Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.
Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.
Defend ni verb
Defence ni noun
Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina
Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi
Msikie huyu...
Bongo kila kitu ni kuchakachua tu!
Iwe maji ya kunywa feki kibao, iwe sigara feki, iwe makalio ya wanawake nayo feki mtupu, bikira nazo feki, unga feki, hata kwenye kandanda nako siku hizi michongo mtupu n.k
Sasa sijui tukimbilie wapi, nimeagiza wine nikaambiwa ni alter wine!
Aisee nimejaribu...
Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi.
Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili.
Ni wakati muafaka wa...
Top ten Bongo movie series of all time.
Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia.
lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
Ishu vipi wakuu,
Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya
1) Kinondoni
2) Ilala
3) Ubungo
4) Temeke
5) Kigamboni
Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu.
Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha.
Iko hivi" Nguo dukani inauzwa Sh.10000/= Na wewe hauna pesa ila hiyo nguo unaitaka, ukaamuwa kwenda kukopa kwa kaka ako Sh.5000/= na...
Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini
Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani.
Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza kucheza naye maana alishatolewa meno!
China ilibweka sana kutishia Spika wa bunge la marekani Pelosi...
KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU.
Anaandika, Robert Heriel.
Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana.
1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea.
Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao...
Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album.
yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.