Nakutafutia location/center nzuri ya Uhakika kwa biashara yako

Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji.
Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua
Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
Mtaji 20M, naomba aina ya biashara na location
 
Wenye mitaji hawajui cha kufanya,wasio na mitaji Wana idea nzuri za biashara hatari sana
 
Back
Top Bottom