biashara

  1. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na ukubwa wa biashara ya ukahaba Tiktok, kweli siku hizi haina haja kujipanga Riverside

    Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
  2. JamiiForums Tanzania EU yazipa benki za ndani bilioni 43 kuziwezesha biashara ndogo na za kati

    Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania. Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kutoa mikopo kwa benki za ndani, na maendeleo haya makubwa yanalenga kuboresha upatikanaji wa...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua Alizofuata Mr.Juma Kuanzisha Na Kukuza Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja

    Utangulizi. Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi. Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia kuendelea kutumia dola katika biashara ya mafuta

    Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake. Saudi Arabia bado haijathibitisha ikiwa inataka kujiunga na muungano wa BRICS na imesimamisha uamuzi huo kwa zaidi ya mwaka...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana tuongee kuhusu fursa mbalimbali ikiwemo biashara

    Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
  6. JamiiForums Tanzania Kufanya biashara kunafikirisha sana hasa ukiwa na mtaji mdogo unahitaji uwe na back-up usogee

    Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na mzunguko umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara. Niliwaza nifanye biashara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Biashara ndio kitu pekee mbadala wa AJIRA

    Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia siku moja tutakaa na watoa maamuzi wa Taifa na watatusikiliza kwa TUO. Miezi kazaa nyuma niliazimia...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wazo la biashara Morogoro mjini

    Wanajukwaa habari za Asubuhi, Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
  9. L

    JamiiForums Tanzania CPA wa mchongo umeshindwa kweli kushauri Simba iwe na banda lake pale maonyesho ya Saba Saba ili mfanye biashara?

    Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana. Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu Zaidi Kuhusu Biashara Ya Kununua Na Kuuza Viwanja JUNI 2024

    Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida. Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile: ✓ Kuendeleza miundombinu, ✓ Kuomba...
  11. JamiiForums Tanzania Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

    Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili: 1. Makazi pekee. 2. Makazi na biashara. Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je? Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
  12. JamiiForums Tanzania Uzinzi na biashara

    Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi Au ukiwa na mahusiano na watu flani flani? Binafsi nina ushuhuda Ukiwa msafi namaanisha haujamiiani mauzo na...
  13. 0

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wa mtandaoni bongo, mna shida sana

    Hivi ni nini huwasumbua hawa wafanyabiashara wa bongo ambao pia wanajihusisha na kutuma mizigo kwa wateja wa mikoani? Kabla hujawatumia hela wanakuwa na customer care nzuri saana. Wanajibu message kwa wakati, wanazielezea bidhaa zao vizuri hadi mteja unaridhika na kujisemea moyoni, hivi ndivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Banda la biashara Moshi Linahitajika

    Kama kichwa kinavyojieleza, natafuta Banda la kununua Moshi mjini..Banda la bati linalohamishaika.....Mwenye nalo anicheki hata inbox
  15. JamiiForums Tanzania Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  16. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu

    Je, unahitaji huduma bora za Graphic Design? Kama jawabu ni ndio! Basi hii ni sehemu sahihi ya kutatua haja yako. Tunatoa huduma bora za graphic design kwa bei nafuu: 🔹 Huduma ya Logo design zenye kuvutia na za kipekee. 🔹 Huduma ya business Card design. 🔹 Huduma ya Flyer 🔹 Huduma ya poster...
  17. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  18. JamiiForums Tanzania Unajilipa bei gani kwenye biashara yako?

    Wakuu habari Kwa wale mnaofanya biashara zenu wenyewe ambao hamtegemei mshahara kutoka kwenye ajira za Serikali au private company.. Haya naomba mtuambie hapa, wewe na hiyo biashara yako unajilipa mshahara bei gani Kwa mwezi? Na unafanya biashara gani? Tuambie Gross salary na net net salary...
  19. P

    JamiiForums Tanzania MKIAMBIWA SIASA NI BIASHARA MUWE MNAELEWA: MSIGWA HUYOOO CCM

    Siasa ni biashara nzuri sana. Binafsi naipenda. Msigwa baada ya kuona ugumu wa kufanya biashara CHADEMA ameamua kutimkia CCM. Nadhani wananchi maskini na wanyonge mna la kujifunza hapo.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya Studio za kuuza movie na game stations

    Habari zenu wadau? Natumai mpo salama na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Mimi ni kijana mtafutaji. Tafadhali naomba ushauri kwa wale wenye ujuzi kuhusiana na suala la Studio za kuuza movie na game stations. Je ikiwa nina mtaji wa milion 3 itatosha kufungua ofisi ya kurusha movie na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…