Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Labda huyu msajili atuambie Chama cha TLP kinachomnadi Mgombea wa CCM ndugu Magufuli sio chama cha Siasa.
Kwa tafsiri ndogo ya kifungu cha 11A cha sheria ya vyama vya siasa Sura 258 iliyonukuliwa na msajiri hapo, ni kwamba sheria inahusu KUUNGANA KWA VYAMA yaani kwa kizungu wanaita...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi.
"Kwenye mchakato...
Hapa JF tunapigana vijembe na hasa watu wa CHDEMA wakijaribu kuonesha kwamba wao wako fit kuliko CCM na kwa ujumla hawazungumzii vyama vingine utadhani kweli nchi hii ni ya CCM na CDM. CCM wana udhaifu wa kuwa na viongozi ambao wanahangaikia kuiba na kujitajilisha na chama kuwa maficho ya watu...
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nsimbo (hawaonekani pichani) wakati akielekea Uvinza mkoani Kigoma katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 20 Septemba 2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dkt. John Pombe...
Karibu kila chombo cha Habari kinaonekana kupigia chapuo chama cha Mapinduzi. Gharama Kubwa inaonekana kutumika kwa CCM kutafuta wananchi watakaoipigia Kura CCM.
Kinyume chake naona wananchi wanatumia gharama kubwa kumtafuta Lissu popote alipo hasa mitandaoni.
Ukikuta Kikundi cha watu kikao...
Viona mbali tulisema kwamba mzee baba kuwabana wapinzani wasifanye mikutano ni kuzuia waseme ya moyoni ili upate kujirekebisha. Ilikua ni wakati sahihi kuwaacha wazunguke kisha utathmini siasa zao majukwaani kisha uone madhaifu yao. Sasa umewaambia hakuna mikutano ya hadhara wajifungie kwenye...
CCM tulimpamba mzee sana kuanzia bungeni na nje ya bunge, tukaenda mbali na kusema kuwa hahitaji kampeni 2020 bora hata uchaguzi usifanyike ili apite bila kupingwa, hizi kauli za kinafki ni za kumhujumu mgombea wetu kuanzia leo iwe mwisho. Kama kweli hatukuhitaji kampeni wala uchaguzi huo CHOPA...
UJUMBE MZITO KWA MAGUFULI NA CHAMA CHANGU CHA CCM
Mheshimiwa Rais wangu, Pole sana kwa majukumu yako ya uchaguzi. Unajitahidi sana kufanya campaign ya ushindi, kwa bahati mbaya mambo hayaendi vizuri. Napenda ni kosoe na nitoe ushauri, tunao muda wa kuwe kufanya mabadiliko yenye manufaa, na...
Tangu 1995.
Kila uchaguzi idadi ya wahudhuriaji wa mikutano ya urais ya CCM ni kama 3/4 ya wanaokwenda kwenye mikutano ya mgombea wa upinzani.
Enzi za Mkapa, Kikwete hata JPM awamu ya kwanza mfano tu CCM Kirumba ilikuwa inatapika.
Wakati nyomi ya upinzani ilikuwa ikibanana pale furahisha...
Mwanzoni Kabisa mwa Uchaguzi Bashiru Ally alinukuliwa akisema kuishinda ACT Wazalendo ni rahisi sana kuliko kuishinda CUF.
CCM na CHADEMA au Kama CCM itajigawa ndio vyama vitakavyochuana miaka 20 tokea sasa.
Imechukua siku 20 tu CCM kuivunja ACT-Wazalendo vipande viwili na kumnasa Zitto Kabwe...
Kichwa cha habari kinahusika.
Walau CCM kama chama pamoja na madhaifu yake mengi kuna mambo watanzania walikivumilia kutokana na mila zake. Licha ya chama kulea ufisadi na kuwalinda mafisadi kwa muda mrefu bado kiliishi kwenye misingi. Hatukuwahi kupata kiongozi mwenye madhaifu mengi...
Kitu ambacho narudia mara ya pili kikisisitiza, ni kwanini Mzee baba anafanya kazi ya kujibu hoja za Tundu ambaye ana akili nyingi sana na sasa ameshamjuia anacheza na milio ya midundo yake. Mimi nilisema mzee ajikite zaidi kuelezea anayotaka kuyafanya badala ya kuhangaika kumjibu Tundu, hii...
Na Thabit Jacob
Nimeangalia mahojiano kati ya @TZMsemajiMkuu na Salym wa @bbcswahili Jioni hii. Msemaji Amesema serikali ya awamu ya tano imeboresa sana uwazi kwenye sekta ya madini na mikataba. Huu ni upotoshaji na naomba niweke ufafanuzi na ukweli halisi. Thread
Kwanza kabisa, wananchi wengi...
CCM walidanganyika mno kudhani Uchaguzi wa 2020 ungekuwa rahisi, haifahamiki kama aliyewadanganya alikula njama au ilikuwa bahati mbaya ( tunaendelea kuchunguza )
Hapa chini nimeweka video fupi ili hata wale wenye bando la mashaka kutokana na kufa kwa Uchumi wa Tanzania wajionee kifo cha CCM...
#HapaKaziTu #UmojaNiUshindi
Hii ni SPECIAL THREAD itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais Dr. John Pombe Magufuli na Mgombea Mwenza Samiah Suluhu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Nitakuwa naweka muendelezo kwa kila kampeni nchi nzima.
23 Agosti 2015...
Wana-CCM dawa ya Lissu ni moja tu, Mtoto akililia wembe mpe; chambeche Wahenga.
Huyu Lissu analilia mdahalo na mtukufu Rais, asizubaishwe. Kwa kuwa mdahalo ni kipimo bora cha wagombea na kwa kuwa mdahalo utaonesha kiwango na ubora wa maono waliyonayo wagombea kupitia sera watakazozielezea na...
Chama hiki kinajinasibu kama ni cha uwazi na uzalendo nadhani watakuwa wameweka wazi hilo sehemu flani. Maana kila nikipita mitaani naona wao tu ndio wanaendelea na harakati za kuweka mabango.
Nimepita mnazi mmoja kuna diwani anamabango makubwa kuliko hata ya mgombea urais. Nimepita Mtaa flani...
"Nitoe wito kwa chama changu cha Mapinduzi, watumie vikao badala ya kuwa wanasemana hadharani huo sio utaratibu wa chama cha Mapinduzi"-Mhe. Dk. John Magufuli - Mgombea Urais wa CCM.
Radio One Stereo / ITV Tanzania.
Kama wana CCM hata Wewe ( Mwenyekiti ) tu umeambiwa kuwa 'Wanasemana' vibaya...
Kuna Jambo haliko sawa kwenye Kampeni za Wagombea Urais hasa kwa mgombea wa CCM Bwana John Pombe Magufuli.
Bunge la JMT lilivunjwa mwezi June, 2020 ili Rais, Mawaziri na Wabunge waende kwenye Uchaguzi kuomba ridhaa ya wananchi ili warudi tena Ikulu, Wizarani na Bungeni.
Katika Kampeni zake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.