Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Kama Kuna Uchaguzi ambao CCM inapelekeshwa ni Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2020!
Mhe. Tundu Lissu ameendelea kusambaratisha ngome za CCM kwa hoja nzito ya Kitambulisho Cha Mjasiriamali au MACHINGA kwa kudai kwamba VITAMBULISHO hivo Ni Ufisadi kwa vile vilitolewa bila Risiti na havina:
1. Jina la...
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! hatimaye amejibu kikamilifu maombi ya Watanzania baada ya kuwaamsha Wazee wa Tabora waliokuwa kwenye usingizi wa pono, ambao sasa wameapa kuiteketeza kabisa ccm bila huruma kwa kukataa hongo ya matibabu ya bure iliyoletwa kwa lengo la kuwarubuni ili waichague...
Wala sio hesabu ngumu. Ni wazi sana kwamba taasisi kama Polisi na NEC mara kwa mara zinafanya ukosefu mkubwa wa usawa dhidi ya vyama vya upinzani. Umewahi kujiuliza kwa nini?
Sababu ni moja, viongozi wa taasisi hizi wanajua wazi kwamba Upinzani ukichukua serikali wataondolewa madarakani...
Wadau,
Huu ni uzi wa swali.
Nimefuatilia kwa karibu kuona jinsi Rais Magufuli anavyoilea familia yake na nikaona kuna mfanano fulani na jinsi hayati baba wa taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere alivyoilea familia yake.
Kwanza sijaona mama yetu Janet Magufuli akiwa na taasisi yake Kama wake...
1. Wajiimarishe kuanzia ngazi za chini kabisa za Wananchi ambapo CCM ndiyo huwa inawashindia
2. Wapambane kuwa Taasisi kweli kweli na siyo Vyama ambavyo vinakuwa 'Active' tu wakati wa Chaguzi
3. Waache Unafiki ( Undumilakuwili ) wao unaowamaliza 24/7 japo Ukweli huu huwa hawaukubali
4. Wasitumie...
Mtoto wa Baba wa Taifa ndugu Madaraka Nyerere amesema atastaafu siasa siku chache zijazo.
Ikumbukwe kuwa Madaraka alikuwa mwenyeji wa mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu alipotembelea Butiama na kulala nyumbani kwa Mwalimu Nyerere.
Source: Radio One
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kipindi ambacho nimekifahamu Chama cha Mapinduzi kwa chaguzi zilizopita. Kimekua kikifanya vizuri kwenye kufanya Kampeni za Uchaguzi.
Sisemi kwamba mbinu zote walizotumia zilikua ni sahihi za haki na za usawa"fair". La hasha. Ila nyingi ya mbinu walizotumia, mfumo wao wa Kampeni na njia zao...
Nimemfuatilia sana huyu jamaa kwenye mkutano wa Chadema uliokuwa unahutubiwa na Mh. Tundu Antiphas Lissu, alivyokuwa anahangaika, mara atoe kiredio chake mfukoni kama vile anawasiliana na mtu asiyeonekana, mara atafute namna ya kusogea karibu zaidi na alipo Mh. Lissu, mara atafute nafasi ya...
Katibu mkuu wa CCM Dkt. Bashiru amesema CCM itapata ushindi mkubwa na wa kihistoria ambao haijawahi kuupata tangu mfumo wa vyama vingi uanze.
Bashiru amesema mwaka huu CCM iliyoshikamana bila uwepo wa makundi inashindana na vyama dhaifu sana vya upinzani.
Chanzo: ITV habari
------
MWANDISHI...
Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi, (CCM), Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 15/10/2020 amewambia wakazi wa Chunya mkoani Mbeya kuwa wasipige kura kwa Chama Kingine kwa sababu hata wakipiga kwingine Chama Cha Mapinduzi kinaenda kuunda serikali.
Amesisitiza kuwa...
CCM Kwenye ilani iliahidi kujenga meli mpya baada ya ile ya MV NYERERE kupata ajali. Leo imekamilika kama ilani ya CCM ilivyotaka imeingia majini leo kuanza safari rasmi tarehe 19 mwezi huu wa Oktoba 2020 ina uwezo wa kubeba abiria 300.
Tatizo la usafiri Ukerewe kuwa historia.
Kama ilani ya...
Balozi wa Marekani nchini leo amekutana na Katibu mkuu wa CCM katika ofisi ndogo ya chama Lumumba jijini Dsm.
Taarifa rasmi ya walichozungumza Dr Bashiru na balozi huyo wa dunia zitaletwa.
Source Watetezi tv
Maendeleo hayana vyama!
Habari wakuu. Ugumu wa kazi ya Urais upo katika maeneo haya yafuatayo:
1. Kuwaunganisha watu,
2. Kuwafanya majority wawe na furaha na nchi yao
3. Kuboresha uchumi wa raia maana ndio tegemeo lao kuu walipo kuchagua.
4. Usalama wa raia,
5. Huduma bora za afya, maji, elimu, umeme
6. Uhuru kwa kila...
Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.
CCM hupendelea kwaya na Singeli
Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya
ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani
NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk
Kinachotofautisha aina za burudani...
CCM kwa nje tunaonekana tuko wamoja na wenye upendo na Wagombea wetu. But ukweli ni kwamba moyoni mwetu tuna mambo ambayo tumeyaweka.
Kwa hiki kipindi miwili hatukuridhika namna Chama kilivyoendeshwa. Wageni kama Katibu Mkuu na Polepole wamekuja na kukivuruga Chama kabisa. Wakamdanganya Bwana...
"Baba wa Taifa ametawala kwa miaka 20+, Mwinyi miaka 10, Mkapa miaka 10, Kikwete miaka 10 hatukumwaga damu. Na mimi katika miaka 5 niliyotawala sikumwaga damu! Amani na usalama wa Watanzania ni kitu kikubwa, usiombe vita ni mbaya." -- Dkt. John Magufuli akiwa Kawe jana tarehe 14.
Nini maana ya...
Mpaka sasa CHADEMA na team mzima ya Lissu imeonyesha umahiri mkubwa katika cordination na organization ya kampeni yao.
Golungwa na Ally Bananga kama Ma-kampeni Manager wameonyesha uwezo mkubwa sana! Wako well calculated, organization yao iko very perfect, na Cordination yao is much super.
This...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.