bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. M

    JamiiForums Tanzania South Afrika: Wafanyakazi wamemfurusha nduki Rais Ramaphosa asihutubie. Wanadai hajali watu wa chini

    ANC president Cyril Ramaphosa has abandoned Cosatu’s May Day celebrations at the Royal Bafokeng Stadium in the North West. Cosatu’s main May Day celebrations descended into chaos after a scuffle broke out at the Stadium. #WorkersDay2022 Cosatu’s May Day celebrations descended into chaos...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwijaku: Arusha ndio mji pekee Mlima Kilimanjaro unapatikana

    Akihojiwa na mwandishi wa habari wa kituo kimoja cha tv katika uzinduzi wa filamu inayotangaza vivutio vya kitalii Tanzania. Mwijaku ameulizwa kwa nini uzinduzi wa filamu ya Royal Tour unafanyika Arusha? Amejibu kwa sababu mkoa wa Arusha ndio mji unaopatikana mlima Kilimanjaro. Mwijaku amekuwa...
  3. Mokaze

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo kwa wapenzi wa Fizikia (Physics)

    Wakuu wapenzi wa Physics ni matumaini yangu hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye swali:- Hivi ikitokea mtu akatoboa tundu katika ya dunia, tundu hilo litobolewe hapo ulipo na lipitie katikati ya dunia (the core) na litokeze upande wa pili wa dunia, tundu hilo liwe kubwa la kuweza kupenya...
  4. snipa

    JamiiForums Tanzania Account za Wasanii YouTube bongo zinasemekana kudukuliwa, kwanini Sio kweli ?

    Kumekuwa na ongezo la account youtube kusemekana zimedukuliwa , hii inatokana na kuwa. Wasanii wanashare logins zao na website za boosters, na ndipo Hao jamaa at the end wanapodai wanadeliver hiyo service, wao wanashare contents zao kama streaming za crypto. Ndio mwisho wa siku account...
  5. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Steven Mangele (maarufu Steven Nyerere) kuna uhusiano gani wa bongo movie na CCM?

    Assalam wana jamvi! poleni na majukumu ya hapa na pale katika maisha! Moja kwa moja niende kwenye hoja! wakati mwingine ni kweli yamkini hainihusu, lakini hiki ndo kizazi chetu, ndo vijana wetu, na watoto wetu lakini pia ndo ndugu zetu! Muhusika niliemtaja kwa mtazamo wangu ni kama kwa sasa...
  6. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa Bongo Movie wanatuonaje?

    Leo nikasema ngoja niangalie vya nyumbani nimefungua YouTube. Nikawa naangalia tamthilia moja ya bongo muvi, asa kuna sehem mama mjamzito amepigwa risasi basi watu waliomzunguuka wakaita ambulance. "hallo ambulance kuna ajali hapa" na yule ambulance akajibu "sawa nakuja" 😂 Nikajisemea mwenyewe...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Huyu spider Man wa Bongo achukuliwe hatua kwa kuhamasisha ushoga akikata viuno barabarani

    Kuna video imekuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha kijana wa kiume aliyevalia mavazi ya spider Man akikata mauno barabarani kwenye zebra akicheza taarabu. Mamlaka husika yapaswa imchukulie hatua kwa tabia mbaya alionesha akiwa kwenye zebra ya kuhamasisha ushoga. Kijana huyu...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tuweka ushabiki pembeni: Staa gani anajua kuvaa na kupendeza hapa Bongo?

    Jux Ommy Ali Kiba Diamond Kamikaze
  9. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Watoto wa Rais wa zamani wa Gabon (Omar Bongo) wafunguliwa mashitaka Ufaransa

    Watoto wanne wa Rais wa zamani wa Gabon, Omar Bongo wamefunguliwa mashitaka Nchini Ufaransa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha za umma, matumizi mabaya ya mali za makampuni na rushwa. Watoto hao Grace, Betty, Arthur na Hermine Bongo, wote wakiwa na zaidi ya miaka 50 walifunguliwa mashitaka hayo...
  10. Informer

    JamiiForums Tanzania Uber yasitisha huduma zake Tanzania, yazitaja nauli elekezi Latra kama sababu. Itarejea kanuni zikibadilishwa

    Wakuu, Usiku huu Uber wametuma ujumbe unaosomeka hivi: 👇🏾 Huduma ambayo ilianza kama wazo tu — la kutumia simu yako kupata usafiri ndani ya dakika chache— Mfumo wa Uber umeenea duniani kote na zaidi ya safari milioni 15 hufanyika kila siku kupitia kwenye mfumo huu. Imekuwa ni heshima kubwa...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo kulikua na upigaji mkali kwenye awamu ya tano, wanaume walilipiwa ili wazae

    NHIF iliwalipia wanaume wengi kujifungua uja uzito kwa upasuaji au njia za kawaida..... ========================== A male with a big belly. PHOTO | COURTESY Dodoma. The National Health Insurance Fund (NHIF) reportedly paid hospital bills for male patients to either undergo caesarian or...
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ya sasa imekuwa kama Bongo Movies!

    1. Hawaeleweki wanataka na wanasimamia nini kama yasivyoeleweka maudhui ya bongo movies! mfano: kufeli kwa ukuta na ukusanyaji wa michango mbalimbali ya fedha kutoka kwa walalahoi 2. Wamekuwa na vijikaulimbiu (slogans) viiingi visivyo na maana kama titles za bongo movies. baadhi ya...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Jean Jacques Nadala: Refa aliyedharauliwa na wachambuzi wa Bongo kuchezesha Kombe la Dunia, 2022

    Yule refa aliyechezesha mechi ya RS Berkane vs simba jijini DSM aitwaye Joseph Nadala wa Congo amekuwa miongoni mwa marefa nane kutoka Afrika watakaochezesha Kombe la Dunia. Ni habari mbaya kwa makanjanja yaliyoskitishwa na ushindi wa Simba kwa kudai goli la sakho lilikuwa offside Pia...
  14. DUMEGUY

    JamiiForums Tanzania Je Oneplus 7t Pro 5g inasupport mitandao ya bongo?

    Habari za saizi, Naitaji kujua Oneplus 7t pro 5g Mclaren edition inasapoti mitandao ya bongo? Nimeuliza hili swali baada ya kuchukua simu unlocked from USA ilikua Tmobile . Msaada
  15. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Bongo mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi

    Tanzania tuna utaratibu wa kushangaza. Mtu akistaafu ndiyo anaanza kufanya kazi, tena kwa bidii na maarifa zaidi. Huko ughaibuni mtu akistaafu anaanza kusafiri kutalii. Anatulia akiburudika na michezo au hobby mbalimbali. Huku kwetu hali tofauti kabisa. Mtu akistaafu ndiyo kazi inaanza. Tena...
  16. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Ukraine kwasasa ni bora kuliko maisha ya bongo!

    Natamani kuishi Ukraine kwenye vita mana kule hakuna umbeya umbeya mitandaoni.... Huku bongo mara huyu katoka na huyu... Mara Steve sijui kafanyaje... Mara huyu katupia utupu wake.... usipotembelea gar utambia masikini, mara umefirisika.... Mara post kali zakina Mangekimambi na kigogo ...
  17. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  18. khomgodlove

    JamiiForums Tanzania Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu

    Youtube inachukua asiliamia 30 kama income tax (withholdtax) ambayo sidhani kama inafika ama kurudi hapa nchini kwetu. Mfano: wimbo mmja wa DIAMOND PLATNUMZ uliwahi kufikisha Milioni 100 za kitanzania asilimia 30 yake ni milioni 30 zote zinakwenda USA. Kungepatikana namna hata ya nchi...
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Staa wa Bongo Muvi, Pastor Myamba apata ajali ya gari

    Emmanuel Myamba almaarufu Pastor Myamba; ni staa mkongwe wa Bongo Movies ambaye alikuwa muigizaji mwenza katika filamu nyingi za marehemu Steven Kanumba. Pastor Myamba amedhibitisha kupata ajali mbaya wikiendi iliyopita ila wakapona bila majeraha mabaya. Pastor Myamba ambaye wengi wanamfahamu...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Tuzo za muziki Tanzania, ivi bongo tuna matatizo gani jama

    Juzi wizara husika kwa kushirikiana na vyombo vengine vya kisanaa vilitangaza shortlist ya majina wanaogombea tuzo mbalimbali ikiwemo tuzo za wasanii bora wa muziki Tanzania. Kinachoshangaza sana, wasanii wanaoiwakilisha nchi kimataifa i.e. diamond, alikiba, zuchu, rayvanny etc hawajajitokeza...
Back
Top Bottom