biashara

  1. Beberu

    JamiiForums Tanzania Una operate vipi branch za biashara yako huku zikikupa faida?

    ........... (Salamu) Wakuu kwa wale wafanyabiashara au wale wenye elimu ya biashara , nina biashara yangu moja naifanya, sasa kwa sasa nataka nifungue branch nyingine ya pili mtaa mwingine, (nipo Dar, Ubungo) Changamoto kwangu naona sina uzoefu wa kusimamia hizi biashara, hii ya kwanza naiweza...
  2. Fabian Vitus

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha wanawake kuifanya miili yao kama biashara ni nini?

    Hivi karibuni kumekuwa na lindi la wanawake katika maeneo mabalimbali mpk katika mitandao hii ya kijamii kufanya MIILI YAO kama BIASHARA ikifika kipindi hiki nakumbuka tangu mwenyezi Mungu alivyoumba ulimwengu nakumfanya hawa kama msaidizi tangu alivyoingia katika kishawishi kudanganywa na...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maharage ana biashara ndani ya TTCL ndio maana nimemtoa

    https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY === Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo. "Maharage tumekutoa TANESCO na nikachukulia uzoefu wako wa DSTV nikaona sekta ya TTCL ingekufaa zaidi. Sasa baadae...
  4. Salahan

    JamiiForums Tanzania Biashara soksi aina zote China

    Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379 men's socks 6.5rmb(dazen) X 379=2463.5Tsh kwa dazen 1 sawa na 206 kila soksi women's socks 6.8rmb(dazen) X...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Kuelewa biashara ya hewa ukaa. Njia kuelekea mazingira bora

    Habari! Je, umewahi kujiuliza jinsi tunavyoweza kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uzalishaji wa gesi chafu kwa ufanisi? Hapa ndipo Biashara ya Hewa Ukaa inapoingia! 🌿💨 🔍 Ni nini Biashara ya Hewa Ukaa? 🔍 Biashara ya hewa ukaa, inayojulikana pia kama biashara ya uzalishaji wa...
  6. Salahan

    JamiiForums Tanzania Biashara ya chupi na sidiria mpya na mtumba

    SIDIRIA Bei ya china 15yuan kwa kilo 1 Oda kima cha chini 100kg (belo 2) 15x100=1500yuan 1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023) 100kg nikama sidiria 1000-1200 568500÷1200=474 kila sidiria Ukiweka na usafiri nikama 700 kila sidiria...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya shipping agent na bandari kavu wanawaumiza sana clearing agent

    Wakuu poleni na majukumu. Napenda kuelezea dukuduku langu kuhusu biashara ya clearing and forwarding kwa hapa Tanzania. Hii ndio biashara yenye CHANGAMOTO nyingi kuliko biashara yeyote hapa Tanzania. Kwa upande wa serikali wanajitahidi, Ila shida nimeiona kwa hizi shipping agent na bandari...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara

    Wadau naomba kufahamu aina ya kodi ambazo fedha inayowekwa fixed deposit kwenye bank za biashara. Faida inakatwa kwa asilimia ngapi, kodi ji zipi zinakatwa? Please help
  9. Jizo33

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa utaratibu wa kuendesha ofisi ya Welding na Seremala

    Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne. (NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
  10. jashmoe32

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kukodisha Turubai

    Habarini, Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)? Material ipi ya turubai uwa inadumu, je ni pvc ikiwa na high strength polyster au pe tarps? Nitashukuru kwa msaada wenu wataalam
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Serikali ya China inafanikiwa vipi kufanya biashara huku Tanzania tukiaminishwa Serikali haiwezi chochote(Biashara na huduma)

    Swali mezani: Serikali ya uchina inafanikiwa vipi kufanya biashara na kutoa huduma kwa mafanikio makubwa kwa kutikisa dunia huku Tanzania tukiaminishwa serikali haiwezi vyote ila ubinafsishaji unaweza? In fact, 71% of China's Fortune 500 companies are state-owned. State ownership is most common...
  12. Gentlemen_

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    TAKWIMU: Biashara ya NGONO ndio Biashara inayofanywa na WANAWAKE wengi zaidi. Ndio ukweli, Nimekuwa mtu wa kwenda katika maeneo ya starehe hasa katika mji wa DSM. Katika Bar/Night Club hizo WANAWAKE ndio wengi 1> Wahudumu 2>Wanywaji Hao wote wengi wao ni wafanyabiashara. Sasa piga mahesabu...
  13. Salahan

    JamiiForums Tanzania Unanunua bidhaa masoko ya China, njoo nikuuzie yuan(rmb) bei kitonga

    Habari Wakuu. Kwa wale wanaonunua bidhaa masoko ya China hasa Yale yanayouza China tu (domestic) hukumbana na changamoto za njia ya malipo. Wachina wengi njia yao kubwa ya malipo ni Alipay na Wechat kwa pesa ya kwao Chinese Yuan. Chukulia Chimbo kama 1688 unaishia kula kwa macho maana huko ni...
  14. Street brain

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF, Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu. Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...
  15. Webbyllon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hii biashara ya utumwa ukiitafakari inaumiza sana: Waafrika tulifanywa kama bidhaa!

    Tunachotakiwa kukidai kwa wakoloni na wote waliojihusisha na biashara ya utumwa ni kwamba wanatakiwa kuomba radhi na wakiri kuwa, walitufanyia jambo la kinyama sana! Cha kusikitisha ni kwamba hadi sasa hakuna aliyewahi kujitokeza kuomba radhi rasmi, japo wanakubali kuwa biashara hiyo...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kufanya biashara na mkeo inachekesha na inapendeza

    Nimefanya biashara kwa miaka kadhaa. Nimefanya na watu mbali mbali wake kwa waume, ninaowajua kwa sura na wengine kwa mawasiliano pekee. Nimefanya na wa masafa ya mbali na majirani pia. Kati ya biashara zote hizo biashara niliyoona ni ya kipekee sana na zile nilizofanya na wake zangu. Kumbuka...
  18. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Elimu juu ya bodi ya wakurugenzi

    Bodi ya Wakurugenzi ni sehemu muhimu ya uongozi wa kampuni au shirika. Majukumu ya Bodi ya Wakurugenzi: 1. Kutoa mwelekeo na sera za jumla za kampuni. 2. Kuchagua na kusimamia Mkurugenzi Mtendaji (CEO). 3. Kuhakikisha utawala bora na uwajibikaji. 4. Kuidhinisha bajeti na mipango mikubwa ya...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akataa mwananchi kueleza shida kwenye mkutano, amtaka amfikishie kupitia mbunge

    Rais Samia leo September akiwa mkoani Mtwara alisimamisha msafara wake kuongea na wananchi wa eneo hilo. Moja wananchi hao aliomba kuongea jambo ambapo Rais alimwambia mambo ni mengi na Tanzania ni kubwa. Rais Samia alimtaka mwananchi huyo ampatie jambo lake mbunge kisha amfikishie Rais au...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Bashe: Serikali imeamua korosho yote itabanguliwa Mtwara 2025/26. Asema kuuza korosho ghafi ni biashara ya kizamani

    Akiwa kwenye ziara ya Rais Samia leo Septemba 16, 2023 waziri Bashe ameongelea suala la korosho alipotakwa na Rais Samia aelezee bei ya msimu huu. Bashe amesema bei ya mbaazi na ufuta ilikuwa ilikuwa inaridhisha na wanaomba Mungu wakitaraji pia bei ya korosho itakuwa njema. Pia Bashe amesema...
Back
Top Bottom