chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ime-savaivu, sasa nini?

    Hakuna shaka yeyote, na sidhani kwamba kuna mtu anayeweza kuhoji uwepo wa CHADEMA kama chama cha kisiasa kilicho na ushindani mkubwa hapa nchini licha ya misukosuko mingi iliyoelekezwa kwao ili kuwamaliza kabisa katika miaka mitano na zaidi sasa iliyopita. Ni sawa kabisa kusema kwamba CHADEMA...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  3. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Wana-CHADEMA kwa Busara na Hekima kipindi hiki

    Poleni kwetu sote juu ya kuondokewa na Mzee wetu John Magufuli, kifo ni kifo na kamwe hakizoeleki. Napenda kuwashukuru sana Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa maneno ya busara hasa katika kipindi hiki cha msiba, naomba nieleweke kuwa wenzetu wa CCM wasingeweza kuwa na...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
  6. Francis12

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  7. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni chama Kikuu cha Upinzani kwa vigezo gani?

    ACT Wazalendo ina wabunge 4 wa kuchaguliwa. CHADEMA ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa CUF ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa. CHADEMA haina mbunge wabunge wa viti maalumu wanadai walishawafukuza. J J Mnyika anasema CHADEMA ina wajibu kama chama kikuu cha upinzani. Ndio nauliza CHADEMA ni chama...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

    Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa. Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo ya Tundu Lissu huko Ubelgiji ni yake binafsi au anaongea kwa niaba ya CHADEMA?

    Ni vema watanzania tukajua kama Chadema ina ofisi ndogo Ubelgiji inayotumiwa na makamu mwenyekiti wa chama hicho chenye makao yake makuu mtaa wa Ufipa Kinondoni. Na pia kama yale yote anayoongea Tundu Lisu na vyombo vya habari vya Ulaya na Marekani yana baraka za chama hicho. Na kwamba kwa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waliowasindikiza Esther Matiko na Bulaya bungeni wafutwa uanachama wa CHADEMA

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) mkoa wa Mara kimewavua uongozi na kuwafuta uanachama wanachama wake nane akiwamo aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Wilaya ya Tarime kwa kosa la kuwasindikiza waliokuwa viongozi na wanachama wa chama hicho Ester Bulaya na Esther Matiko bungeni...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa kuwa CHADEMA wamesusia ruzuku, hizo pesa zielekezwe kwenye elimu

    Wadau wa JF na Wazalendo, Hivi karibuni zimeibuka habari zinazochanganya sana. Maana gazeti la mwananchi lilichapisha habari likionyesha kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku mil 104 hii ni sababu wana wabunge 20 bungeni. Mara ghafla tukapata taarifa kuwa hawapokei ruzuku na wala hawana mpango...
  13. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ijifunze kwa ACT wazalendo namna ya kutuma majina ya wateule "wapendekezwa" kwa wakati bila mizengwe!

    Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki. Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

    Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo? Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu. Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii stendi mpya ya mabasi ya mikoani (Stendi ya Magufuli) hayakuwa ni maono ya CHADEMA kweli?

    Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo hayana vyama cc: Mzee Mgaya, Mchungaji Erasto
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatangaza uchaguzi wa kujaza nafasi za waliotimuliwa Bawacha

    Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , limetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujaza nafasi za Wasaliti waliotimuliwa ndani ya Chama wakiongozwa na Halima Mdee. Fomu za Kugombea nafasi hizo za uongozi wa Bawacha Taifa zinapatikana kwenye ofisi za Mikoa za Chadema, ofisi za Kanda zote na ofisi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamwachia huru Halima Mdee

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Alifukuzwa uanachama wa Chadema, yeye pamoja na wenzake 18, tarehe 27 Novemba mwaka jana. Alituhumiwa kwa makosa usaliti, ikiwamo kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa CHADEMA inafuata sera gani au ni hii ya mapambano dhidi ya Covid 19?

    Kwa sasa haieleweki chama kikuu cha upinzani CHADEMA kinafuata sera gani pamoja na ukweli kuwa wako mstari wa mbele kulihabarisha taifa athari za Covid 19. Je, kwa sasa CHADEMA imeamua kujikita zaidi kwenye sekta ya afya na vifo vitokanavyo na magonjwa ya kuambukiza? Nawatakia Kwaresma yenye...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania TANZIA Emmanuel Lukumai, Mwenyekiti wa CHADEMA Bagamoyo afariki dunia

    Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji. Mh Lukumai alikuwa Mgombea ubunge wa Chadema wa Jimbo la Bagamoyo kwenye kile kilichoitwa uchaguzi Mkuu...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Natoa ushauri wa bure kwa CHADEMA ili ki-survive hadi 2025

    Hatuwezi tukabishana hadi kuku warudi bandani kwamba Chadema bado ni chama Kikuu Cha Upinzani Tanzania hata kama hakina kinara wa upinzani. Hata hivyo lazima Chadema kitafakari kwa kina na mapana kitawezaje kuishi kama chama kuelekea 2025? Mambo kadhaa yanapaswa yafuatwe kama bado Mbowe anataka...
Back
Top Bottom