ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Je, mwitikio mdogo wa wananchi kwenye ziara za viongozi wakuu CCM unaponywa na vikao vya chama vya dharura?

    Kuna tatizo la mapokezi ya viongozi wa chama limejitokeza Manyara na Singida. Kuna mgawanyiko mkubwa umejitokeza jambo lililopelekea Nyalandu na Kabudi kurejeshwa jukwaani wakisaidiwa na askofu wa KKKT. Mwenyekiti ameona wazi kwamba safu iliyopo kwenye chama haijafanya kazi iliyokusudiwa kwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kujikomboa kutoka CCM, uwe tayari kujitoa ufahamu

    CCM ni watu wazima walioamua kubakia madarakani bila kujali lolote. Wanajua kuwa pumzi imekata, wamechoka na wamechokwa wala hawana jipya. Ripoti zote (za karibuni) za CAG zinao uthibitisho huo. Ni umeme, reli, SGR, ATCL, Demokrasia, utawala bora, ajira za kupeana, wizi, kukosekana haki au eneo...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Singida (M) Martha Mlata: Miaka 60 ya Mkoa wa Singida

    MWENYEKITI CCM (M) MARTHA MLATA KATIKA ZIARA YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Ndugu Martha Mlata ameambatana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ziara ya kukagua miradi na kuzindua miradi...
  4. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ccm hawaelewi protoko?

    Nipo kwenye mahafali mkoa wa Ruvuma Manispaa ya Songea,kuna mahafali kwenye shule ya sekondari.ajabu nilishangaa mgeni rasmi alipotakiwa kuongeza hela ili keki ifunguliwe eti akasema kabla sijaongeza nataka kutumia salam ya chama watu wakiitikia ndiyo naongeza,halafu alipofika wakati wa kulisha...
  5. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa kada wa CCM ni lazima uwe kilaza?

    Katika mkutano wao leo alisikika kada mmoja akisema vyama vya upinzani ni wapiga kelele kama mbu wakati ana ongea pia baada ya kusema visima anasema vichimba ama kweli ccm makada wao ni mapapai na ni viazi kabisa
  6. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Hili agizo la Serikali kugharamia misiba na maziko ya viongozi wa CCM ni dhuluma kwa kodi zetu

    Leo asubuhi nimesikia kwenye redio kipindi cha kusomewa magazeti kuwa rais ameagiza serikali isimamie na kugharamia maziko ya makada wa CCM huko Njombe waliofariki kwa ajali wakiwa kwenye shughuri za chama chao, kitendo hiki hakitoi haki kwa watamzania wote ambao si wafuasi wa CCM ambao...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa

    Ni jambo la kheri kuwa wanaharakati na wanasiasa hatimaye wametengana na kila mmoja anapambana na hali yake. Kuvunjika kwa koleo sI mwisho wa uhunzi. Kwani hata nini cha mno kilipatikana tokea miaka 90 hadi leo kwenye muunganiko wa makundi haya? Hadithi zile zile za kuibiwa chaguzi na kutendewa...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025: Kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri

    Wadau, siku zinakwenda mbio. Hazigandi. Uchaguzi Mkuu unakatibia sana. Hapana shaka kwamba chama-tawala CCM kitaendelea kumsimamisha Rais Samia, lakini kitu pekee kitakachokiangusha CCM ni Rushwa iliyokithiri. Serikali ya Samia inanuka Rushwa toka mtaani hadi Ikulu.
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana CCM wameendelea kuishi kwa kutoachiana chakula wala maji mezani?

    Viongozi wa CCM hawaachiani maji wala msosi mezani. Ukienda kuongea na simu ukaacha maji aidha colorless water or maji ya dhahabu basi sharti uyamwage maana lolote laweza kutokea. Haya matamshi yapo mioyoni mwa wengi na Kikwete aliwahi kuyasema, lakini pia unaweza kufanya utafiti binafsi kwenye...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna safari ndefu na ngumu sana chini ya CCM

    Wakati Tanzania tukiwa na mawazo ya KIJINGA kufikiria kukamata wanaotumia VPN kisa huduma ya internet bongo ni mbovu na TZ inazuia baadhi ya mitandao ya kijamii kupatikana nchini bila sababu za msingi. Wenzetu wanajenga vinu vya nyuklia kwaajili ya nishati ya umeme. Juzi kati serikali ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Tumesikia imetokea ajali ya Hiace na kuua watu sita wanaodaiwa ni wanachama wa CCM huko Niombe. Katika mitandao yote iliyoripoti habari hii jumbe za kebehi na kushangilia ajali hii ni nyingi. Wanaoshangilia wametoa hoja wakionyesha changamoto tulizonazo za ajira ,nishati na rushwa zimechangiwa...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Wadau waulizia alipo Mwana CCM Thadei Ole Mushi

    Karibu kila mahali na mitandaoni kote wadau mbali mbali wanaulizia aliko Mchambuzi Mahiri na Mtetezi kabambe wa siasa za CCM, Bwana Thadei Ole Mushi. Kwani ni kipi kimemtokea huyu Jamaa?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Je, CCM wameanza kampeni za uchaguzi wa 2025?

    Wanajamvi Nauliza iwapo kampeni zimeanza, maana ninachokiona kwa CCM ni kama wameanza mapema mno bila vyama vingine kushtukia. Mifano na viashiria ni vingi lakini leo nitazungumzia ziara ya kufunga mbio za Mwenge Manyara zilivyoombatana na wasanii wa ‘Mama ongea na Mwanao’. Hii imekaaje?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Gumzo: Makatibu CCM Singida Wasafirishwa na Mfanyabiashara kwenda Arusha kuandaa Mazingira ya Kuchukua Jimbo 2025

    Huko Mkoani Singida Makatibu wa CCM kata wilaya ya Mkalama inasemekana walisafirishwa na mfanya biashara ajulikanae kwa jina la Baraka Kwenda jijini Arusha kwa ajili ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, ikiwa ni moja ya ukiukwaji wa kanuni za uchaguzi ndani ya CCM pia ni ajabu kwa Uongozi wa CCM...
  15. sammosses

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CCM kwa rasilimali za Taifa ni upi?

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Nitajie kiongozi wa CCM aliyelalamikia uwepo wa mgawo wa umeme nchini? Kama hakuna, je mgawo ni ajenda ya chama?

    Viongozi wa CCM na serikali hakuna Sehemu wanaosikika wakipiga kelele kupata madhara ya kiuchumi kwa upungufu wa umeme nchini. Hakuna hata mmoja aliyesikika au simama kutoa mawazo mbadala juu ya nini kifanyike. Ukimya huu unamaanisha kwamba hakuna adhari wanazoona au wameamua kwa pamoja wakae...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wakati Mahakama na Bunge nchini Tanzania zikiwekwa mfukoni na CCM, huko nchini Kenya Mahakama kuu imezuia Polisi wa nchi hio kutumwa nchini Haiti.

    Mahakama kuu ya Kenya angalau imeonesha uhuru wa kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa na serikali katika kufanya maamuzi yake tofauti kabisa na hali iliopo kwa jirani yake Tanzania kwa kuzuia kwa muda kutumwa kwa maafisa wa polisi nchini Haiti kufuatia pingamizi/ombi lililowasilishwa na chama cha...
  18. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa akamatwa kwa kufanya mkusanyiko usio halali huko Busokelo Rungwe

    Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sasa kama bandari ya Ujiji hairidhishi sisi nyie kama sehemu ya CCM si muifanye iridhishe. Poor Act Wazalendo

  20. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania 2025 tuchague kwa uwazi CDM huisaliti CCM kwa husuda

    Team! # Kuchagua kwa siri ni tukio baya sana - kutoichagua CCM ni kuionea kwa sababu hizi:- * CCM imejenga Miundombinu - "barabara, viwanja vya ndege, meli, reli" kibao kwa ajili ya watanzania wote (CCM, CDM, CUF, NCCR nk) * Elimu ya Juu - sijasikia wkt wa mikopo kwa watoto wetu ikitolewa kwa...
Back
Top Bottom