ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda amtaka mwandishi kumuuliza mama yake baada ya kumhoji tuhuma za kumshambulia Lissu

    Makonda amehojiwa na mwandishi wa habari kwamba Lissu amesema ulihusika na shambulia lake Dodoma Jibu amepewa kamhoji MAMA YAKO Bashite ameshindwa hata kukana kwamba hakufanya lile tukio, ni wazi jibu la kwanza ilikuwa ni kukataa kuhusika Damu ya mtu ni nzito bana.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Makonda asiwatenge Wana CCM Gamboshi

    Umeonekana umati wa wana CCM kote kanda ya ziwa. Bila shaka itakuwa furaha kubwa kutowatenga wa Gamboshi.
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Itoshe kusema CCM ni kisiki cha mpingo!

    Kwa siasa za Tanzania ni CCM pekee inayoaminika kwa uhakika kwa wananchi kisiasa, kijamii, kiuchumi, kiutamaduni, Sayansi na Techologia. Ndio chama pekee chenye viongozi mahiri wa chama, zaidi sana ndicho chama pekee chenye uwezo wakusimamisha wagombea sahihi sana na makini mno nyakati za...
  5. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania CWT dude lenye nguvu linaloisumbua Rais na kuchanganya sana walimu. Kwa nguvu ya pesa linaogopwa sana na maafisa utumishi

    Mama kama alitaka kuingilia chama hiki labda kwa lengo zuri, au lengo mahususi. Akafanya uteuzi wa viongozi wake. Kati ya viongozi wa Juu alilipoti moja tu. Kajaribu sana kuweka vitu upya kaambulia patupu. Li chama limejaa Fedha. Fedha imekipa heshima na kuogopwa sana na viongozi wa...
  6. JF Member

    JamiiForums Tanzania Mara wamsimika Makonda na kumpa jina la Manyama, aagiza bodaboza ziachiliwe, Mizigo ya magendo itozwe kodi na iachiliwe

    Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa. Ngoja tuone mwisho wa Makonda. Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere. ====== MAKONDA AAGIZA BODABODA ZIACHILIWE "Ninafahamu ya kwamba zipo bodaboda zilizotumia fursa ya mpaka kufanya biashara za magendo...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM

    Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Serikali futeni utaratibu wa kudai maiti Hospitali za Serikali

    Salaam, Shalom! Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe. Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM, Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
  9. R

    JamiiForums Tanzania CCM yagawanyika

    Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari. Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kinachonishangaza kwa Katibu Mwenezi na Itikadi CCM Makonda ni kuona leo hii akipinga mabaya aliyowahi kuyafanya

    1. Dharau 2. Uonevu 3. Ubabe 4. Uwizi/ Ufisadi 5. Dhuluma 6. Rushwa 7. Uwongo/ Kudanganya Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
  11. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Chama kimeshika hatamu; Makonda katika nyayo za wanene wa CCM miaka ya 1980

    Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani...
  12. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Kumrudisha Makonda Katika Uongozi ni Ishara Tosha kuwa CCM Hawaziwezi Siasa za Kistaarabu Kama Wanavyojinasibu

    Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu. Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani. Wameamua kurudisha warusha...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda awatibua wasaka Urais ndani ya CCM

    MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama. Wasaka urais ni watu...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

    Wanabodi Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
  15. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Makonda atoa siku 4 kwa Mkurugenzi wa Ilemela kukamilisha Vitambulisho kwa Mawakala Stendi ya Nyamongoro

    Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda kimetoa muda wa siku 4 hadi kufikia tarehe 17 Novemba, 2023...
  16. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Je, akifanyacho Mwenezi wa CCM, Makonda, ni kuinyima CCM pumzi au kuiimarisha?

    Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia. Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio...
  17. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM Chongolo hala hala baba, Makonda anakuja vibaya!

    Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya. Hapa mama Samia alilamba dume ka karata. Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion. Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa. Katibu Mkuu changamka! ==== Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM hujikosoa na kujisahihisha kulingana na Nyakati:- Mwenezi Makonda

    📌📌 MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA "CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani." Ndugu Paul Makonda...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

    Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote. Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii? Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM

    Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM. Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri. Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria. Mpina Waziri Mkuu Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo. GAME OVER.
Back
Top Bottom