ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere asema atastaafu siasa siku chache zijazo!

    Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo. Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere. Source: Radio One Maendeleo hayana vyama!
  2. E

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM wanakosea wapi?

    Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi. Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za haki na za usawa"fair". La hasha. Ila nyingi ya mbinu walizotumia, mfumo wao wa Kampeni na njia zao...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Video: Halima Mdee akiomba matengenezo ya barabara za Kawe bungeni

    Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Picha: CHADEMA yaendelea na kampeni Mbarali , CCM hali mbaya

    Maneno matupu hayavunji mfupa , mtiti wa Mwang'ombe huu hapa , Huu ni umati wa wanakijiji cha Kapunga .
  5. Mag3

    JamiiForums Tanzania GE2020 PICHA: Ingetokea kada wa CHADEMA ndiye angetinga hivi kwenye mkutano wa mgombea wa CCM, angetoka salama?

    Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Bashiru: CCM mwaka huu itavunja rekodi kwa kupata ushindi mkubwa wa kihistoria kwa sababu tunashindana na vyama dhaifu sana!

    Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze. Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani. Chanzo: ITV habari ------ MWANDISHI...
  7. Cannabis

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samia Suluhu: Hata mkipigia kura kule kwingine CCM ndio inaenda kuunda Serikali, tutashinda vikubwa sana Tanzania

    Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali. Amesisitiza kuwa...
  8. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Meli mpya kwa ajili ya Ukerewe yakamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka, imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Octoba 2020

    CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300. Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia. Kama ilani ya...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani akutana na Katibu mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru Lumumba jijini Dar es Salaam

    Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm. Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa. Source Watetezi tv Maendeleo hayana vyama!
  10. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Miundombinu kila mtu anaweza kujenga, ugumu wa kazi ya Urais uko hapa...

    Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo: 1. Kuwaunganisha watu, 2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao 3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua. 4. Usalama wa raia, 5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme 6. Uhuru kwa kila...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Burudani kwenye siasa haziepukiki ndio maana Tundu Lissu na Raila Odinga hucheza reggae, CCM hupendelea singeli

    Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti. CCM hupendelea kwaya na Singeli Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk Kinachotofautisha aina za burudani...
  12. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM Halisi, tarehe 28 Oktoba tukaoneshe kwamba hatukupendezwa na wahamiaji ku-control Chama

    CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka. Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama kilivyoendeshwa. Wageni kama Katibu Mkuu na Polepole wamekuja na kukivuruga Chama kabisa. Wakamdanganya Bwana...
  13. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kauli za Mgombea CCM Dkt. Magufuli kuhusu umwagaji wa damu zina maana gani?

    "Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14. Nini maana ya...
  14. P

    JamiiForums Tanzania GE2020 Amani Golugwa na Ally Bananga wameonesha umahiri mkubwa kwenye kampeni

    Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao. Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super. This...
  15. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hapa ndipo walipokosea viongozi wa CCM kwenye mikakati ya kampeni

    1. Unapotaja fly over ya ubungo na Tazara ishia Dar es Salam maana Kigoma awatakuelewa. 2. Unapotaja reli ya standard Gargey ishia Dodoma, Mtwara ni vigumu kukuelewa. 3. Unapokwenda ukerewe zungumzia uvuvi na namna nyavu zilivyo chomwa Moto, usizungumzie uchumi wa Kati. 4. Ukienda Mtwara...
  16. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushindi wa CCM mwaka huu utakuwa mtamu sana kwa sababu Dkt. Magufuli atamshinda mpinzani wa kweli Tundu Lissu

    Tangu chaguzi za vyama vingi zianze tumezoea kuona wagombea urais wa upinzani ambao wamewahi kuwa wanachama wa CCM au TANU huko nyuma. Sina hakika kama huyu Tundu Lissu aliwahi kupitia chipukizi au UVCCM wakati akiwa mwanafunzi ila siasa za " ukubwani" amezianzia NCCR mageuzi. Ndio kusema kwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kawe, Dar: Yaliyojiri mkutano wa Dkt. Magufuli katika viwanja vya Tanganyika Packers

    Jua linachomoza, madimbwi yamekauka kwa Upendo wa Mungu na watu kwa maelfu wanaelekea viwanja vya Kawe Tanganyika packers kumsindikiza kipenzi cha watanzania Dr Magufuli. Karibuni nyote. Rip Mwalimu Nyerere Up dates; DKT. BASHIRU: SIFA YA MAENDELEO YA WATU NI KUJITAWALA WENYEWE Katibu Mkuu...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

    BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli. Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi. Tamko hilo limetolewa jana na Katibu wa Bakwata Wilaya ya Mtwara mjini...
Back
Top Bottom