Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kitendo cha serikali ya rais John Pombe Magufuli kuongeza pesa nyingi na kuwepo na usimamizi mzuri wa mradi wa REA tayari chama cha mapinduzi kimeshajizolea kura kwa 50% za urais hata kabla ya uchaguzi.
Hii ni kwa sababu mpaka sasa ni 72% ya vijiji hapa Tanzania vimeshawekewa umeme. Nyumba za...
Nimeona mjadala mkali na wa kuvutia ukiendelea kuhusu uhai wa vyama vya upinzani hususan Chadema kuelekea 2020.
Nikiri mapema kuwa, hatuna vyama vya siasa Bali tuna vikundi vinavyopambana na dola. Hata CCM yenyewe ilikwisha acha siku nyingi kuwa Chama cha siasa badala yake uhai wake unategemea...
Tofauti na wabunge wa vyama vingine wanaohamia chama tawala CCM, wabunge wanaotoka Chadema huwa na chuki sana na chama chao cha zamani kana kwamba walifukuzwa.
Wabunge wote wa Chadema waliotoka CCM labda ukimtoa Ole millya wakisimama tu bungeni jambo la kwanza ni kuikejeli Chadema. Hata huyu...
Baada ya kuandika jinsi tabia ya uchakachuaji na uongo ya CCM inavyoendelea kuligharimu taifa. Nimeona pia ccm wakiendeleza siasa zao za migawanyiko(politics of division). Ile mbinu ya mkoloni ya “divide and rule”, wameiadapt kwa umahiri wa hali ya juu kabisa!
Kama ilivyo kwa uongo wao na...
Nawaza tu kwamba hata yule Mwita Waitara ndio uwezo wake umeishia kwenye unaibu.
Hawa akina Mollel PhD na yule Ole Milya wanafeli wapi mbona ni wasomi wazuri lakini hawaonekani?
Anyway ya ngoswe mwachie ngoswe, naishia hapo.
Maendeleo hayana vyama!
Asalam aleykum wapendwa wana siasa na wajenzi wa uchumi wa nchi yetu Tanzania. Hongereni kwa Waislam tunaoendelea na ibada yetu ya mwezi mtukufu wa Ramadhani huku tukikabiliwa na janga kubwa la Mlipuko wa Covid-19. In sha allah mwenyezi Mungu atatufanyie wepesi katika hili.
Hoja yangu ni fupi...
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
Pichani ni Mbunge wa ccm kutoka Babati akijifukiza Nyungu ili kupambana na virusi vya Corona, katika kuitikia wito wa Mwenyekiti wa Taifa wa ccm aliyewataka wananchi kufanya hivyo
Kwa hali ilivyo ni dhahiri bunge hili la mwisho la Ndugai, bila kupenda litakuwa linajadili hotuba ya jana ya Mbowe kuhusu Corona hadi litakapovunjwa rasmi 30/6/2020
Wabunge wa CCM mara nyingi wamekuwa na udhaifu wa kutegeka kirahisi na mitego ya Mbowe na hili halina afya kwa bunge, chama wala...
CCM imesema itawafyekelea mbali Wanachama wake wanaolitumia janga hatari la Corona kama fursa ya kusaka Ubunge.
CCM imesisitiza kwamba siyo wote wanaotoa misaada ya Barakoa, Sabuni na Vitakasa mikono wana nia njema bali wengine wako kisiasa zaidi.
Source: Rai
Salaam Wana jamvi, toka tuingiliwe na janga la covid 19, sijasikia kauli yoyote ya chama toka kwa katibu Mkuu au katibu mwenezi wa CCM taifa.
Kama chama kilichopewa dhamana ya kuunda serikali ni muhimu sana kutoka, kushauri, kupongeza ama kuielekeza serikali namna ya kupambana na hili janga...
Wakili wa Kijitegemea, Alberti Msando ametoa msaada wa barakoa 100 pamoja na vitakasa mikono 100 kwa waandishi wa habari Mkoa wa Arusha ili kujikinga na maambukizi ya Covid-19 kutokana na kazi yao kuwa na mwingiliano wa watu.
Akikabidhi msaada huo leo kwenye Ofisi za Chama cha Waandishi wa...
Niwe tu mkweli kwamba naifahamu NCCR mageuzi tokea ikiwa katika harakati za kupigania mfumo wa vyama vingi.
Kiukweli Nccr kimsingi siyo chama cha siasa bali ni taasisi ya harakati zilizojikita kwenye siasa ndio maana " Wanasiasa" huwa hawajiungi nacho na ikitokea mwanasiasa kaingia huko basi...
Mwanamuziki namba 1 wa kizazi kipya MwanaFA ametoka hadharani na kusema ni kweli aliumwa Corona na kwamba amepona kabisa.
Anasema sasa anaelekeza nguvu zake kwenye kinyang'anyiro cha ubunge kupitia CCM katika jimbo ambalo atalitangaza wakati chama kitakaporuhusu wagombea kutangaza nia zao...
Hivi ni kamati hii ya siasa ya wilaya ya Mpwapwa (CCM )au ni ya wakati wa uchaguzi uliopita ndiyo iliyofanya Madudu? Hebu kwa weledi kabisa niambieni! Imekuwaje jimbo la uchaguzi la Mpwapwa lina madiwani hawazidi wanne?
Kwa weledi kabisa hebu kamati ya siasa niambieni kwa nini halmashauri ya...
Niko na bwashee Kavishe hapa ananiambia wabunge wote wa Chadema waliohamia CCM ni wale soft soft ambao hawajawahi kuwekwa mahabusu wala kulala polisi kwa sababu za kisiasa.
Bado natafakari lakini kwa haraka nakumbuka Mwita Waitara amewahi kulala mahabusu kwa siku kadhaa.
Wengine ......Ole...
Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus(covid-19) 🦠
Hivyo ccm lazima ipoteze uchaguzi mkuu ujao, hata kama wakiwapa...
Kwahaya yanayo endelea nchini ,ipo siku ccm watakuja kujuta na kuomba msamaha hadharani wakitembelea magoti na kutoa machozi ya damu kwa walichowafanyia watanzania, mwenye masikio na asikie,mwenye macho na atazame siku yaaja haina tarehe wala mwaka wala saa, huhitaji kuwa na digrii kuelewa...
Ukilinganisha na uchaguzi wa kwanza nchi yetu ikiwa inafuata mfumo wa vyama vingi mwaka 1995 chama cha upinzani kikubwa wakati huo kilileta upinzani na hata CCM iliogopa maana Nccr mageuzi ilikuwa almanusra wachukue nchi.
Ukaja uchaguzi wa mwaka 2000 CCM walijipanga kivingine hivyo walishinda...
Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda ameagiza kuwa mtu yeyote anayeenda katika eneo lolote la manunuzi lazima awe amevaa barakoa (mask).
Amesema haijalishi ila lazima watu wavae barakoa “Ununue, ukate kanga, ukate leso na utafute rubber bands. Lazima uwe umevaa barakoa”
Aidha, ameagiza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.