bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Msanii Aliyeimba Bongo bahati mbaya hakukosea, Ulaya kuzuri Sana

    Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ? Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko . Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kumbe tunaochati Jamiiforums kuanzia Saa 8 hadi Saa 12 ndiyo tupo zetu 'Mamtoni' na wanaochati Nje ya hapo wapo 'Uswahilini' Bongo

    adriz, mwanausangi, Frank Wanjiru, Sky Eclat, KISIWAGA, Daudi Mchambuzi, cocastic na Bila bila kumbe nyie na 'Ujiniasi' Wenu wote mnaishi huko Uswahilini Bongo na ndiyo maana mwisho Wenu wa kuwepo ( kuchati ) hapa Jamiiforums ni Saa 12 za Jioni tu? Sasa ngoja nitafute Marafiki zangu wapya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Meddie Kagere asema haondoki bongo, atacheza hata championship

    Kweli bongo tamu,machozi yamemtoka akipewa mkono wa kwa heri na Simba ila amesema haondoki bongo atapambana apate timu hata kama ni championship league
  4. Naja naja

    JamiiForums Tanzania Maisha ya bongo ili utoboe jifunze sana kuroga

    Kuna mambo mengi sana yanaendelea nyuma ya pazia bila ya wewe mwenyewe tafadhari usipuuzie tafuta mtaalamu akuwekee sawa mambo yako la sivyo utatumia nguvu kubwa sana lakini hutotoboa . Kama utaona aibu kwenda kwa mtaalamu basi nenda maduka ya dawa ya asili wakuuzie dawa zitakazokukinga na...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Amini husiamini Bongo kuna dogo ana mafanikio kuliko. Maguire, ana miaka 8

    Huu sio uzi wa michezo. Ukifuatilia soka letu unaweza dhani Boko, Kagere, Wawa, Nyoni ndio watu wenye mafanikio makubwa katika umri mdogo. Dogo akiwa na miaka name tayari amegonga kopi Genk, Valencia, Barca na Ajax. Dogo anasema katika maisha yake ndoto yake kubwa Ni kuwatumikia Jangwani. Na...
  6. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Bongo Kilimo Bado sana tena sana

    Huwa nina tabia ya kutembela Supet Market za Arusha hasa zile kubwa kabisa na sio vile vi min, Sasa leo nikawa niko Village Siper Market na sana huwa nazungukia sehemu za Vyakula pekee. Ukitembelea hizi super Market kubwa kuna vitu vinasikitisha sana na kuona kabisa kilimo sisi bado mno tena...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni vitu vipi vinaiangusha Tasnia ya Bongo Movie? Changia Mawazo

    Habari wana JF, Nimejiuliza sana hivi kwanini Movies zetu za kibongo na series zetu hazipendwi kama hao Waturuki, wakorea, wafilipino, wahindi etc? Kwangu mimi nimepitia tamthiliya na muvi mbali mbali za kibongo na kugundua kasoro zifuatazo: 1. Zinakosa uhalisia ,uhalisia wa kimatukio...
  8. Internet-Money

    JamiiForums Tanzania Bongo Kama Marekani: Kimara - Kibaha highway

    Hii ni moja ya kazi Magufuli. Navuta picha Kama kungekuwa na Rais kama Magufuli kwa awamu tano, Je Tanzania ingekuwa vipi? CHEKI VIDEO
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Hawa ni malejendari wa soka la Bongo. Je, unawajua? Wataje ushinde bundle

    Leo ni weekend tunagawana umaskini, atakayetaja wachezaji wa zamani waliopo kwenye picha hii kwa usahihi bundle la weekend litamuhusu. Wataje.
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bongo movie wakasome!!

  11. T

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini, Chagua ni swichi gani inayotumia balbu, LAKINI unaweza kwenda chini kuiangalia mara moja tu. Je Unatambuaje ni swichi ipi ya balbu...
  12. Monica Mgeni

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa Filamu kuhusu Sensa ya Watu na Makazi Mwaka huu 2022

  13. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Haya ndio maadili ya Mtanzania?

    BONGO DAR ES SALAAM;AKILI KUMKICHWA UKILEMAA UMEACHWA FERRY,JE HAYA NDIO MAADILI YA MTANZANIA!? Leo 12:15hrs 24/05/2022 Uadilifu ni moja ya nguzo kuu ya kimaadili katika Utamaduni wa Mtanzania, Watanzania tuna mila, desturi, sanaa, lugha, Elimu, Michezo, tiba, ulinzi, ujuzi, mavazi, Ngoma...
  14. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
  15. pantheraleo

    JamiiForums Tanzania Nangasu Werema: Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania

    Mkurugenzi wa miradi ya Wanawake laki moja na Balozi wa Utalii Tanzania Nangasu Werema, amesema Royal Tour ya Tanzania sio Bongo Movie wala Nollywood. Royal Tour inalenga kuhamasisha Utalii Tanzania na kuelezea sehemu zenye Vivutio vya Utalii ili kuongeza Utalii na fedha za Kigeni. Ameyasema...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini wimbo wa Killy na Harmonize 'ni wewe' hautambi?

    Nawasalimu kwa jina la JMT! Nauzungumzia huu wimbo wa Killy aliyomshirikisha Harmonize uitwao 'ni wewe'. Jamani, huu wimbo unachosababisha usitambe ni nini haswaa kama sio uchawi tu?!!! Melody nzuri, Mashairi mazuri, Beat poa kabisa ya kizamani na kisasa iliyotulia, Shooting ni njema kabisa...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Kama Kanumba angekua bado hai, unahisi Bongo Movie ingekua wapi?

    The Great Kanumba kama alivyopenda kujiita alikuwa ndio star mkubwa Bongo hii na nje ya mipaka yake. Akishirikiana kwa ukaribu na waghana na wanaijeria katika kuhakikisha tasnia ya Bongo movie inapaa kileleni. Wakati huo enzi za steps entertainment wakiwa kama wasambazaji wakubwa takwimu...
  18. luangalila

    JamiiForums Tanzania Kama Maximalipo anasimamia mfumo wa usafiri wa Jiji la Maputo, vipi hapa Bongo?

    Nimesikia Kampuni ya KiTanzania MAXIMALIPO ana simamia na kuendesha usafiri ktk jiji la MAPUTO nchini Msumbiji , sasa inakuwaje hapa Bongo tuna pwaya pwaya tu na usafir wetu wa UDART
  19. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Flava star Harmonize arrested in Nairobi

    Bongo Flava Star Harmonize is reportedly under arrest in Kenya and is being held Kileleshwa police station, a day after headlining the Afrika Moja Concert at the KICC, Citizen TV has reported. Harmonize, who was supposed to leave the country on Sunday, was arrested after he reportedly failed to...
  20. American Dream

    JamiiForums Tanzania Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

    Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
Back
Top Bottom