ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa inatumika vibaya kuivusha CCM kwenye Matatizo

    Kwa lugha ya harakaharaka Kanda ya ziwa imekuwa ikitumiwa na CCM Kama kete ya mwisho kuivusha baada ya maovu yote. Bahati mbaya sana hawa wavushaji hawathaminiwi. Wanatumiwa kama condom, Uchaguzi ukiisha mambo yanaanza yaleyale. Bila Magufuli 2015 CCM ilikuwa inaaga mashindano, hata baada ya...
  3. Influenza

    JamiiForums Tanzania Siri hadharani: Siyo Vyama vya Upinzani ni Vyama Vya Watoa Taarifa

    Akipokelewa mkoani Dar es Salaam kama Katibu Mwenezi na Itikadi wa CC, Paul Makonda amesema kazi ya CCM ni kusikiliza kuwa sikio la Serikali na kusema kuwa Sauti ya Wananchi Amesema "Naomba nitumie fursa hii kutuma salamu kwa Mawaziri wote, Wakuu wa mikoa, na kwa Watendaji wote ya kwamba pale...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Itikadi na Uenezi CCM, Paul Makonda atambulishwa rasmi CCM, atinga kwa bodaboda

    Kuanzia Saa Tatu (3) Kamili pale Ofisi Ndogo Lumumba Mwamba na Kiboko ya Wapinzani wote Tanzania hasa CHADEMA na ACT Wazalendo Ndugu Paul Makonda (Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Taifa) atakuwa anatambulishwa kuanza Kazi ya Kuwanyoosha na Kuwaadabisha Wapinzani wote nchini Tanzania. Hakika...
  5. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda aipasua CCM, kigogo ndani ya chama atishia kujiuzulu

    Hii ndio Taarifa ya Gazeti la MwanaHalisi kama ilivyowekwa ukurasa wa mbele .
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hawa watu wakirudishwa chamani historia ya nchi itabadilika ghafla

    Kikosi kazi 1. Makonda 2. Polepole 3. Ally Hapi 4. Sabaya Ili kikosi kicheze vizuri tunahitaji hawa: 1. Bashiru 2. Kabudi 3. Chalamila 4. Gambo 5. Majaliwa 6. Ndugai
  7. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania CCM msituchanganye ilani ndiyo msingi mkuu wa uchaguzi na kuchaguliwa

    Habari! Kila ninapojaribu kuangalia ilani ya chama na vipaumbele vya CCM (2020-25),nakuwa hopeless kabisa inaonekana behaviour approach is most likely katika chama hiki kikongwe nikipendacho kuliko preferences ambazo zilikuwa manifested kipindi cha uchaguzi ambapo RAIS MAGUFULi(party manifesto)...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

    Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CCM ni kikundi cha watu wasiozidi 100

    Ndugu Watanzania mwezangu naomba niwasalimie kwanza, heshima zote nawapa. Baada ya salam, naomba nijitambulishe kwa ufupi tu mimi ni nani, mimi ni Mtanzania tu wa kawaida mwenye umuri wakati, sio kijana sana wala sio mzee sana. Ila kama ujana au uzee ungepimwa kwa kiwango cha mapenzi kwa nchi...
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ni nini chanzo cha mapato cha wana CCM kwani kila nikikutana nao ni kuomba fedha kila wakati!

    Kuna kitu kinanishangaza sana bora leo nikiseme wengine wakupatie majibu. Kila nikikutana na viongozi na wanachama wa CCM hawasiti kuomba omba fedha na hawajishughulishi kutafuta fedha au kufanya kazi. Ni nini vyanzo vya mapato vya watu hao!! Je familia zao wanazihudumia vipi?
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ujio mpya wa Ndugu Paul Makonda ndani ya CCM ni mfano wa Injili ya Mtume Paulo katika Biblia

    Kipekee kabisa natumia fursa hii tena kuutazama uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama dhamira njema ya Rais SS Hassan kuisogeza CCM karibu na wananchi hasa katika kusimamia watendaji wa serikali ili CCM kupitia Serikali yake iweze kutimiza ahadi zake na malengo kwa...
  12. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Upinzani wanaipenda CCM, kama hawaipendi basi waanzie kukosoa sera za Hayati Mwalimu Nyerere

    Historia ya Tanzania(Tanganyika) inatuonesha muasisi mkuu wa chama cha TAA hatimae TANU(CCM) ndiye Rais wa awamu ya kwanza wa nchi Mwalimu Nyerere ndiye yeye aliyeanzisha itikadi na falsafa za chama pamoja na utamaduni huu ambao tupo based. Lakini napata mshangao kuona majukwaa ya upinzani...
  13. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alaani uteuzi wa Paul Makonda kuwa Mwenezi wa CCM

    DAKIKA 31:49-37:50 https://www.youtube.com/live/HcjWmHNQ9wQ?si=zi7ImpuRnAjBicwy Kwenye maridhiano kati ya CHADEMA na CCM kumefanyika vitu vingi ikiwa ni pamoja na wanachama wa CHADEMA waliokuwa nje kufutiwa kesi na kurudi nchini, wana wapinzani waliokuwa na kesi za kubambikizwa kuachiwa huru...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Mr Paul Makonda Appointment: Letter to her Excellency Samia Suluhu Hassan, CCM Chaiperson

    Dear Madam CCM CHAIRPERSON I hope this letter finds you well. Iam writing to bring to your attention a matter of concern regarding the appointment of an individual within the party who has been declared ineligible to enter the USA. It has come to my attention that this individual, despite...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Heko CCM: Wao wakifarakana, wewe kandamiza hapo hapo!

    Hasira za nini ndugu zangu? Badala ya kupambana nao tumegeukiana sisi kwa sisi. Majibu ya awali: 1. Mikataba 3 na wale ndugu, kwishney. 2. Konda boy ndani ya nyumba. Na Bado! Ama kweli tunapoendelea kujitafuta, mwana mikakati wao apewe sifa. Hizo ndiyo siasa za kiutu uzima. Wao ni kutu zoom...
  16. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Inauma sana pesa za Walipakodi kupotea Kwa sababu ya uzembe wa Baadhi ya watu na hawachukuliwi hatua yeyote. Dola mil.30 sawa na Bil.75 ni km 55-60 za Barabara ya Lami ila Kuna watu wamepata kiulaini. Swali. Hivi Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Huwa inalisaidiaje Taifa? === Kwa mujibu...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani kuvunja Uhusiano na CCM?

    Serikali ya Marekani imemuweka Paulo Makonda kwenye orodha ya Watu hatari duniani, huyu hatakiwi kukanyaga Marekani na nchi washirika wa Marekani. Anatuhumiwa kuhusika na usitishaji wa Uhai wa binadamu wengine nchini Tanzania, Kwa tafsiri rahisi, kusitisha Uhai wa watu wengine ni kuwaua...
  18. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kushinda 2025 inahitaji kura kuu 2 tu

    CCM kushinda 2025 Inahitaji kura kuu 2 TU! a) Kura za wanawake ambapo inatakiwa link kati ya wanawake na CCM, ndo sababu ya Jokate Mwegelo kupewa UWT. Mind you mtu alozaliwa 1990-1994 ni Mama na potential voter wa 2025/2030. Na huyu by any means anamjua Jokate kama rolimodo wake b) Kura za...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Unasaini mkataba wa bandari wakati huo huo unamrudisha Makonda. CCM Bado ni wahuni

    Pole pole anasema kataa wahuni na wahuni wenyewe wako ndani ya CCM. Matukio haya ya leo yamekuja ilimradi kutuchanganya tu ...tujadili lipi tuache lipi ... Kwa ufupi sisi tutajadili yote pamoja na uhuni huo ...hasa hasa la Bandari. Je vipengele vimerekebishwa? Huyo makonda wenu mtajuana wana...
  20. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla ampongeza Makonda kuteuliwa mwenezi NEC taifa. Ampigia simu kumpongeza

    Kada maarufu wa CCM leo amefurahia kwa bashasha zote. Amempigia simu Paul Makonda na kumpongeza kwa kupata uteuzi wa heshima. Mbali na hilo amefurahia CCM kupata mchapa kazi na jembe.
Back
Top Bottom