biashara

  1. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  2. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Mwijaku amwandikia Waraka Mzito Masoud Kipanya, adai anafanya biashara haramu

    Pia Soma: https://www.jamiiforums.com/threads/mwijaku-amuomba-msamaha-masoud-kipanya-baada-ya-kumtuhumu-kuwa-anafanya-biashara-haramu-na-kutukana-viongozi-akiwemo-rais.2223427/
  3. Top007

    JamiiForums Tanzania Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

    Habari! Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi ) ====== Pia soma: Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje? Ushauri: Nataka...
  4. Syslog_co_Ltd

    JamiiForums Tanzania LETA WAZO LAKO TUKUTENGENEZEE MFUMO WA BIASHARA

    Ni rahisi sana kumiliki App yako ya biashara. Njoo na wazo lako Syslog Company Limited tutalifanyia kazi. Tupigie /WhatsApp 0754446773 | Email: info@syslog.co.tz
  5. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Wakuu hii game imekuwa tough sana fujo za Kila aina nimemuonea huruma kimsingi amejitahidi kwa uwezo wake. ---
  6. Mfugaji123

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Jinsi ya Kufanya Biashara kwenye internet ( Mtandaoni)

    Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
  7. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara alizwa na matapeli wa mtandaoni Zanzibar

    https://youtu.be/lzqi1c0ZS1M?si=FK6R2UCMqI0h-oSz Mfanya biashara maarufu nchini amelilia waziri Mwinyi kushughulika na genge la matapeli wa mtandaoni wanao tapeli watanzania wa bara na visiwani ambapo hivi karibu aliagiza baiskeli ya mtoto kwa kutoa shilingi laki nne na tisini lakini hajapata...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa kuanzia kwenye biashara ya accessorie unaweza kuwa kiasi gani?

    Jaman naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu Wa biashara ya accessories nilikuwa naomba kujua mtaji wake wa kuanzia accessorie ipi inatoka zaid na zipi mzunguko wako ni mlefu na mengine mengi nisiyoyajua kuhusu that business
  9. S

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha mitandani, yameiweka serikalini mfukoni au hii ni biashara ya watawala?

    Katika mambo ya kushangaza hapa nchini, ni uwepo wa haya makampuni ya kukopesha mitandaoni ambayo yanaonekana kufanya hii biashara kiholela lakini kwa kutumia mitandao ya makampuni ya simu jambo ambalo linashangaza sana. Yaani biashara haramu inafanyika huku taasisi za kuthibiti huu uharamu...
  10. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nimefungua biashara lakini inaonekana mwenye nyumba kazindika Fremu zake

    Wakuu kuna biashara nimefungua sehemu lakini unashinda siku nzima hujauza hata mia. Location ni nzuri ni karibu na center kubwa kabisa. Hizi fremu watu hawakai huwezi kuta mtu amemaliza haya miez 6 . Nimekuja kuanza kusikia maneno baada ya kuchukua fremu kwamba mwenye napo kuna vitu amefanya...
  11. vnn

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara waiomba serikali, kuambatana na Rais katika ziara za nje ya nchi!

    Jumuiya ya Wafanyabiashara Kariakoo imeiomba Serikali kuweka utaratibu wa wafanyabiashara wa kati kuambatana na Rais Samia Suluhu katika ziara zake nje ya nchi ili waweze kujifunza mambo mbalimbali ya kibiashara.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bei ya kahawa Kagera yafikia Tsh. 4,100, shangwe kila kona ya mkoa

    Na Bwanku M Bwanku Kagera ni moja ya mkoa wa kilimo na mazao mbalimbali yanalimwa. Kwasasa ni msimu wa zao la kahawa ambalo ni moja ya zao linalolimwa. Toka Tanzania ianze, bei ya zao la kahawa ilikua inagotea kuishia 1,100 kuzunguka hapo lakini leo chini ya Rais Samia Suluhu Hassan bei ya...
  13. Blender

    JamiiForums Tanzania BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Kwenye biashara wahalifu hawapo mbali, uliwahi kupigwa tukio gani hutasahau?

    Unaweza kujichukulia poa una biashara yako inakuingizia visenti kadhaa lakini jua kwamba wahalifu wapo bize kujaribu kubuni mbinu za kukupiga wapate chao bila kuvuja jasho. Nakumbuka kuna kipindi kulijengwa frem mpya mahala, nikaona ile sehemu kwa jinsi ilivyochanganya nichukue frem, niliweka...
  15. djchilipo

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa kwa ajili ya biashara ya kuosha Magari

    KIJANA WAKO AMEMALIZA CHUO, HANA AJIRA, Kazi ni kuzunguka tu kusalimia Ndugu, Au Kijana mwenyewe ndio Unayesoma hapa.. Umekaa Unasubiri ajira za serikali au Miujiza..? Sikiliza ndugu, PRESSURE WASHER MPYA ni KUANZIA 650,000 TU, Hiyo ni ya Petrol Na inakua Complete.. za UMEME ni kuanzia...
  16. Guatanam

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kusimamia biashara yako iliyo mbali na wewe?

    Habari wana JF, Naomba ushauri ni teknolojia gani naweza kutumia kwenye biashara yangu, hususani duka, ili kudhibiti uendeshaji na Maputo kiujumla, ikiwa nipo mbali na hiyo biashara siwezi kutembelea mara kwa mara.
  17. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  18. Mwiba1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya dhahabu

    Wazee wa migodi je ni wapi naweza kwenda kuweka karasha langu kwa sasa? Vigezo vya eneo iwe kama ifuatavyo: 1. Ningependa kutegemea wateja kwani nina mambo mengi kwa sasa sina mtaji wa kuchimbisha wala kununua mawe labda yawe makali sana yanayoweza kunirudishia gharama. 2. Ningependa nje ya...
  19. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa uache biashara uliyonoyo hadi na madeni utapoteza kiasi gani?

    kwa hiyo kazi yako unayoifanya ukaambiwa kesho uachane nayo na kila kitu ni kiasi gani cha pesa chaweza kuwa nje kwenye madeni? mm haivuki laki mbili.
  20. J

    JamiiForums Tanzania Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
Back
Top Bottom