Kibongo bongo hawa ndio mashujaa wa nchi yetu

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Mar 24, 2018
21,341
51,907
KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU.

Anaandika, Robert Heriel.

Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana.

1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea.
Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao hawajaajiriwa lakini mnajitegemea.
Aisee! Hawa kwenye Boxing tunawaita Heavyweight Boxers, yaani ngumu jiwe, pimzi Moto!
Mtu kapanga chumba/nyumba, analipa Bill ya umeme, maji, ulinzi, takataka, na Bills zingine na bado kuna kula, kuvaa, familia, michepuko, na Hana Ajira. Ogopa Sana hizo nyambi, njemba, macenary, Nyamera,

Naogopa Sana na kutetemeka nikikutana na kijana hana Connection wala Backup ya wazazi, ndugu, marafiki lakini anapambana na kujitegemea. Hawa vijana ni Heavyweight. Uzani wa juu kabisa katika mapambano,
Yaani bado mambo hayajatengemaa kwake lakini bado kuna watu wanamtegemea. Ogopa Sana hizo type za hao Vijana.

Kiukweli Taikon nikikutana na kijana wa namna hiyo namsalimia,
Kama nawe ni miongoni mwa vijana na namna hiyo pokea Shikamoo yangu,
Wewe ni shujaa.

Vijana hao nikiwaona wananikumbusha Legend mmoja aitwaye Daudi kwenye Biblia, huyo Mwamba sio kitoto, heavyweight huyo, mshikaji Hana connection wala backup ya mtu yeyote isipokuwa Imani na ujasiri wake Kwa Mungu.

Niwape moyo Vijana wote mashujaa mlioko Maeneo yote katika taifa hili. Jitambueni kuwa ninyi mpo kundi la Heavyweight hivyo msilambelambe midomo na kulegeza lips na misuli kama warembo. Pambaneni. Kazeni! Tunawaheshimu Sana.
Ninyi ndio mtakaoleta maendeleo ya nchi hii.
Siku zote maendeleo yanaletwa na watu heavyweight sio hawa Wazee WA mpaka connection ndio maisha yawe mazuri.

2. Wanaume wote Waliooa na wanaotekeleza majukumu yao.
Nani asiyejua mziki wa kuoa, Nani huyo? Labda awe hajakua.
Wanawake wenyewe wengi wao wanakiri kuwa kuwa Baba sio Jambo Dogo hasa Baba anayebeba majukumu yake.
Kibongo bongo ukioa tafsiri yake unajipa majukumu ya familia tatu.
Familia yako
Familia ya wazazi wako, na
Familia ya ukweni.

Ndoa ni chama cha Mashujaa, ambacho kinahitaji kujitoa Sadaka Kwa ajili ya Mke na watoto.
Kuvumilia madhaifu ya Mkeo na kumfundisha Mkeo(kumfundisha mtu mzima) sio Jambo Dogo.
Ndio maana wengi siku hizi linawashinda.

Ukioa, unajiwaza wewe, unamuwaza Mkeo, unawaza watoto, unawaza Kodi, unawaza bills zote, na bado unawaza kuifurahisha familia.
Sio lelemama.

Ni kitu cha kawaida Mwanaume akioa kibongo bongo akakaa miaka nenda Rudi hajanunua nguo mpya hiyo ni kitu cha kawaida. Ni Kama vile Amevaa kanzu ya Yesu au kipenzi cha Komando Yoso.

3. Vijana wa memes na vijana wa mitandaoni.
Hawa vijana watu wengi wanawadharau lakini kimsingi ndio burudani ya watu waliowengi ambao wanamajonzi na huzuni za maisha.
Siku hizi kosa pesa ya Kula lakini usikose bundle la kuingia Mtandaoni.
Hawa vijana ni mashujaa wanaofanya kazi bila ya kulipwa.
Kitu moja nilichojifunza Kwa nyakati hizi ni kuwa sio kila mtu anandoto ya kuwa Tajiri au kuwa na maisha ya kifahari, Vijana hawa wao mizaha, utani, vituko na vichekesho kwao ndio mafanikio makubwa.
Wazee WA Tiktok, Facebook, Instagram n.k.

4. Vijana wanaojilipua Mkoa ya mbali au nchi za nje.
Kujilipua nchi au mikoa ya watu sio Jambo Dogo.
Kijana anatoka Ushirombo huko anakuja DAR Hana Ndugu isipokuwa Mungu na Fungu la vijinguo vyake. Hajui atalala wapi, atakula nini, anawakuta wanaume wa Dar kina Taikon mabrazameni wanamchukulia Kama kichaa, anatembeza karanga Kwa kutangatanga jua likiwa Kwa anga.
Ndani ya miezi mitatu anapata vipesa mshenzi anapanga kodi huko Mbagala Maji matittu Kodi elfu 20 hiyo ni Kwa mwezi huku akituacha wakina Taikon tukiwa tunaishi Kwa Shemeji zetu tunabana na kunyimana pumzi.
Vijana hawa namna hii ogopa Sana. Ni heavyweight, mashujaa.
Au kijana anazamia Kwa madiba Jobeg anaishi Kama panya aliyeiba nyama za Msela Nondo aliyezipika Kwa ajili ya demu wake.
Vijana mliotukuta mjini na kutupiga TKO shikamooni. Sisi bado tupo Kwa Shemeji.

5. Wanawake wote mnaosubiria Washikaji zenu michongo Yao itiki, huku mkiwapa kisela.
Unajua nini warembo, ninyi ni mashujaa kichizi. Nawakubali kinoma Yani.
Unajua sio rahisi Kwa pisikali yamoto hasa zile type ninazozipendaga Mimi Taikon kuvumilia shida. Unakuta mtoto mkali, Sura nzuri mithili ya wanawake WA peponi, umbo matata, na kisauti chake Kama kindege cha paradiso, alafu unakilisha Asubuhi mihogo na chai ya tangawizi, mchana unakipigisha Pasi ndefu kinakutana na ugali kisamvu. Lakini kinavumilia. Huo ni ushujaa Mkubwa...

Shikamooni pisikali wote na hapa ni wanawake wote muitikie salamu yangu. Ninyi ni mashujaa ni vile tuu basi michongo ya haijatiki.

6. Wanaharakati wa haki
Kibongo bongo kupigania haki ni kujiingiza kwenye mdomo WA mamba. Kupasuka ni dakika mbili kasorobo. Roho mkononi kulala Korokoroni.
Wapo mashujaa ambao baadhi Yao walishalambishwa mchanga na wengi kuachwa na ulemavu mpaka hivi leo.
Dunia ya sasa hasa huku Afrika kuwa mtetezi wa haki ni kumaanisha kuwa umeamua kuyatoa maisha yako Sadaka.
Vitisho, mazengwe, vikwazo na kulazwa Korokoroni ni sehemu ya maisha ya watetezi WA haki.
Na hapa sizungumzii watu wa Vyama vya Siasa au wale wanaofanya Kwa kulipwa Nop! Nazungumzia wale heavyweight ambao wao wanalipua yeyote ambaye ataenda kinyume na Haki.

7. Wanawake wazuri halafu hawadangi.
Ni nadra Sana kumkuta pisikali imejaza mzigo wa kutosha hapa mjini alafu isidange.
Kwa kweli ni ushujaa wa kipekee Sana mtoto mzuri alafu awe anajiheshimu.

Nipumzike sasa,

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU.

Anaandika, Robert Heriel.

Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana.

1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea.
Shutout Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao hawajaajiriwa lakini mnajitegemea.

7. Wanawake wazuri alafu hawadangi.

Kuna ukweli fulani mkuu
 
Shujaa hawezi kuwa na sifa Kama hizo

Shujaa ni kijana Mwenye hofu ya Mungu Msafi wa mwili
Roho na matendo

Sasa unajiita shujaa unazini Hadi unauliwa Kama katibu
Unajiita shujaa unawaza ngono 24/7

Shujaa ni Kama Tundu-lissu
Msomi
Mcha Mungu
Anajitambua

Ukitaka kumuua unakufa wewe
 
Siyo kila kitu siasa, usidhani ni shughuri ndogo huna ajira na familia inakutegemea na watu wanapata chakula daily.

Watu wa hivi ni mashujaa kuliko huyo Tundu Lisu anaishi maisha first class.
 
Shout out to me! No 2 inanihusu sana, nipo mbali na my family mkoa flani huku kusini na naishi kibabe sana plus mawazo mengi lakini nahakikisha family inapata mahitaji yote ya msingi hapo kwa jiji la Makala. Najipiga kifuani mara 3 then nahitimisha kwa kusema mimi ni MWANAUME!!!!!
 
Shikamoo MKUU
 
Shujaa hawezi kuwa na sifa Kama hizo

Shujaa ni kijana Mwenye hofu ya Mungu Msafi wa mwili
Roho na matendo

Sasa unajiita shujaa unazini Hadi unauliwa Kama katibu
Unajiita shujaa unawaza ngono 24/7

Shujaa ni Kama Tundu-lissu
Msomi
Mcha Mungu
Anajitambua

Ukitaka kumuua unakufa wewe

Ni shujaa ndio kwenye vipengele kadhaa nilivyovitaja
 
Shujaa hawezi kuwa na sifa Kama hizo

Shujaa ni kijana Mwenye hofu ya Mungu Msafi wa mwili
Roho na matendo

Sasa unajiita shujaa unazini Hadi unauliwa Kama katibu
Unajiita shujaa unawaza ngono 24/7

Shujaa ni Kama Tundu-lissu
Msomi
Mcha Mungu
Anajitambua

Ukitaka kumuua unakufa wewe
stress sio nzuri huyu kwenye takwimu za pale milembe hayupo kweli
 
Shujaa hawezi kuwa na sifa Kama hizo

Shujaa ni kijana Mwenye hofu ya Mungu Msafi wa mwili
Roho na matendo

Sasa unajiita shujaa unazini Hadi unauliwa Kama katibu
Unajiita shujaa unawaza ngono 24/7

Shujaa ni Kama Tundu-lissu
Msomi
Mcha Mungu
Anajitambua

Ukitaka kumuua unakufa wewe
Kwenye ucha Mungu Tundu Lissu umemsimgizia we jamaa hebu kuwa mkweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hii #7 wako 15% tu wasio danga

Lakini pia #2 wenzangu nawapa hongera pia,aisee si mchezo...sometimes silali nawaza namna ya kukwamua familia kiuchumi na mambo yanakwenda
 
Shujaa hawezi kuwa na sifa Kama hizo

Shujaa ni kijana Mwenye hofu ya Mungu Msafi wa mwili
Roho na matendo

Sasa unajiita shujaa unazini Hadi unauliwa Kama katibu
Unajiita shujaa unawaza ngono 24/7

Shujaa ni Kama Tundu-lissu
Msomi
Mcha Mungu
Anajitambua

Ukitaka kumuua unakufa wewe
Nimecheka sana
 
Uzi noma sana huu.. mtoa post ubarikiwe kuna point inanihusu
 
Back
Top Bottom