Idea ipi ya biashara mtaji 1,500,000

6Lack

New Member
Jul 22, 2023
1
1
Habari wanajamii,

Mimi ni kijana niko chuoni Nina laptop yangu yenye thamani ya 1,500,000 natumia ina best specifications nilinunua kwa kazi za graphics na chuo masomo ya IT sasa nilawa siingizi kiasi nilichokua nataraji as watu wengi wanataka kazi kwa bei nafuu mno sasa laptop ikawa haini ingizii pesa sasa nikawa nimepata mteja nafikiria kuuza pesa nifanye mtaji wa biashara kama 1.5 m.

Sasa nafikiria je, ni sawa niuze nifanye biashara na biashara ipi hasa pia iwe haitumii muda wangu sana au nipambane nitafute soko la graphics na how? At least niweze ku earn 300,000 kwa mwezi?
 
Back
Top Bottom