Wachambuzi wa bongo hawajui tofauti ya 'defend' na 'defence'

mdukuzi

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
15,989
35,668
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
 
wewe umesoma literature na sio English language hujui grammar ndo' maana unatafsiri kiswahili kiingereza.

Screenshot_20221127-160058_English.jpg
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct
Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Watayajuaje hayo kama wameshindwa kujua hata lugha yao wenyewe, kuna mtangazaji mmoja sikumbuki ni wa redio gani, hajui tofauti ya
  1. Baada ya... na badala ya...
  2. Dhana na zana
  3. Mazingira na mazingara
  4. Mujibu na wajibu
  5. Imani na itikadi
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Hakuna kitu kinanikera kama mtu kusema Ball position badala ya Ball possession
 
AC VITA..
BAADA YA AS VITA.

Tanzania prisons.
Tanzania prizon.

Singida big stars.
Singida big bullets.

Uwanja wa sheik abeid karume.
Uwanja wa sheick Abed Karuta.

Inter Milan
Internationale Milan.

Mambo ni mengi muda ni mchache.
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Watumie Kiswahili wachekwe kuwa hawakumaliza Kayumba Sec huko.
 
Mimi kama mtaalamu wa literature naumia sana kuona wachambuzi wasomi wenzangu akina Ally Mayayi na wenzake.

Hawajui tofauti ya neno defend na neno defence.

Defend ni verb
Defence ni noun

Verb ni kitendo
Noun ni nomino au jina

Hivyo basi defend ni kulinda
Defence ni ulinzi

Msikie huyu mchambuzi "wachezaji wa timu hii wameamua kudefence'
This is not correct

Usahihi ni kusema timu fulani imeamua kudefend

Ongeeni tu kiswahili sio dhambi
Pia utawasikia "Wachezaji wengi wa Simba wanapatwa na majeruhi kwa kuwa hawana mwalimu wa viungo."
 
Back
Top Bottom