Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Leo Babati Mjini.
Mgombea urais wa JMT kupitia Chadema Mhe. Tundu Lissu kuanzia leo Oktoba 18, 2020 ataanza rasmi kampeni zake kwa kutumia Helikopta
Chanzo: BAVICHA TAIFA
Asanteni Babati
Tukutane 3010 kujipongeza...
Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Mama Samiah Suluhu.
Agosti 25, 2020
M/Kiti wa NEC, Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa amemteua Dkt. John Pombe...
Ilani ya CCM 2015-2020 Ukurasa wa 7
Ilani ya ccm 2020-2025, Ukurasa wa 10
Hivi hizi kelele zote hasa huwa za nini wakati namba zinaonyesha jamaa na CCM mpya yake wame- drop? Kumbuka hizo ni mukuu kutoka ilani ya CCM yenyewe.
NB: Moderator achia uzi ujitegemee, wala usiupotezee maana hizo...
RATIBA YA KAMPENI YA MH #TUNDU LISU
KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA.
TAREHE 18.10.2020
1. HANANG
2. MBULU
3. KARATU
TAREHE 19.10.2020
1. SIMANJIRO
2. MONDULI
3. LONGIDO
4. ARUMERU
5. HAI
6. MOSHI MJINI
TAREHE 20.10.2020
1. MWANGA
2. LUSHOTO
TAREHE 21.10.2020
1. KOROGWE
2. MUHEZA
3. TANGA...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
Kitendo cha mtandao wa Airtel kugawa namba za watu kwa CCM bila ridhaa zao na kuwatumia ujumbe wa kuwaomba kura uungwa kabisa. Huu ujumbe ambao unamuombea Magufuli kura unaonekana kua ni maneno ya msemaji wa CCM Humphrey Polepole kuwaomba watu kura. Ni usumbufu kitendo hiki kutawakosesha wateja.
Waswahili walisema tangu zamani kwamba hakuna marefu yasiyo na ncha , hicho ndicho kinachotokea sasa huko Monduli .
Wamasai wameamka na wamegoma kuabudu binadamu na sasa wameamua kufanya uamuzi kwa kutumia fikra huru .
Hizi ni picha za Mkutano wa mgombea ubunge wa Chadema kata ya Selela Jimbo...
Nimemsikia Polepole Leo akidai kuwa CCM ina wanachama 16 million. Assuming kuwa mwanachama ni lazima awe na umri wa miaka 18 hivyo inamaanisha kuwa kwa idadi hiyo CCM ina 70 % ya Wapiga kura wote kwa Tanzania. Kwa vile anadai kuwa Kila wanachama 3 watarecruit mtu moja hivyo kuwa na wapiga kura...
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu leo anaendelea na kampeni zake za kuingia Ikulu katika mikoa ya kati.
Mgombea huyo ambaye kila dalili inaonyesha atapata ushindi mkubwa ataingia jimboni Kongwa anakotokea aliyekuwa Spika wa Bunge Job Ndugai.
Kuna Maandalizi makubwa ya mapokezi...
Ndugu Mwananchi, Mimi John Pombe Joseph Magufuli, mgombea nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninaomba kura yako ya NDIYO kwangu, Mbunge na Diwani wa CCM ifikapo tarehe 28/10/2020, Tumetekeleza kwa kishindo tunasonga mbele pamoja. Asante sana na Mungu...
Wote hamkumwelewa Samia,
Samia kasema kwamba hata tukimpigia kura Tundu Lissu CCM ndiyo watakaoendesha serikali. Bahati mbaya wengi wetu hawajaielewa hii kauli anamaanishanini. Wengi wanamtukana na yeye anafurahia matusi maana kuna kilichojificha ambacho hatukijadili.
Hali iko hivi. Samia...
Hivi huku kuomba kura kwa namna hii ni kwamba mtu anakuwa anatafuta uongozi wa kwenda kuongoza watu au wanatafuta uongozi wa kwenda kula?
Hivi ni wananchi wajinga wa wapi wanaweza kumpa kura mgombea fulani ili awe kiongozi wao kwa kulialia na kugaragara jukwaani bila kuwashawishi watu kwa...
Msafara wake ni mkubwa na ulinzi aliojiwekea ni wenye gharama kubwa sana, matumizi kwenye kampeni na ulinzi ni pesa nyingi ambazo zinaweza kutatua kero katika Wilaya zote kila mwezi.
Je, haya matumizi yanalipwa na chama chake au Serikali ndio inalipia kampeni yake? Kumbuka safari ya kampeni sio...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Kamarada Humphrey Polepole leo Jumamosi Oktoba 17, 2020 atazungumza na Vyombo Vya Habari.
---
Mgombea urais kupitia CCM, John Magufuli Oktoba 19, 2020 ataendelea na mikutano ya kampeni katika mikoa sita akianzia Pwani na kumalizia mkoani Dodoma Oktoba 26, 2020...
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:
Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.
Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja...
Tunawasoma watu maarufu waliopingana na uonevu wa wakoloni wakatuletea ukumbozi. Waliofanya hayo walianza kwenye sanduku la kura 1958 na 1961 wakaingia ikulu na mzungu akafungasha virago.
Toka 1961 Hadi leo kwanini tunawakumbuka na kuwashukuru? Ni kwa sababu watu waliamua kutotawaliwa, kuminywa...
Kama Kuna Uchaguzi ambao CCM inapelekeshwa ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020!
Mhe. Tundu Lissu ameendelea kusambaratisha ngome za CCM kwa hoja nzito ya Kitambulisho Cha Mjasiriamali au MACHINGA kwa kudai kwamba VITAMBULISHO hivo Ni Ufisadi kwa vile vilitolewa bila Risiti na havina:
1. Jina la...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini?
Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.