Msajili mkemee Meya Jacob anayedai CHADEMA wanapendeza ila CCM wakiwa mkutanoni wanakuwa kama shamba la migomba

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
Nimemsoma Mgombea Ubunge wa CHADEMA, Boniface Jacob akidai mikutano ya CHADEMA wanapendeza kwa kupigilia pamba ila ile ya CCM na zile kijani inakuwa kama shamba la Migomba.

Ni vema Jaji Mutungi ukamkemea huyu kijana maana kampeni bado lakini ameshaanza kutoa lugha za kuudhi na kukera.

CCM na Migomba wapi na wapi?

Nimemkuta kule Twitter amenichefua sana.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kasema kweli kabisa aisee KONGOLE Meya wangu wa Ubungo hawa wawili wanafanana.

ires.jpg
imgres.jpg


images.jpg
images.jpg
 
Wewe bhana. Hapo si kaongea ukweli? Sasa kama hampendezi aseme uongo kuwa mnapendeza? Hujui kusema uongo ni kuvunja kati ya zile amri 10 za Mungu. Kama hizo rangi za migomba hawazipendi si wabadirishe?
 
Na wewe binafsi unawaonaje CHADEMA wakiwa ukumbini na pamba zao, mwonekano wao unafanana na ile timu ya mpira wa miguu ya uingereza bana! Hao wengine wanafanana na darasa la kashule ka chekechea.
 
Wewe bhana. Hapo si kaongea ukweli? Sasa kama hampendezi aseme uongo kuwa mnapendeza? Hujui kusema uongo ni kuvunja kati ya zile amri 10 za Mungu. Kama hizo rangi za migomba hawazipendi si wabadirishe?
Hawa wamezoea kusifia Hata pale pasipostahili ndio maana hawana uvumilivu wakiambiwa ukweli!!!
 
Back
Top Bottom