Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.
Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa...
Ndugu zangu,
Ninaupongeza upinzani wa awamu ya tano kwa kuja na mbinu mbadala ya kudhibiti magonjwa ya mlipuko. Heko Chadema, Heko waziri kivuli wa afya.
Mwanasiasa wa upinzani Tanzania Tundu Lissu apigwa risasi na watu wasiojulikana
07 Septemba 2017
Lissu,mwanasheria mkuu wa CHADEMACHADEMA
Mwanasiasa wa upinzani nchini Tanzania Tundu Lissu amepigwa risasi na watu wasiojulikana jijini Dodoma, katikati mwa Tanzania.
Mwanasiasa huyo amekimbizwa...
Wacha niwe mchambuzi ma maswala ya Kisiasa Kwa Dakika Moja
Hakuna Shaka yoyote kwamba kuondoka kwa Mzee Edward Lowasa Kule Upinzani(chadema) na kuelekea Kule CCM kumeitingisha Chadema na kuiacha Mahututi, hata hivyo Ikumbukwe kwamba Mh. Lowasa Kule upinzani alifuata Uraisi,na kwa mtu yeyote...
Nimemsikia Bw. Ole Millya akitabanaisha sababu za kuhamia CCM moja ni kuwahudumia Wananchi.
Binafsi hiyo sio sababu kwani hata bila chama unaweza kuwahudumia wananchi.Pili sikubaliani nae kuwa Kahamia CCM naamini kuwa Karudi CCM asipotoshe Umma na sababu ya kurudi CCM wote tunajua.
Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA
Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili.
Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.
Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama...
Watanzania tutazame picha linalolechezwa la kuumalizia mbali upinzani. Ukiangalia wafuatao wamejiuzulu uanachama wao bila sababu mujarabu na chaguzi za wabunge na madiwani zimerudiwa. Akina Mwita Waitara wa jimbo la Ukonga, mbunge wa Monduli, mbunge wa Kinondoni, mbunge wa Liwale.
Hii inatupa...
UTEKELEZAJI wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mpinduzi (CCM) unaofanywa na Rais John Pombe Magufuli umekuwa kilio kwa vyama vya upinzani, hususan Chadema na CUF.
Kubwaga manyanga kwa wabunge na madiwani wa vyama hivyo wakiunga mkono jitihada za Rais Magufuli ni ishara tosha kwamba, Serikali ya...
Waziri wa mambo ya Ndani mh Mwigulu Nchemba akijibu swali la mbunge wa viti maalum wa chadema cesilia pareso amesema":-
"Uzoefu umeonyesha ya kwamba muongeaji chama chake (CHADEMA) kinaposhiriki kwenye uchaguzi ndio kuna kuwa na matukio makubwa sana ya kihalifu.
Kuna uchaguzi mmoja chama chako...
Nasema "alitaka kumuua" kwa sababu ukiangalia yale matundu ya risasi upande wake wa gari utajua kuwa hawa watu hawakutaka kumtishia tu. Walidhamiria kumuua.
Niungane na Watanzania wenzangu kumuombea Tundu Lissu dua/sala ili apone kikamilifu, Amin.
Nimejiuliza maswali mengi kuhusu shambulio...
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob wa chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amekamatwa na Polisi kwa ajili ya mahojiano kituo cha polisi Mbezi, sababu haijajulikana.
========
Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano hata hivyo...
Waziri wa habari Harrison Mwakyembe amewambia wabunge wa chadema kama wanataka ukweli wa ufisadi wa Richmond warudishe hoja hiyo bungeni.
Haya sasa karibuni kukanyagana maana hii hoja ni mwiba ambao watu wengine hawatakaki hata kuuona!
Dk Mwakyembe, Nassari wapimana
Waziri wa Habari...
Sioni sababu yoyote kwa Kubenea au gazeti lake la Mwanahalisi kuzusha habari hii. On top of that, ukweli kwamba Mbowe na viongozi wengine wa ngazi za juu Chadema wamepuuzia ishu ya "kupotea" kwa Ben, makes even more sense.
======
UTATA kuhusu kutoonekana kwa Bernard Saanane, msaidizi wa...
Morogoro. Chadema imetangaza kuwa Januari itaanza kutumia kadi mpya za uanachama za kielektroniki, zitakazoiwezesha kukusanya Sh13.9 bilioni kwa mwaka na kupunguza utegemezi wa ruzuku ya Serikali.
Mkakati huo ulitangazwa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe wakati wa mkutano wa ndani...
Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania: Mama n’tilie, dereva bodaboda na vijana wasiao na ajira. Tuliona juzi akishiriki katika usafiri wa...
Historia
Freeman Mbowe ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Jina lake la kwanza "Freeman" waliwahi kupewa vijana wengi tu waliozaliwa mwaka ambao Tanganyika ilipata uhuru. Mbowe alizaliwa Septemba 14, 1961 hapahapa Tanzania. (atafikisha miaka 54 Septemba 2015). Baba...
Wadau,
Wakati wa Kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani zikiwa zimepamba moto, tumeshuhudia muungano wa vyama kwa misingi ya itikadi za vyama hivyo. CDU cha Angel Merkel ambacho ni cha Kikristo, kinashirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa kikristo kikipambana na vyama vingine vya mrengo wa...
Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.