Salaam kutoka Zenji ,kuna uhakika kutoka kila pembe kuwa sasa ni rasmi CCM imeshazikwa Zanzibar,hilo halina mjadala ,jukwaa la CCM Zanzibar CCM huchawanyika na kumuwacha/chia baba na mwana kwenye jukwaa.
Huyu baba ameenda kufanya nini mbona anamharibia mwanawe ? Husein unahisi ana ukakasi fulani...