chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Pamoja na kuteswa sana awamu ya 5 lakini viongozi wa Chadema hawakujali kitu , roho zao kwatu kabisa

    Hii ni moja ya shughuli iliyosheheni viongozi wa juu kabisa wa Chadema , wakisakata rumba bila hata kinyongo na mtu , Hakika Chadema ni furaha tele . Jionee mwenyewe .
  2. J

    JamiiForums Tanzania CUF yaungana na CHADEMA kutoshiriki uchaguzi wowote hadi ipatikane Tume Huru

    Chama cha CUF kimesema hakitashiriki uchaguzi wowote utakaoitishwa kwa sababu bado wanapima hali ya kisiasa nchini ikiwemo uhalali wa tume ya uchaguzi. Mwenyekiti Prof Lipumba amesema maamuzi hayo yamefikiwa na kikao cha kamati kuu. Ikumbukwe kuwa CHADEMA ilishatoa msimamo ke huo wa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hitimisho: Baada ya kutafakari hotuba za Mbowe na Zitto nawapongeza wabunge wa CHADEMA ambao hawakuunga mkono juhudi

    Kipekee kabisa niwapongeze mbunge wa Mbeya mjini Sugu Iringa mjini mchungaji Msigwa, Mikumi Prof Jay, Tarime Heche na Mbowe Hai kwa kusimama imara na kutokiasi chama chao. Sina hakika kama wale wahamiaji waliofuata vyeo na fursa CCM watadumu sana kadhalika Halima Mdee na wenzake nao kwa sasa ni...
  4. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA mmetunga na mnasambaza uzushi wa ukabila wa Hayati Magufuli?

    Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile. Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja lakini pia uzushi huu umebebwa na Chadema kama mojawapo ya tuhuma dhidi ya Magufuli. Leo kwenye press...
  5. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Hotuba ya Mhe. Freeman Mbowe Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena. Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yamshukuru rasmi Rais Samia kwa kuwa kiongozi pekee wa Serikali aliyekwenda Nairobi kumjulia hali Tundu Lissu

    CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema Rais Samia akiwa Makamu wa Rais wa Magufuli wakati huo alionesha ujasiri na...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania CHADEMA si chama rafiki kwa wakulima

    Kwa muda mrefu nimekuwa naona kama CHADEMA kikiwa ni chama cha kimjinimjini sana. CHADEMA sijawahi kukisikia kikitetea mkulima wa Tanzania kwa nguvu nyingi, sijawahi kukiona kikitumia muda mrefu kuelezea sera zake juu ya kilimo. Ukulima ndiyo kazi ya watu wengi nchi hii lakini CHADEMA iko mbali...
  8. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waende Mahakamani kudai viti vyao 19 vya Ubunge wa akina mama!

    Nashauri tu kwa sababu Watanzania hatutabarikiwa na Mungu kama chombo chetu kitukufu cha Bunge kinanajisiwa mchana kweupe. Ninayasema haya baada ya jana kuwasikiliza wanasheria nguli akina Chris Maina, Jaji Warioba, Prof Shivji nk nk katika uzinduzi wa kitabu cha Jaji mkuu mstaafu Barnabas...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Freeman Mbowe (CHADEMA) kwa Taifa - Aprili 11, 2021

    Freeman A. Mbowe: "Namshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa Rehema, kwa zawadi ya Uhai wetu. Wako wengi waliokuwa hai miongoni mwetu, mara ya mwisho nilipozungumza na Taifa, mwezi Januari mwaka huu, ambao leo hatunao tena." "Ni katika kipindi hiki, Taifa letu lilikumbwa na taharuki kubwa...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania RIPOTI YA CAG: CHADEMA ilitumia Tsh Milioni 377 bila idhini ya Baraza la Chama

    Wanatia wasiwasi hawa watu hata kabla ya kupewa nchi wanafanya ubadhilifu wa namna hii? Chadema kilinunua magari matano yenye thamani ya Sh. 227.43 milioni na nyumba moja Sh. 50 milioni iliyopo Serengeti bila idhini ya Baraza Kuu la Chama. Pia, Sh.100 milioni zilitumika kwenye matumizi ya...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG : CHADEMA yapata hati safi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama cha siasa ambacho kimeshikilia rekodi ya dunia ya kushambuliwa na serikali, kimeonekana na CAG kuwa chama kinachozingatia weledi katika matumizi ya pesa zake, na hivyo kuudhihirishia ulimwengu kuhusu umakini wa viongozi wake, jambo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania 2025 hamna mwanaume wa kupambana na mama kule CHADEMA, kwenye machaguo tunawabakiza Mdee na Bulaya

    Kuisha kwa uchaguzi mmoja ni maandalizi ya uchaguzi mwingine. Naam bila shaka upande wa chama kikongwe barani Afrika ni nani atapeperusha bendera ya urais imetatuliwa, ni mama lao Samia Suluhu. Swali linabaki ni nani huko upinzani atapeperusha bendera yao? Zitto hana haraka na urais huku bara...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wazo lenye manufaa kwa umma: CHADEMA waanzishe mfuko wa kuinua chama, wananchi tuwachangie

    Ni wakati sasa kwa Chadema kurudisha imani kwa wananchi ili iwe na nguvu kama ilivyokuwa wakati wa Dk Slaa. Inaonekana wakati wa awamu ya tano walikuwa hawapambani na CCM bali na mtu mmoja ambae kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa kisiasa aliwamaliza kabisa kisiasa. Huyo ni hayati JPM, sasa...
  15. J

    JamiiForums Tanzania TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CHADEMA, Halima Mdee na Esther Bulaya wajisalimisha kwa nabii Suguye, Waombewa na kupakwa mafuta ya " Mpenyo"

    Wabunge wa Chadema waheshimiwa Halima Mdee na Esther Bulaya jana walikuwa katika kanisa la WRM kwa mtume na nabii Suguye ambako waliombewa na kupakwa mafuta ya Mpenyo. Sasa ni wazi baada ya kupokea upako wa mafuta ya " mpenyo" wataweza kupenya mahali popote iwe bungeni, Ufipa au serikalini bila...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nawashauri CHADEMA iende mahakamani kupinga uteuzi wa wale wabunge 19

    Nawashauri uongozi wa CHADEMA kuwa sasa ni muda muafaka kwenda Mahakamani kupinga uteuzi wa wale Wabunge 19 walioingia Bungeni bila kufuata sheria, kanuni na taratibu. Ninaamini Sheria itachukua mkondo wake.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Natuma salamu za Pasaka kwa Viongozi na wafuasi wa Chadema popote walipo duniani

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hatimaye Masiah amefufuka kutoka katika Wafu , Ufufuko wake unaifanya dunia yote kusherehekea kwa furaha na shangwe kuu ! Basi kwa vile siku ya Pasaka ni sikukuu basi natumia ukurasa huu kuwatakia heri ya sikukuu VIONGOZI , WANACHAMA na WAPENZI WOTE wa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wanamuogopa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango?

    Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais. Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine? Kila zama na kitabu chake! Maendeleo hayana vyama.
  20. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Sasa nina hakika CHADEMA haitakufa tena kwa matakwa ya binadamu

    Nimefuatilia mlolongo wa njia ilizopitia CHADEMA nikagundua iliwekewa mitego mingi Sana ili ife lakini haikufa. Iliondokewa na viongozi wake nguli walioiinua kwa mikono, jasho na damu zao lakini haikufa, wachache ni Slaa, Zitto, Kitila, Mwigamba, Arfi na msululu wa viongozi wake nguli CHADEMA...
Back
Top Bottom