moja kwa moja...
1: Watu wanaofanya biashara kwa sababu hawana option nyingine ila wakiipata wanakimbia.
2: Ndugu za hao mabosi wamiliki wa hizo biashara. Ndugu mwema sio lazima awe mwema kwenye kusimamia mambo yako ya msingi. Ndugu hawa wengi hawana morali na hiyo kazi na wengine wengi...
Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi.
Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
Kumekuwa na tabia ambayo imezidi kumea katika jamii yetu na nchi kwa ujumla kwa makampuni ya mikopo kutuma msg kwenye siku zetu wakitangaza huduma zao.
Idara za masoko za makampuni ya kukopesha yamekua yakituma msg kwa wananchi kujitangaza ili kuoata wateja.
Hofu yangu kubwa ni wapi wanapata...
Anonymous
Thread
biashara
faragha
makampuni
matangazo
mikopo
namba
simu
wapi
Ukweli kwa sasa, dini hasa makanisa imekuwa kama chambo Cha kupiga fedha za watu, kibaya zaidi sasa hasa wanaojiita manabii wengine wanatoka hata nje kuja kupiga pesa kwa kulaghai raia na kujitwalia utajiri mkubwa na pesa nyingi ambazo hazilipiwi Kodi. Ni vyema tubadilike tuanze kufanya...
Kuna viwanda zaidi ya 3000 eneo la kisarawe two soon vitaanza uzalishaji, Vikindu kuna viwanda zaidi ya 1000 vikiwa katika hatua ya mwisho ya ujenzi, Kibaha kuna viwanda zaidi ya 500 vikiwa hatua ya mwisho ya ujenzi tayari kuanza uzalishaji.
Niwakati sasa kwa serikali kuangalia labor force...
Wakuu habarini
Nauza shamba la miti ya mbao ekari 4 lina jumla ya zaidi ya miti 2350 kwa bei ya kila mti 8,000 na midogo 6,000 kwaio jumla inakua 15milioni. Shamba lipo mafinga,Iringa.
Wanaume kwenye familia imekuwa ni jukumu la msingi kuhudumia familia lakini bado wanaume ndo wenye jukumu la kuhakikisha ndoto za familia na maendeleo mengine yakue kwa kipato anachopata.
Lakini naomba kuuliza endapo mwanaume hasa waliopo kwenye ndoa je unapoamua kutafuta mtaji na kufungu...
Wakubwa kwa mtu mwenye mtaji wa milion 10 biashara ipi ni ya uhakika Dar,
1. Uuzaji nguo,
2.uwakala(mpesa,tigo,banks),
3.usafirishaji abiria kwa bajaji
Habari zenu ndugu zangu.
Naombeni kwa anayefahamu chochote kuhusu biashara hii ya shule za watoto wadogo anipe muongozo japo kwa uchache kwa kuzangatia yafuatayo:
1. Utaratibu wa usajili wa kituo na kiasi cha pesa cha kusajili
2. Curriculum nzuri ya kutumia ambayo ni applicable
3. Faida na...
Uingereza - 1833
Ufaransa - 1848
Marekani - 1865
Saudi Arabia na Yemen 1962,
Oman 1970
Mauritania 1981
Hadi leo Biashara hizi zinaendelea kimagendo
-Libya
-Western Sahara
Kwa nchi kama Saudi Arabia mpaka leo kuna unyanyasaji unaendelea kama kuporwa paspoti, vipigo, kubakwa, kulalishwa njaa...
Habari wakuu, hivi ni kweli biashara hizi bila ndumba hutoboi? Sisi wengine tupo kati kwa Mungu kama hatupo na kwenye ndumba ni weupe kabisa ila ndio hivyo tunaforce hivyo hivyo. Mimi nimeanza biashara za ziwani ila mambo ninayoambiwa hadi naogopa, wanasema watu wamekuja na mitaji yao wamepotea...
Maana bila pesa hapo katikati ni sawa na hasara kwenye biashara. mapenzi hayafanyiki kabisa..
Mtu moja ana hudumia au kuhumiwa na michepuko zaidi ya minne,
ukavu na msinyao wa via vya uzazi ni wa kupindukia..
Bila pesa wapenzi hawakutani, lakini pia bila fedha hakuna mawasiliano ni ukimya tu...
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo.
Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti...
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeungana na wananchi wa kizimkazi Zanzibar kwenye siku ya utalii kusherehekea ufahari wa utamaduni wa Kitanzania, vivutio vya utalii, umoja na mshikamano katika tamasha la Kizimkazi linaloendelea kufanyika visiwani Zanzibar.
Benki imeendelea kusisitiza dhamira...
Habari
Nina kabiashara kangu ..ningependa nipate software ambayo itanisaidia biashara yangu kusambaza, kurecord kutrack ambao nowadai(madeni) kupiga haasara na Friday. Bajeti yangu ni 50k
kwa mfano,
Mtandao wa Tigo unasumbua hata kutuma pesa zinakwama, wao hawajatoa taarifa kwa wateja kuwajuza kuna tatizo, wana act kama kila kitu kiko sawa, kinachotokea ni watu wanazidi kufanya miamala na malalamiko yanazidi.
kulikua na haja gani yakua na mitandao ya kijamii kama hawawezi...
Wakuu nina kiasi cha 2M kama mtaji na ni juzi nimetoka Chuo Dar wa Salaam nimeamua kurudi mkoani kwa mzazi wangu Geita kuanza maisha maana hadi umri huu wa miaka 24 siku zote pesa nilikuwa napewa na wazazi mmoja akafariki
Natamani kufanya biashara
Nimesoma Degree ya business administration. So...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.