Kwa tulioshuhudia chaguzi zote tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi 1992 wanaweza kukubaliana na mimi kuwa kampeni za Chama cha Mapinduzi zimepoa sana.
Wiki iliyopita Dkt Magufuli kamaliza mapumziko ya siku 8 juzi kafanya kampeni siku moja halafu kapumzika tena hata ratiba haijulikani.
Kama anasikiliza uongo wa Polepole kuwa atashinda kwa asilimia 80 wanamponza.
Nawashauri CCM wafanye kampeni zimebaki siku chache hata nusu ya mikoa ya Tanzania hajamaliza atapataje 80%, safari hii macho ni mengi wasitegemee kupata kura za ujanja ujanja ni ngumu sana, labda kama wamejiandaa kutumia nguvu.