Ndugu zetu wa CCM na CHADEMA waliokoma 2015 na walioibuka 2015 mpaka sasa

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,360
11,515
Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao.

Wakaibuka akina Mmawia , Bia yetu Kawe Alumni jingalao n.k hawa nao wakajiambatanisha na CCM hii ya Magufuli kwa sababu ya mfanano wa Itikadi,kabila n.k tunaamini 2025 nao watapotea wataibuka wanufaika wapya wa CCM hiyo na pengine watarudi wale wa 2005- 2015.

Chadema watu wake kwa asilimia 80 wamebaki ni wale wale ukiondoa waliondoka na Dr. Slaa na waliokuja na Lowassa na wengine pia wakaondoka naye.

Ukichunguza utagundua. Its all about maslahi. Nani anapata keki awamu hii na nani anakosa...
 
Dah ni ngumu kwa JF kusahau moto aliokuwa nao Ritz na FaizaFoxy 2015 na baadae kidogo 2016. ulipoanza tu mzozo wa membe kukosoa 2016 basi tukaanza kumpoteza mmoja mmoja mpaka sasa wataibuka tu zikitajwa mada za dini yangu..
 
Lizabon na Jingalao sijui nini kiliwapata walikuwa wanaongea mpaka mishipa ya shingo ina wasimama
 
Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao...
Ila usisahau Kuna upande ambao no wazalendo wanaoangalia maslahi,wanayoamini kwa nisawa,japo wengine waweza kuwa wanatetea maslahi wasiyoyajua vema.
 
Mashabiki wengi wa chadema wa sasa hivi ni hawa waliorudi na Lisu toka ubelgiji!

Lakini chadema wa 2010 hadi 2015 wote wamesinyaa
 
Wote hao wamemfuata mkapa buriani!tena wanajiandaa kumpokea mama wa jiwe halafu kwa mbaali watamsubiria jiwe ambae hakatizi miaka mitatu mbele!!!hii ndio KARMA!!
 
Walikuwepo wafuasi wa CCM Kikwete akina FaizaFoxy , Undertaker et al hawa rasmi walikoma mwaka 2015 sababu zilizowafanya wakome kuwa watetezi wa CCM ni uongozi mpya uliokuja. Ulikuwa tofauti kiitikadi na wao.

Wakaibuka akina Mmawia , Bia yetu Kawe Alumni jingalao n.k hawa nao wakajiambatanisha na CCM hii ya Magufuli kwa sababu ya mfanano wa Itikadi,kabila n.k tunaamini 2025 nao watapotea wataibuka wanufaika wapya wa CCM hiyo na pengine watarudi wale wa 2005- 2015.

Chadema watu wake kwa asilimia 80 wamebaki ni wale wale ukiondoa waliondoka na Dr. Slaa na waliokuja na Lowassa na wengine pia wakaondoka naye.

Ukichunguza utagundua. Its all about maslahi. Nani anapata keki awamu hii na nani anakosa...

Hahah!
Umenikumbusha mbali sana ndugu.
kifupi mika mitano hii imekuw aya matesoi wengi tumestaafu kuizungumzia siasa tukiogopa kutekwa na pengine hao unaosema wamepotea ndio wale wa kwneye viroba.
Tuombeane mazuri popote tulipo na walipo.
 
Kibibi Faiza ana changamoto za kiafya, wa leo wa kesho na umri umemtupa.... pia tatizo dini ya Jiwe.
 
Back
Top Bottom