Uchaguzi 2020 Nitashangaa sana kama CCM watampitisha Dkt. Mwigulu Nchemba kwa madudu haya anayofanya Iramba

Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
250
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo anapofanyia madudu yake ya kuunda Timu ya kuhakikisha anajipatia ushindi kwa njia zisizo halali. DKt. Mwigulu Nchemba amekuwa anajiamini sana na anafanya rough nyingi ambazo zimeharibu wilaya yetu. Wilaya yetu mwaka huu inamchagua mnunua madaraka live. Yaani inmweka mtoa rushwa haswaaaaa bila chenga.

Dkt. Mwigulu amehakikisha amewaweka madiwani ambao anawataka yeye na kuhakikisha madiwani wote ambao walionekana kuwa karibu na Prof. Kitila Mkumbo hawapati kura za kuongoza katika mchakato. Baadhi ya madiwani ambao Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ni Ndugu Samwely E. Shilla wa Ulemo mwenye namba ya simu 0759255***. Huyu alimtuhumu kutofautiana naye kwa sababu akiwa kama Makamu Mwenyekiti wa Halmshauri alianza kuonekana kutaka kugombea ubunge na pia kumpinga Dkt. Mwigulu na kutaka angalau Pro. Kitila aingie.

Kuna diwani mwingine wa Shelui Ndugu Kinota Khamisi mwenye namba ya simu 0755644*** naye huyu Dkt. Mwigulu amehakikisha hashindi kura za maoni. Amehakikisha pia Ndugu Ramadhani Hanje wa Maluga mwenye namba ya simu 0756007*** hashindi kura za maoni na wengineo wengi tu ambao nimekuwa nikiongea nao. Dkt. Mwigulu alichokuwa akifanya ni kwenda kuwahonga wajumbe shilingi elfu arobaini hadi 80 kutokana na ushawishi wa mjumbe husika usiku kwa usiku.

Kwa sababu Dkt. Mwigulu alikwishawahonga viongozi wa CCM Wilaya kwa vimilioni kadhaa basi viongozi hawa wamekuwa wanasusua kuchukua hatua kwa tuhuma dhidi ya Dkt. Mwigulu na juzi angalau walianza kuita watu kuwahoji kuhusu tuhuma husika na huku wakifanya kila namna malalamiko hayo yasifike uongozi wa juu. Nikiwa kama MwanaCCM na kwa uchunguzi nilioufanya wakati wa mchakato huu nina uhakika na ninachokiandika na pia akina Polepole

Dkt. Mwigulu amekuwa mtu wa majidai na kujitengenezea watu wake tu ambao anahakikisha wanapata uongozi kwa ajili ya kutengeneza tabaka la kumlinda na mipano yake ambayo haina tija kwa Iramba. Dkt. Mwigulu hana jambo lolote lililo lake binafsi ambalo unaeza kusema amelianzisha yeye Iramba zaidi ya mipango ambayo imekuwa ni ya Serikali. Kuna aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu mdada Hidaya Massanja mwenye namba ya simu 0752930*** pamoja na kutoshinda kura za maoni kwa kutumia rushwa Dkt. Mwigulu anafanya jitihada ili ahakikishe anapitishwa kama Diwani wa Viti Maalumu. Katika Kata ambayo wazazi wake wanatoka Diwani ambaye ni Ndugu na Mwigulu - Innocent Msengi amekuwa akitumika na Dkt. Mwigulu katika kugawa rushwa kwa kutembelea kila Kata wakitumia gari aina ya pick -up ya Dkt Mwigulu mwenyewe.

Ninajua kuwa Dkt. Mwigulu ni msomaji sana wa maandiko ya JF na hapa apitie na kukanusha kama haya yaliyoandikwa ni ya uwongo. Mwisho ninaitahadharisha CCM Iramba kuwa wanaharibu Jimbo letu amabalo linatengeneza uongozi kuanzia madiwani mpaka ubunge wanaoingia kwa kutumia rushwa. Kinachofanyika ni kutengeneza tabata la uongozi usio na tija kwa wananchi wa Iramba na hakika itatuchukua muda sana kutoboa kama tukiwa na mbunge asiye na mipango yake binafsi kwa maendeleo yetu zaidi ya mipango ya Serikali kwa ujumla wake.
 
jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
310
1,000
Kafe mbele huko tokea uanzage kutoa Mapovu yako kwa Mwigulu kipi ulichoambulia?!

Mwenzako ndiyo kwanza anashiba na mipovu yako utabaki nayo.
 
jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
310
1,000
Na umpe ujumbe yule muuza mafuta ya diesel ya wizi pale Ulemo salamu za wewe na yeye tunazo!
 
Elevat Kapela

JF-Expert Member
Dec 9, 2017
559
1,000
Inawezekana nina matatizo kichwani. Sipendi watu wanaitwa ma- Dkt, kama alivyo Mwigulu. Nahisi alipokuwa na shahada ya kwanza ni sawa na alipopata shahada ya uzamili/umahiri na ni sawa kabisa na alipopata shahada ya uzamivu.
 
mwaimu Jt

JF-Expert Member
May 7, 2017
809
500
Ninaandika hivi kama MwanaCCM mwenye uchungu na Chama changu na ninayeamini usafi katika kutumikia umma. Ninatokea kijiji cha Simbalungwala ambacho ni jirani na kijiji cha Makunda anapotoka Dkt. Mwigulu Nchemba na pia jirani na Ulemo kijiji ambacho Dkt. Mwigulu Nchemba kajenga na ndipo anapofanyia madudu yake ya kuunda Timu ya kuhakikisha anajipatia ushindi kwa njia zisizo halali. DKt. Mwigulu Nchemba amekuwa anajiamini sana na anafanya rough nyingi ambazo zimeharibu wilaya yetu. Wilaya yetu mwaka huu inamchagua mnunua madaraka live. Yaani inmweka mtoa rushwa haswaaaaa bila chenga.

Dkt. Mwigulu amehakikisha amewaweka madiwani ambao anawataka yeye na kuhakikisha madiwani wote ambao walionekana kuwa karibu na Prof. Kitila Mkumbo hawapati kura za kuongoza katika mchakato. Baadhi ya madiwani ambao Dkt. Mwigulu Nchemba ametoa ni Ndugu Samwely E. Shilla wa Ulemo mwenye namba ya simu 0759255***. Huyu alimtuhumu kutofautiana naye kwa sababu akiwa kama Makamu Mwenyekiti wa Halmshauri alianza kuonekana kutaka kugombea ubunge na pia kumpinga Dkt. Mwigulu na kutaka angalau Pro. Kitila aingie.

Kuna diwani mwingine wa Shelui Ndugu Kinota Khamisi mwenye namba ya simu 0755644*** naye huyu Dkt. Mwigulu amehakikisha hashindi kura za maoni. Amehakikisha pia Ndugu Ramadhani Hanje wa Maluga mwenye namba ya simu 0756007*** hashindi kura za maoni na wengineo wengi tu ambao nimekuwa nikiongea nao. Dkt. Mwigulu alichokuwa akifanya ni kwenda kuwahonga wajumbe shilingi elfu arobaini hadi 80 kutokana na ushawishi wa mjumbe husika usiku kwa usiku.

Kwa sababu Dkt. Mwigulu alikwishawahonga viongozi wa CCM Wilaya kwa vimilioni kadhaa basi viongozi hawa wamekuwa wanasusua kuchukua hatua kwa tuhuma dhidi ya Dkt. Mwigulu na juzi angalau walianza kuita watu kuwahoji kuhusu tuhuma husika na huku wakifanya kila namna malalamiko hayo yasifike uongozi wa juu. Nikiwa kama MwanaCCM na kwa uchunguzi nilioufanya wakati wa mchakato huu nina uhakika na ninachokiandika na pia akina Polepole

Dkt. Mwigulu amekuwa mtu wa majidai na kujitengenezea watu wake tu ambao anahakikisha wanapata uongozi kwa ajili ya kutengeneza tabaka la kumlinda na mipano yake ambayo haina tija kwa Iramba. Dkt. Mwigulu hana jambo lolote lililo lake binafsi ambalo unaeza kusema amelianzisha yeye Iramba zaidi ya mipango ambayo imekuwa ni ya Serikali. Kuna aliyekuwa Diwani wa Viti Maalumu mdada Hidaya Massanja mwenye namba ya simu 0752930*** pamoja na kutoshinda kura za maoni kwa kutumia rushwa Dkt. Mwigulu anafanya jitihada ili ahakikishe anapitishwa kama Diwani wa Viti Maalumu. Katika Kata ambayo wazazi wake wanatoka Diwani ambaye ni Ndugu na Mwigulu - Innocent Msengi amekuwa akitumika na Dkt. Mwigulu katika kugawa rushwa kwa kutembelea kila Kata wakitumia gari aina ya pick -up ya Dkt Mwigulu mwenyewe.

Ninajua kuwa Dkt. Mwigulu ni msomaji sana wa maandiko ya JF na hapa apitie na kukanusha kama haya yaliyoandikwa ni ya uwongo. Mwisho ninaitahadharisha CCM Iramba kuwa wanaharibu Jimbo letu amabalo linatengeneza uongozi kuanzia madiwani mpaka ubunge wanaoingia kwa kutumia rushwa. Kinachofanyika ni kutengeneza tabata la uongozi usio na tija kwa wananchi wa Iramba na hakika itatuchukua muda sana kutoboa kama tukiwa na mbunge asiye na mipango yake binafsi kwa maendeleo yetu zaidi ya mipango ya Serikali kwa ujumla wake.
jamaa una moyo sana wewe.
 
Lyaka Mlima Jr

JF-Expert Member
Mar 24, 2020
295

Alikuwepo leo ktk uchukuzi wa fomu akishangilia sana
 
fundi25

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
10,004
2,000
Iyo sio rushwa ni pesa ya chai au ku brush viatu alisha sema bwana mkubwa!
 
Lombo

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
4,375
2,000
Mnambua ubmnawashauri Nini wapiga kura wnzako....Hilo piganeni tu...lakini kwa Rais mpeni mbeba maono Tundu Lissu!
 
Mnambua

JF-Expert Member
Jan 6, 2020
246
250
Mnambua ubmnawashauri Nini wapiga kura wnzako....Hilo piganeni tu...lakini kwa Rais mpeni mbeba maono Tundu Lissu!
Tunasubiri tu walete jina lake, madiwani wale ambao amehakikisha hawaongozi kura za maoni tutahakikisha wanahamia upinzani na kushawishi wapiga kura wao ama wamwondoe Dkt. Mwigulu au wampunguzie kura zake na pia kuhakikisha upinzani unapata madiwani Jimbo la Iramba. Tunasubiri juma moja tu mambo yatajipa yenyewe. Dkt. Mwigulu hafai kabisa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom