biashara

  1. Greatthinker47

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani na mtaji wa laki tano?

    Waungwana naomba yeyote mwenye wazo la biashara Kwa MTAJI wa laki tano
  2. Dali Mpofu

    JamiiForums Tanzania Biashara kati ya mtu mwenye elimu na asiye na elimu

    Katika uzoefu wangu kwenye biashara aisee kufanya biashara na watu wanaojiita wasomi ni kazi ngumu sana, kwanza ni waoga kuthubutu, kila kitu wanataka reserch. Hawajui kanuni za biashara ya kwenye vitabu huko vyuo ni tofauti na uhalisia mtaani. Unafundishwa na mtu ambae hajawai kufanya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu biashara ya lodge

    Wana jamiiForums mambo vipi.. Naomba mnisaidie vitu vya muhimu kuwepo ndani ya chumba cha lodge. Ili iongeze utofauti na mvuto wa lodge.
  4. Eddygotya

    JamiiForums Tanzania Tukiachana na AliExpress, ipi umewahi kuitumia hapa?

    Watu wengi ambao wamekua wakiagiza bidhaa kutoka China, wamekariri majukwaa mawili tu…Yaaani AliExpress na Alibaba Hii ni kwasababu, watu wengi hawapendi kusumbuka…. Ila ukwel ni kwamba, majukwaa haya mawili yaani AliExpres na Alibaba, ndani yake bidhaa nyingi ni bei juu(yaaani baadhi ni hadi...
  5. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Shuhuda: Kutoka Kuwa Muosha vioo vya magari kwenye Mataa sasa kwenda Kumiliki Biashara

    Kuna Video inasambaa kwenye Mitandao ya Kijamii nikaona niwashirikishe kuna la Kujifunza ============= Victor Tesha Nilikutana na mvulana mdogo sana ambaye kila siku alikuwa akisafisha kioo cha mbele cha gari langu kila niliposimama kwenye taa za trafiki hapo Moroco. Niliona jitihada zake na...
  6. realMamy

    JamiiForums Tanzania Mungu wa Mbinguni awalinde barabarani,kazini, Biashara, Shuleni na kubariki kazi za Mikono yenu.

    Wakuu Tuanze siku kwa Baraka za Mungu ikiwa kwake yeye hakuna linaloshindikana. Hata kama unapitia Magumu Mungu wa mbinguni akuonyeshe mlango wa kutokea. Kuwa na Imani utayashinda ya ulimwengu huu.
  7. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Nawaonya vijana wa leo mnaofungua makanisa kila kukicha acheni mara moja kama hamna wito, Injili sio biashara.

    Naandika Uzi huu moyo wangu ukibubujikwa na machozi. Kuna vitu vinafanyika kwenye madhabahu mpaka mtu unaogopa, na huhitaji PhD Ili kujua wengi wa hawa leo waliojipa unabii ambao sina hakika hata kama walipitia kwenye vyuo vya biblia wakapikwa wakapikika. Sio mavazi wanayovaa, si lugha...
  8. Benews

    JamiiForums Tanzania Biashara iliyoniokoa baada ya kumaliza chuo

    Habari Wadau! Sikuwahi kuwaza Kama ningekuja kuwa mfanyabiashara siku moja. Lakini hakuna ajuaye kesho. Ok nilihitimu Udsm 2019 tangu hapo sijawahi kupata kazi yeyote yakulipwa kutokana na elimu nilitosoma. Kwetu ni Moshi hivyo nikawa nashinda tu home sina hili wala lile umri unaenda na Wala...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  10. Mshati940

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo ya biashara kwa Mtaji wa Milioni 5 Mjini Bariadi mkoa wa simiyu

    Kama kichwa cha hapo juu kinajieleza kwa walio bahatika kutembelea mji wa bariadi naomba msaada wa mawazo wa fursa za kibiashara walizoziona ambazo mtu mwenye mtaji at least wa Milioni 5 anaweza kufanya na maisha yakaenda vizuri. Natanguliza shukrani
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Upandishwaji wa bei za bidhaa na huduma unaofanywa na wafanyabiashara au watoa huduma

    Mfano wa hivi karibuni Tanesco walijiamulia tu kupandisha makato ya kila mwezi kutoka 1500 mpkaka 2000 Bila kushirikisha wananchi. Leo jambo kama lile lile linarudiwa na Azam tv kwa kutangaza kupandisha vifurushi vya TV bila kuwepo sababu yoyote ya msingi ya upandishwaji vifurushi hivyo...
  12. daydreamerTZ

    JamiiForums Tanzania Sajili jina la biashara bure leo

    OFA KABAMBE! Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo...
  13. Marshmello

    JamiiForums Tanzania Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana

    Habari wana JF wote Wafanya biashara wabongo baadhi magumashi sana hasa hawa madalali na wachuuzi wa bidhaa kutoka nje China, dubai nk wanazingua sana, Sijui ni elimu ndogo niliyokuwa nayo au ushamba wangu tu Anapost biashara yake kwenye mitandao ya kijamii kama fb, Instagram au TikTok katika...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Nyeto imenipa mtaji wa biashara

    Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki). Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka mawili ya dawa Msewe, Hardware Kibaha na Uber IST 1. Mwisho japo si kwa umuhimu, nimenunua Ardhi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa atoke alipo aingie

    Sio kwa ubaya na wala sipo hapa kusema anachokifanya ndugu mwalimu ni kitu kibaya lakini nataka niwakikishie hii sio njia sahihi ya kujifunza biashara ya nafaka.Hapa mtaishia kujifunza baishara na kilimo cha makaratasi. Biashara ya nafaka na kilimo zinahitaji muhisika anaetaka kupata maarifa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya saluni (vifaa/matumizi/faida)

    Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume. Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii Pamoja Na Gharama Halisi (Makadirio) Za Kuanzisha Saluni ya Kiume. KUMBUKA BEI/GHARAMA ZA VITU HAPA...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Mabosi punguzeni unoko duka linavyostawi mauzo, Binafsi ninajua kijana ananiibia kiasi kidogo lakini nimepiga kimya, nikimtoa ni ngumu kupata mbadala

    Kuna vijana unawaweka dukani unaona kabisa uwepo wao ndio unachangamsha biashara kuanzia kutafuta wateja, ku negotiate, kutangaza biashara, kazoeleka na wateja, n.k. yaani wewe kila ukienda kufunga hesabu unakuta daftari la mauzo linameremeta. Sasa kijana kaiba lets say elf 5 au 10 kwenye kila...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada nifanye biashara gani?

    Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.. Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka? Na...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Biashara Bongo ni magumu kumaintain, Yapo Overrated kwa kuangalia wachache waliopiga mshindo, nasisitiza ajira serikalini ndio mpango

    Na kama unadhani ajira zenye mishahara midogo serikalini wana maisha magumu (mfano uliozoeleka walimu), basi hujui chochote kuhusu biashara, kuna watu wiki nzima hawauzi chochote, Maduka yanafungwa kila kukicha mtu hawezi lipa hata elf 50 ya frem, kufilisiwa nyumba za urithi kwa kushindwa kulipa...
  20. NYOLODO

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri ya kuwa Winga na Pointa wa biashara ya mitumba

    Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho) Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya kuumiza hisia ya mtu. Asee niaje? Wazee mpo?? Ni vyema kwa kias chake kuendelea kumwaga nondo na...
Back
Top Bottom