ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa Kamati kukata jina la Mshindi wa Kura za ndani bila sababu za maana?

    Mtia nia anashinda kura za ndani kwa wajumbe halafu Kamati inakuja kumkata kisa sababu zao wanazojua. Swali ikiwa ndani kwa wajumbe alipita je ukimkata atahama na wajumbe wangapi? Je, hao wajumbe wanawapiga Kura wangapi ambao wanaweza kuhama na mtu wao? Mwisho wa siku jimbo hiloo kisa kiongozi...
  2. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Padre wa Kanisa Katoliki aliyeomba Ubunge huko Kagera kupitia CCM asimamishwa rasmi kuendelea na wito

    Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm! Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwaka huu kama umegombea CCM, ukikatwa jina lako huna mbadala, majina yote kutolewa siku ya mwisho na NEC

    Mwaka huu kama umegombea kwenye kura za maoni, ukashinda halafu kamati kuu au wenye chama wakakata jina lako huna mbadala kama iliyokuwepo siku za nyuma, kwamba utakimbilia upinzani ugombee. Kama mnavyosikia, alisema Polepole na jana pia amesema Waziri Mkuu kuwa kura za maoni hazikua na maana...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania milioni 29,188,347 kuwahukumu akina Magufuli (CCM), Lissu (CHADEMA) na Membe (ACT-Wazalendo) Oktoba 28, 2020

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Rufaa mstaafu, Semistocles Kaijage, amesema daftari la wapiga kura lina wapigakura milioni 29,188,347. Nipashe. Kimahesabu hapo najua Magufuli ana Kura zake Milioni 20 Kamili, Lissu ana Kura Milioni 9,188,347 na Membe ana 0. Mshindi kuwa...
  5. mkalamo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwa namna gani chama imara kama CCM, kikubwa na chenye historia ndefu kinawezaje kusumbuliwa na vyama vidogo?

    Wakuu habarini za kitambo kidogo na poleni sana kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na mpendwa wetu Rais Mstaafu Mzee Benjamini Mkapa (R.I.P), Kwa muda mrefu huko nyuma nilikuwa najiuliza inawezekanaje na ni kwanini CCM hujikuta wanatumia nguvu kubwa sana kuvuka na hatimaye kupata ushindi wa chaguzi...
  6. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio Kamati Kuu ya CCM ambao maweshika roho za watia nia, TAKUKURU watawezana?

    Huu ndo wakati wa Kamati Kuu kuchanua,wagombea na watia nia wanahaha kuweka mambo vizuri kwa wajumbe. Kuna watu wametoshana kwenye kura, kuna watu wana tuhuma za rushwa hawana uhakika wa jina kurudi. Itoshe tu kusema kwamba wajumbe ndio wakati wao huu wa kunyenyekewa na kula vya bure. Anayesema...
  7. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania CCM mnalea rushwa,au mnabisha?

    Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi. Waombeni TIS wawasaidie Kama...
  8. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu twende na ajenda hizi umalize kazi mapema ili CCM iwe historia

    Sitaki kua mnafki nataka niende haki kwa wanyonge halisi. Haya ndio wanayoyataka 1.Ajira kwa vijana 2.Boresha Maslahi kwa watumishi wa umma na punguza kodi kwenye mishahara yao ibaki digit moja angalau 9%-6% 3.Kila mwanafunzi mwenye sifa za kujiunga chuo kikuu apate mkopo wa Elimu bila tatizo...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Same : CCM yapukutishwa

    Hii ni baada ya mamia ya wananchi kurudisha kadi za chama hicho na kjiunga na Chadema. Taarifa zinadokeza kwamba huu ni mwanzo tu , kipigo zaidi kinakuja .
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kulaumu tujiulize Je, wabunge wa upinzani wanatekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM?

    Tuanzie pale bungeni je wapinzani huwa wanaunga mkono hoja za serikali ya CCM? Kwenye mabaraza ya madiwani je wapinzani wanashirikiana na CCM kuleta maendeleo? Tukijiridhisha ndio tutaona umuhimu wa kuongozwa na wabunge wa "chama tawala" ili kukoleza kasi ya maendeleo. Nawatakia Eid Mubarak...
  11. Street Hustler

    JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kuchukua fomu Viti Maalum kwa vijana CCM

    Wandugu naomba kujua hawa viti maalum wa CCM ni kipi huwa kigezo tofauti na kura wanazopigiwa na wanachama wenzao hasa wajumbe? Kiukweli wengi wao ukiwaangalia ni wanavutia kwa sura mpaka unasema hivi wanachagua miss Tanzania au pia ni waxuri kwenye kujenga hoja huko bungeni? Naomba mtujuze...
  12. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa kisiasa anaouonesha Magufuli hadi CCM wenyewe wanamshangaa

    Tumekua tukisikia kwamba mkuu wa nchi ni mbaguzi hasa linapokuja swala la mitazamo ya kisiasa, kitu ambacho si kuzuri na hakifai kwa mkuu wa nchi. Tofauti na viongozi wengine, hata marais waliopita, Mheshimiwa hapa amefeli na inaonyesha anafanya makusudi. Jana akiwa Msoga, diwani wa hilo eneo...
  13. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli ya Rais, tuombe sheria ya kodi ibadilishwe, majimbo yote ya upinzani Serikali ya CCM isikusanye kodi hata senti huko

    Nimeyaelewa vizuri majibu ya jana ya Mh. Rais JPM alipowajibu wananchi wa jimbo la Mheshimiwa mbunge BWEGE, hivyo niombe pia sheria ya kodi ibadilishwe ili majimbo yote ambayo wananchi wamechagua upinzani au watachagua upinzani basi waachiwe na kodi zao ili wajiletee maendeleo wenyewe...
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Utafiti unaonyesha baadhi ya majimbo kura za maoni za CCM hazikuwa za siri tena, waliotoa rushwa waliwatisha wapiga kura endapo wasingewachagua

    Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema waliwahonga wapiga kura kila kata. Masharti yalitolewa kwa makatibu kata na viongozi wengine wanapokwenda...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ukiukaji wa taratibu za Uchaguzi Jimbo la Ukonga

    KATIBU WA MKOA CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 19989 DAR ES SALAAM 22/07/2020 Ndugu Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam...
  16. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi mambo yalivyo Uchaguzi Mkuu mi binafsi nahamia CCM

    Wakuu baada ya kutafakari kwa Kina na Kazi kubwa iliyofanywa na Rais Magufuli kwa Miaka 5 mi binafsi nahamia CCM, naomba CHADEMA wenzangu Mniunge mkono huku niendako. Yale tuliyokua tunayapigia Kelele kwa miaka yote sasa yamekua yanatakelezeka chini ya Mheshimiwa Magufuli Sina Sababu ya...
  17. mfalmeselemani

    JamiiForums Tanzania CCM yaombwa kuchunguza rushwa Tarime Mjini

    Na Mwandishi Wetu HALI ya sintofahamu inazidi kugubika ushindi wa Jackson Kangoye kwenye kura za maoni katika jimbo la Tarime Mjini, baada ya viongozi wa Chama wilaya kukiuka taratibu na kumbeba Kangoye. Taarifa za kuaminika ilizozipata zilidai kuwa Kangoye ametumia fedha lukuki ikiwemo kutoa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Rushwa iliyomwagwa kwenye kura za maoni za ubunge CCM Kyela inatisha, kuna mgombea amegawa pikipiki kwa kila katibu kata

    Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Nawaomba mnisome hapa: Mchakato wa kutafuta wagombea ndani ya CCM umeibua mambo mengi ambayo ni vizuri kuyajadili. Muhimu ni kuelewa kwamba kwa mpangilio wa vyombo vya uasalama na ukubwa wa CCM, bado kitakuwa ndicho chama kitakachoongoza nchi hii kwa miongo ijayo. Tatizo langu ni ukomavu na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CCM kama kweli tunataka 'Kumuenzi' vyema Hayati Mzee Mkapa na hata Baba wa Taifa tukae mbali na 'Unafiki' huu wa Kidemokrasia

    Taasisi ya Tulia Trust imetoa mkopo wa bodaboda 21 zenye thamani ya zaidi ya Sh. milioni 50 kwa vikundi mbalimbali vya waendesha bodaboda katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Nipashe. ----------- Ni Mpumbavu (Popoma) tu pekee ndiyo anaweza asigundue kuwa hii tayari ni 'Pre Campaign' ambayo huyu...
Back
Top Bottom