bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Bongo huduma kwa wateja ni sufuri

    Nimeenda duka la simu kuulizia kitu fulani, mwenye duka alishakuwa maarufu ndiyo maana niliagiziwa pale, nimeshangaa sana yuko makini na Instagram, hanisikilizi. Mara ana 'screenshot' Instagram anamtumia mfanyakazi wake namuongelesha hanisikilizi. Hivi tutafika kweli kwa mtindo huu? Kwamba duka...
  2. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

    Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili. Ni wakati muafaka wa...
  3. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  4. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Manispaa ipi ya Dar imeendelea zaidi?

    Ishu vipi wakuu, Wakubwa leo kuna swali linalosumbua baadhi ya watu wanaoishi katika jiji letu kubwa la Dar es salaam. Swali lenyewe linahusu wilaya zetu tano za mkoa huu wa Dar es salaam. Yani wilaya 1) Kinondoni 2) Ilala 3) Ubungo 4) Temeke 5) Kigamboni Swali lililopo ni watu kutaka kujua...
  5. Pure_sapiens

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo, chemsha bongo. Karibu uweke jibu lako

    Habari watu wote wa hili jukwaa la elimu. Leo kuna mtoto wa kaka angu amekuja na hii chemsha bongo na kusema ukweli naona kuna kila dalili ya mimi kuchemsha. Iko hivi" Nguo dukani inauzwa Sh.10000/= Na wewe hauna pesa ila hiyo nguo unaitaka, ukaamuwa kwenda kukopa kwa kaka ako Sh.5000/= na...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa hip-hop wa bongo, wamejipoteza kwenye game wenyewe

    Picha hii inamuonesha Nash MC, mmoja kati ya wasanii wa Hip Hop Nchini Ni wazi muziki wa hip-hop wa bongo umepotea kabisa. Wasanii wa hip-hop hawafanyi vizuri sokoni yani kwa sasa bongo ukiimba hip-hop unaonekana kama umechanganyikiwa. Tofauti na zamani kidogo hiphop ulikuwa inafanya vizuri...
  7. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa mpira bongo ni lazima kuongea kiingereza ugoko?

    Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko? Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani? Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
  8. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini scale za geologists kwa bongo ziko chini kuliko meneja wa vitengo?

    Wanabodi, nimefuatilia mambo ya migodini nikagundua geologist, engineer ambaye ana cheo kama geology manager, au Gelogy supervisor mshahara wao unakuwa wa kawaidi, mfano 9-10 Million/mwezi wakati Supervisor wa maendeleo ya jamii anakula hata million 14. Je hii ni kwanini au wana malipo ya ziada...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Kevin Lameck Bongo TV na Mohamed Said Sehemu ya Pili

  11. B

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kariakoo Derby yawaleta Africain Bongo

    Uongozi wa Klabu ya Africain ya Tunisia umetuma mashushu ili kuja kuangalia mechi kati ya Yanga na Simba itakayofanyika siku ya tarehe 23 Oktoba. Wataalamu hao wa kusoma mchezo yaani 'match analysts', wanatarajiwa kushuka nchini siku ya Ijumaa na taarifa za ndani zinasema washapata tiketi kwa...
  12. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  13. M

    JamiiForums Tanzania China kajipambanua kama chui wa karatasi: Hapa bongo tunasema ni "nyoka wa kibisa"

    Mabeberu yameshamgundua china kuwa ni chui wa karatasi! Chui wa karatasi ana sura ile ile ya chui na ametoa meno lakini hawezi kuuma!! Ni sawa na nyoka wa kibisa ambaye hata watoto huwa wanaweza kucheza naye maana alishatolewa meno! China ilibweka sana kutishia Spika wa bunge la marekani Pelosi...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kibongo bongo hawa ndio mashujaa wa nchi yetu

    KIBONGO BONGO HAWA NDIO MASHUJAA WA NCHI YETU. Anaandika, Robert Heriel. Ifuatayo ni orodha ya mashujaa waliopo katika nchi yetu. Ukiwaona watu wa namna hii waheshimu Sana. 1. Vijana ambao hawajaajiriwa lakini wanajitegemea. Shout-out Kwa wanangu wote wa kitaa, na warembo wote ambao...
  15. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Wasanii wa bongo hawatoi album, wanatoa tu nyimbo nyingi kwa siku moja

    Hizi nyimbo wanatoa wakina HARMONIZE (HIGH SCHOOL), IBRA (THE KING OF NEW SCHOOL) .kwa upande wangu ni mkusanyiko wa nyimbo kali tu. na sio album. yale maneno ya ROMA MKATOLIKI kwenye nyimbo ya 2030 " MZIKI UMEJAA STRESS KILA NYUMBA INA MSANII " ayo maneno yalikuwa yapo sahihi na ndo...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bongo hakujawahi kuwa na msanii mkali wa Reggae kama Bahati Bukuku

  17. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Simu za Google Pixels zinauzwa bei gani Tanzania?

    Hizi simu bongo dukani ni sh ngapi wajameni Hii Simu ninaitafuta Sana
  18. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania DJ SEVEN kuiwakilisha bongo kwenye tuzo za Afrimma

    DJ wa harmonize ajulikanaye kwa jina la DJ Seven atajwa kushindania tuzo za Afrimma. Wametajwa wasanii wengine was bongo. Full story hapa:
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ni Msanii Gani wa Bongo Fleva mwenye Nyimbo nyingi wa wakati wote,? Sugu, Juma, mond au prof

    Watanzania kwenye suala la kuweka kumbukumbu na takwimu tuna tatizo kubwa sana, kuanzia mtaani Hadi serikalini. Leo nimekaa nimejiuliza he ni msanii Gani wa Bongo Fleva anayeongoza Kwa kurecord trucks nyingi na zilizokuwa released sijaweza kupata jibu, lakini Kwa mawazo yangu anaweza akawa kati...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Mzungu hana rafiki, kapindua meza Kenya ipo siku atapindua meza Tanzania!

    Hakuna mtu alikuwa karibu na mzungu kama Raila, hakuna aliyekuwa ana ushawishi mbele ya mzungu hapa Afrika kama Raila mpaka hata walisema Obama ni cousin yake, lakini siku imefika na mzungu kapindua meza na Raila hatakiwi tena. Najua mtasema Ruto kashinda kidemokrasia lakini ukweli ni kwamba...
Back
Top Bottom