ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM huwa hawaangalii Mgombea Bora bali wanaangalia mtu atakeyeweza kushinda jimbo

    Wapo watu walitarajia kuwa Wagombea wa mwaka huu watakuwa wa aina yake lakini cha kushangaza wamechomoza wale wale akina Msukuma, Lusinde, N.k. CCM huwa hawaangalii mgombea bora bali wanachotaka ni mtu ambaye anaweza kushinda na kubakiza kiti Chao Cha Ubunge, haijalishi ni kilaza au la.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Adabu zimeshikwa; CCM waliahidi, wametenda

    CCM ipo sana kwenye hatamu za uongozi wa Tanzania. Kila baada ya muda flani, CCM hujutafakari na kujiunda upya. Hii ni sifa muhimu sana kwa chama cha siasa. Mnayoyaona yanatokea leo, hayatokei kwa bahati mbaya, ni mipango Mahususi kutoka kwa mabingwa wa siasa. Tuliahidi kushikisha watu adabu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shughuli imeanza CCM, Mgombea wa CCM Arumeru achukua fomu za uteuzi

    Kumekucha kanda ya kaskazini. Mbunge na mgombea wa ubunge Arumeru Mashariki achukua fomu kwa kishindo.
  5. tzkwanza

    JamiiForums Tanzania CCM, siasa za visasi hazifai kamwe

    Kuna watu wamekatwa majina kwa sababu tu ni marafiki wa Membe. Sasa hivi CCM hata uhuru wa kuongea na mtu asiyepatana na mwenyekiti haupo. Taifa linakwenda wapi? Kuna watu walitoa rushwa hadharani kama Kingwangala, Waitara na Gambo ila majina yamepitishwa. Kuna wengine wamekatwa kwa kisingizio...
  6. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM bado imekumbatia mfumo dume? Kati ya majimbo 200+ ni wanawake 14 tu ndo wamepenya kugombea Ubunge

    CCM ya Meko sio rafiki kwa akina mama . 1. Ummy 2. Gekul 3. Ndalichako 4. Stella Manyanya 5. Doroth Kilave 6. Jesca Msamvatavangu 7. Hamida 8. Salma Kikwete 9. Jenister 10. Leah Komanya 11.Tulia 12. Anne Kilango 13.Bonna Kamoli 14.Angelina Mabula Hakika inasikitisha CCM badilikeni. Wapeni akina...
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uteuzi wa Wagombea Ubunge CCM ni tishio na funzo kubwa kwa Upinzani

    Siku ya Jana CCM ilitangaza majina ya Watu watakaopeperusha bendera ya chama hicho katika nafasi ya ubunge kwenye majimbo yote, Bara na Visiwani, katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. Uteuzi huo unaweza kutazamwa kwa sura mbili, yaani sura ya kwanza kuwa ni tishio na ile pili...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kwamba Viongozi wa CCM walikuwa na majina yao mfukoni

    Mwaka 2015 Kingunge Ngombale Mwiru , mwanasiasa mkongwe aliyeitumikia ccm kwa kipindi kirefu kwa wakati ule kuliko mwanaccm yeyote aliyekuwa hai , alijivua uanachama wa ccm kwa madai kwamba viongozi wa ccm wa wakati ule akiwemo aliyekuwa Mwenyekiti Jakaya Kikwete waliingia kwenye vikao vya...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hali ni tete kwa makada kunadi wagombea CCM 2020

  10. M

    JamiiForums Tanzania CCM yateua mgombea mwenye uwezo wa kufufua wafu

    Katika haii ya kuonyesha kuwa CCM haiko serious, imetuletea wagombea magumashi, walaghai, wasaniiwasanii. Mmoja wa wagombea feki, ni mzee wa kanyanga Gwajima. Huyu ana maskendo mengi kuanzia tuhuma za ngono zembe na kulaghai watu kuwa ana uwezo wa kufufua watu. Hapa chini ni video Gwajima...
  11. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: CCM inawataka wagombea wote waliofeli kura za maoni kuwapigia kampeni washindi watakaokaidi kukosa teuzi!

    Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amewataka wagombea waliofeli kwenye kura za maoni wawapigie kampeni walioshinda pindi kampeni zitakapofunguliwa. Polepole amesema CCM ni chama kikubwa tena ni taasisi ya Umma hivyo ina vyeo na fursa nyingi kwahiyo wale watakaokaidi kukampenia wenzao...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Kutoka Kanisani hadi CHADEMA na sasa CCM akielekea bungeni ili kazi iendelee!

    Ni jambo la baraka kuona mtumishi wa Mungu askofu Gwajima ameteuliwa kugombea ubunge kutuwakilisha Wananchi wa Kawe. Dr Gwajima ana weledi mkubwa katika uongozi wa watu kiroho na kimwili na ubobezi wake ameupatia nchini Korea. Ni mtu mwenye malengo makubwa na naweza kumfananisha na Rais wa sasa...
  13. Heater

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, CCM ndiye Adui wa Haki na Maendeleo katika Nchi yetu? Nini tulichojifunza kupitia mchakato wa Ugombea 2020?

    Mchakato wa Ugombea CCM ulianzia ngazi za kata na Majimbo na kuishia NEC tofauti na ilivyozoeleka. Kwa mujibu wao sababu kubwa za kupeleka NEC majina yote ya Wagombea ni pamoja na. >Rushwa (asiwe mshindi kwa kutoa Rushwa) >Kukubalika (anayekubalika na wapiga kura) >Na zinginezo Naomba nijikite...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Diamond amejibana kwenye Kona ya CCM na Simba

    Ameamua rasmi kuachana na wapenzi na mashabiki wa vyama vya siasa vya upinzani na Yanga kwa kutojali hisia za watu wa makundi hayo wakati anapotoa huduma CCM na Simba
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wa CCM umenikosha kwa kumwengua Juma Nkamia wa Jimbo la Chemba, Dodoma

    Hakika kati ya watu walioenguliwa na CCM katika kugombea Ubunge, mmoja wapo wa wananojulikana sana ni Juma Nkamia wa jimbo la Chemba kule Dodoma. Huyu Mbunge amekuwa akijipendekeza kinafiki na kwa kuudhi, kwa Rais Magufuli wazi wazi. Amekuwa akitaka muda wa Urais wa Magufuli uongezwe kwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Membe afurahishwa na uteuzi wa Wagombea Ubunge wa CCM, awakaribisha ACT-Wazalendo wale waliokatwa

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo Bernard Membe amesema amefurahishwa sana na uteuzi wa wagombea Ubunge wa CCM na kuwapa pole wote waliokatwa kwa sababu walikuwa karibu naye. Membe amewakaribisha wale waliokatwa kujiunga na ACT-Wazalendo ili safari iendelee. Ameandika katika akaunti yake ya...
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wafahamu watu 75 waliokuwa wabunge wa CCM walioliwa kichwa na kukosa uteuzi. Wamo Mwakyembe, Tizeba, Nkamia, Chenge, Adadi, Ngeleja, Masele nk

    WABUNGE takribani 75 kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambao walijitosa kutetea nafasi zao katika uchaguzi mkuu wa 28 Oktoba mwaka huu, wameangukia pua. Mkutano wa Halmashauri Kuu ya taifa (NEC), uliopitisha majina ya wagombea hao, umefanyika leo Alhamisi, tarehe 20 Agosti 2020 chini ya...
  18. MwajabuOmary

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mnachekesha, mliwatia woga wa bure wateule waliotaka kutia nia kuwania Ubunge. Vipi kuhusu hawa?

    Wakati wa mchakato wa kuwapata wagombea na hasa wa Ubunge, viongozi wa ngazi za juu kabisa za chama walijinadi kwamba wana CCM wote waliokua katika nafasi za kuteuliwa na Mkuu majina yao yatakatwa. Makatazo haya yalikua yakirudiwa mara kwa mara na hata kuwatia uoga baadhi ya wana CCM waliokua...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Je, wajumbe wa Baraza la Wawakilishi watapitishwa na CCM Zanzibar pekee?

    Nimeona zoezi la kupitisha majina ya wagombea ujumbe wa baraza la wawakilishi kule Zanzibar limesogezwa mbele kwa sababu ratiba za NEC na ZEC ni tofauti. Swali: Je, hao wawakilishi watapitishwa na NEC ya Zanzibar pekee? Maendeleo hayana vyama!
  20. 7 ELEVEN

    JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali iwalipe mshahara watumishi waliotia nia Ubunge

    Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli; Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
Back
Top Bottom