Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Tumeona kwa macho Mh Rais ambaye pia ni Mwenyekiti wa ccm akimjulia hali Mzee Mangula ambaye alilazwa ICU baada ya kuanguka ghafla kwenye vikao vya ccm , na baadaye kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum Mtukufu Mambosasa akajitokeza kuitangazia dunia kwamba Mzee Mangula amelishwa sumu
Hoja yangu...
CCM OYEE!
1.Ajira kwa vijana hakuna...CCM OYEE
2. Wafanyakazi hakuna kuongeza mishahara...CCM OYEE
3. Wakulima wa korosho hawalipwa ...CCM OYEE
4. Watu mtaani ni kuombana ombana pesa tu ...CCM OYEE
5. Baadhi ya watu ni miungu watu...CCM OYEE
6. Watu kubomolewa nyumba na kufa kwa presha...CCM...
Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda
Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi CCM haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
Kauli ya Polepole kuwaita wapinzani Corona ni kauli ya hovyo na ambayo haikupaswa kutolewa hadharani na kiongozi wa ngazi aliyonayo hasa katika kipindi hiki ambapo duniani inapambana na ugonjwa huu.
Wakati watu wengi wakiguswa na kauli ya kuwafananisha wapinzani na corona,mimi naona hatari...
Ndugu zangu,
Ili kupambana na janga la ugonjwa wa Corona CCM wametangaza kupitia Katibu wa Itikadi na Uenezi leo Ndg. Humphrey Polepole kuahirisha mikutano na mikusanyo yote inayoratibiwa na CCM.
''Ajizi nyumba ya njaa''; Mwenyekiti wa CHADEMA Ndg. Freeman Mbowe bado kakomaa kuhamasisha...
Tumemsikia wenyewe aliyekuwa mwanachama wa CCM, Bernard Membe akidai kuwa katika kufukuzwa kwake CCM, Katiba ya chama chake haikuzingatiwa
Kwa maelezo yake, kikao pekee chenye uwezo wa kumfukuza mwanachama yeyote wa CCM, ni Halmashauri Kuu ya CCM, jambo ambalo haliikufanyika, badala yake ni...
Nimesikiliza kauli moja tu ya mtumishi wa Mungu Mchungaji Msigwa akikiri kuwa ana undugu na Rais Magufuli.
Na zaidi Mchungaji Msigwa akasema kama wanafamilia "wao" wana namna wanavyoshughulikia mambo yao.
Nilichojiuliza ni kwanini Mchungaji Msigwa hajawahi " Kujimwambafy" kwamba yeye ana...
CHADEMA mlionesha uugwana mkubwa sana kwa kutuchangisha Tsh 350m kwa wahukumiwa wote hata aliyekuwa katibu Mkuu wenu aliyewakimbia. Hii iliwajengea heshima kubwaa kwa kuonesha kuwa mlithamini mchango wake na isitoshe kesi aliyohukumiwa ilitokana na kuwa kiongozi wa CHADEMA kipindi hicho...
Ethiopia waligoma kuzuia safari China, Kuna cases 104 mwafrica 1 amekufa, Congo pia.
Marekani wameshazuia, sisi haya mambo ya urafiki tuacheni, naiomba serikali nipo chini ya miguu yake wazuie safari zote, huu ugonjwa Ni mbaya.
Corona ikija kutuua au kuua ndugu zetu CCM haitapona, nasema...
Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM)
Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali.
Kwa...
WASIFU WA AKWILINA AKWILINI
Akwilina Akwilini alizaliwa tarehe 1 April, 1996 katika Kijiji cha Olele-Marangu, wilayani Rombo, mkoani Kilimanjaro, akiwa ni mtoto wa sita kati ya watoto nane wa familia ya mzee Akwilini Shirima.
Akwilina alipata sakramenti mbalimbali katika kanisa Katoliki la...
Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es salaam kimemlipia faini ya Shilingi Milioni 30 mwanachama mpya wa chama hicho Vincent Mashinji aliyekutwa na hatia kwenye makosa kadhaa kwenye Hukumu iliyotolewa jana ya kesi iliyokuwa ikimkabili pamoja na viongozi wa Chadema akiwemo Freeman Mbowe katika...
Wakati tunaendelea kupata taarifa za hukumu kutoka Mahakama ya Kisutu
Napokea taarifa kutoka Mbeya kuwa Madiwani wawili wa CHADEMA, Lucas Mwampiki wa Kata ya Mwakibete ambaye pia alikuwa mwenyekiti wa madiwani wa Chadema mbeya pamoja na Ndugu Hussein Wasoha ambaye alikuwa diwani wa kata ya...
Mahakama ya Kisutu leo Machi10, inatarajia kutoa hukumu kwa Viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi Mahakamani hapo, Viongozi hao ni pamoja na Mwenyekiti CHADEMA, Freeman Mbowe, pia John Mnyika, Halima Mdee, Ester Bulaya, Ester Matiko, Heche, Msigwa na Mashinji.
Katika kesi hiyo...
Kuna watu bila kujali itikadi yao ya kisiasa ambao kazi yao ni siasa. Watu wa aina hii lazima wafanye siasa maana maisha yao yote yanategemea siasa.
Kuna tofauti kubwa kati ya chama cha siasa na mwanasiasa. Mwanasiasa anaweza kufukuzwa na wenzake kutoka ndani ya chama au anaweza kukihama chama...
Diwani wa CCM mkoani Tabora ameuawa kwa kukatwakatwa mapanga na watu wasiojulikana.
Watuhumiwa sita wanashikiliwa na jeshi la polisi hadi sasa na OCD amesema idadi hiyo inategemewa kuongezeka
Mkuu wa mkoa wa Tabora mh Mwari ameagiza msako mkali uanze mara moja ili kuwanasa wauaji.
Nao...
Nitajiunga na CCM endapo Simba watashinda mechi ya leo bila kubebwa na marefa sioni beki za kuwazuia washambuliaji wa Yanga wasipate matokeo gemu ya leo.
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akifanya mahojiano na kituo cha utangazaji ITV amenena haya kuelekea uchaguzi Oktoba 2020.
HOTUBA KWA UFUPI
CCM imejiandaa kushinda kihalali, na ushindi wenyewe sio wa Oktoba, ulianza kutafutwa tangu 2015, hiyo ndio tiketi yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.