Kwa miaka 20 ya uongozi wa CHADEMA Manispaa ya Moshi imeshindwa kuwa Jiji, Jafo tuangalie kwa jicho la huruma!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,646
2,000
Mara nyingi huwa naiangalia Tanga na Mbeya halafu najiuliza kwanini Moshi haijawa Jiji hadi leo?

Najua kwamba Mwanza na Arusha zimeiacha mbali Moshi kimaendeleo na kipopulation lakini siyo Tanga ya Makamba na Mbeya Sugu.

Chadema imekuwa na mbunge na madiwani wengi Moshi kwa miaka 20 mfululizo lakini imefeli zaidi ya kuongoza kwa usafi tu, ngoja tumuone mbunge na madiwani wa CCM 2020/25.

Jaffo mtuangalie na sisi bwashee.

Johnthebaptist
Usseri Rombo

Maendeleo hayana vyama!
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,646
2,000
Unasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
Miaka hiyo 20 iliwahusu pia Mkapa na Kikwete, usisahau hilo!
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
41,022
2,000
Unasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
CCM kuna laana
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
41,646
2,000
Wewe utakuwa mpuuzi, umesema imeshindwa kuwa jiji sababu ilikuwa chini ya CHADEMA na CHADEMA ndiyo inaleta umaskini, kwanini mikoa ambayo ipo chini ya CCM isiwe majiji na kuwa tajiri sasa sababu CCM ni baba wa maendeleo?
Kwahiyo unakubali kwamba Chadema ni baba wa umaskini.

Kama mlivyochelewesha maendeleo ya Kibamba!
 
kichomiz

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
17,187
2,000
Unasahau kuwa chama cha mapinduzi,kimejaa ubaguzi,majungu,na fitna Chadema hata wangefanya mazuri gani lkn Meko hawezi appreciate,kama alifikia anakwenda sehemu anaponda alafu baadae akiambiwa mbunge wa hapa wa ccm anasema basi kafanya kazi nzurii
Ila ninachoshukuru kwa sasa, wanakulana nyama wao kwa wao, yule mbaguzi akikuchukia tu anasema hukuchaguliwa na wananchi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom