapili huku Baraza Kuu likiwa siku ya Jumatatu na Mkutano...
CCM wamejipanga vizuri kupata ushindi, hata kama ni ushindi kwa njia isiyokuwa halali.
Miaka yote hii mitano, na kabla ya hapo, tumesikia manung'uniko yenu kuhusu ubovu wa usimamizi wa uchaguzi wetu unaowapendelea CCM. Miaka yote hii mmekuwa mkilalamika kuhusu jambo hili, lakini hatukuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.