Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri.
Wiki iliyopita mama huyo alikuwa mzima na alishiriki mazishi ya mwanaye huyo wa kike.
Picha mama mwenye nguo nyeupe (ambaye...
Habari za jioni wakuu
Nimeona taarifa za msiba za huyu mheshimiwa naibu Waziri wa zamani na sababu ya kifo chake imeelezwa ni ajali..
Binafsi sijawahi hata kuona picha wala hababri kuhusu hii ajali yake inayotajwa kuondoa uhai wake, hii ni ajali kweli au ni futa linatumaliza huku tukificha...
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo
Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au hawatakiwi kushiriki?
Maoni yako ni yapi?
Naandika kwa masikitiko makubwa sana.
Hivi kama hao covid-19 mliwavua uanachama harakaharaka kwa kuwa lilikuwa ni jambo nyeti na dharula, iweje sasa mnachelea kukaa kikao Cha Baraza kuu ili kutoa uamuzi?
Jambo la pili,sioni kama mna nia ya kufungua kesi mahakamani ili kuwashitaki wahusika wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kwa masikitiko makubwa kinatangaza kifo cha Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama, Mhe. Dennis Arcado Ntagazwa, kilichotokea asubuhi, Jumatano, Februari 10, mwaka huu katika Hospitali ya Mlonganzila, alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Zaidi. soma: Thomas...
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya kuwabeba kisiasa.
Bila shaka mmesikia serikali ya CCM inampango wa kuongeza bajeti toka tril 34+ mpaka...
Apumzike kwa amani
Lakini kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kutenda kazi ya Mungu , tunaamini Mwenyezi Mungu ataipokea roho yake mahali pema peponi , Amina .
Mimi ni CCM lakini nilichanga kwa sababu Halima James Mdee alikuwa ni mbunge wangu wakati ule nami naamini maendeleo hayana vyama.
Lakini nilivutiwa zaidi na busara ya CHADEMA kwamba tuwatoe kwanza hawa akina mama wa Bawacha halafu Mbowe na wanaume wengine wafuate.
Tena Mbowe akasema yeye...
Kuna taarifa kuwa kutokana na ruzuku kupungua wafanyakazi wengi wa CHADEMA watapunguzwa kazi moja wapo watakapopunguzwa ni wanaoitwa non core staff yaani wafanyakazi wa ofisi ambao sio wanasiasa kama wahasibu,Madereva,maafisa mbalimbali nk waglfanyakazi hawapingi kupunguzwa ila tatizo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Ndg Tundu Lissu amesema, chama hakijapokea ruzuku yeyote toka serikalini na kama kuna mtu ana ushahidi kuwa wamepokea basi auonyeshe, kaongeza kusema, fedha za ruzuku kwa vyama vya siasa ni chanzo kimoja tu cha mapato ya chama, kuna vyama havina ruzuku lakini...
Kuna Kisauti kinanjia Kuhusu Mbowe kubariki Viti Maalumu hapo awali kwa makubaliano ya kuwa siri na kujifanya hana habari.
Hii yaweza kuwa kwa maslahi mapana ya Chama (Ustawi na kutofutika).
Ni mawazo yangu ila tuwaze nje ya Box.
Britannica
Kwa sisi wakazi wa Bunda hii barabara ni muhimu sana.
=====
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Ester Bulaya, leo ameingia Bungeni pamoja na baadhi ya wabunge wenzake wa chama hicho na kueleza kuwa suala la kutokamilika kwa ujenzi wa miundombinu ya barabara limekuwa ni tatizo sugu na kuhoji...
Wale wabunge 19 wa Viti Maalumu wanaotokana na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), asubuhi hii wamefika na kuendelea na kikao cha Bunge kilichoanza leo Jumanne, Februari 2, 2021 Jijini Dodoma.
Itakumbukwa Wabunge hao tayari walishavuliwa uanachama na chama chao mwishoni mwa mwaka jana...
Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji.
Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya Afrika na Asia wakiandamana kupinga kufungiwa ndani.
Wanadai kwamba Lockdown ni mateso kupita Corona...
Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
Kama kuna mawaziri wadogo ambao kila mbongo anawakubali kwa kuchapa kazi basi ni Godwin Mollel.
Ama kwa uhakika huyu jamaa ni mchapa kazi kwelikweli na anapofanya ziara huwa anaibua madudu na huwa hatumii papara kukemea waliokosea.
Moja ya ziara zake ambayo mimi nimeifuatilia kwa ukaribu ni...
Chadema tuongeeni kidogo
Ndugu zangu wanaChadema tumepoteza kabisa welekeo!
Mtu mjinga, asiye na akili, akifeli kwenye jambo lake lolote atatafuta kisingizio. Na mara zote hurushia lawama kwa wengine. Chadema tumefeli! Kwenye uchaguzi huu 2020 tumefeli.
Kwamba tuliibiwa, kwamba tulikosa...
Ni ukweli ulio wazi kwamba kwenye mambo ya kuchanganua masuala ya fedha na ufisadi CHADEMA wako vizuri na tunawaheshimu katika hilo.
Ila kwenye eneo la Kemia, Baiolojia na famasia hawana uwezo nalo kabisa wanajaribu tu kujiingiza lakini wanafeli.
Hebu tuwaache CCM tuliwaamini na kuwapa uongozi...
Hii nimeipenda na ni jambo jema kwa kweli.
Ni ofisi chache sana utakuta kuna maji tiririka ya kunawa mikono kadhalika niwapongeze wahudumu wa Viva supermarket pale Makumbusho kwa kuvaa barakoa.
Maendeleo hayana vyama!
Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari.
Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za kupambana na Corona ikiwemo social distancing.
Na kwa maana hiyo vikao vya watu wengi kama Baraza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.