Naomba kuuliza: Hivi gazeti la Majira linamilikiwa na CCM?

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Nilikuwa nalipenda saana hili gazeti miaka ya nyuma lakini hivi karibuni nimepoteza kabisa hamu ya kuliona mbele yangu kutokana na habari zake kuegemea upande mmoja tu.

Pengine limebadilisha wamiliki siku hizi! naomba kujua manake hili sio Majira tena ile iliyokuwa imejizoelea umaarufu wa "kubalance'' habari na habari kem kem zilizoshiba.
 
Back
Top Bottom