Kuna kijana amemaliza kidato cha nne hana familia inayomtegemea kwa sasa, amepata sehemu milioni 2 anataka kufanya biashara.
Zipi Kati hizi biashara zinaweza kumtoa kwa kipindi hiki.
1. Kilimo
Kwa mtaji huo atafute eneo alime mazao ya muda mfupi kama nyanya, mahindi na maharage, changamoto...
-Tupe story ilikuwaje hadi rafiki yako mpendwa uliyo amini utafika naye mbali lakin mkashindwana.
mimi nilimkopesha na simu zangu hakawa hapokei wala sms hajibu.
#bakitumolo
Nyama choma ya kuku na ng'ombe zimekuwa biashara iliyoshamiri hasa katika vituo mbalimbali vya daladala hasa jijini Dodoma na Dar es Salaam yaan mtu yeyote anaweka meza njiani na ndoo ndogo iliyojaa nyama anaanza kuuzia raia vitu kama mishikaki ya mia mbili, miguu ya kuku, vichwa vya kuku na...
Anonymous
Thread
biasharabiashara ndogondogo
kuku
mkubwa
mlipuko
ng'ombe
nyama
sana
vyakula
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuyafunga Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa 2024 yanayofanyika viwanja vya Sabasaba, Temeke, jijini Dar es Salaam.
Maonesho hayo ya Sabasaba yalifunguliwa tarehe: 03 Julai 2024 na Rais wa Jamhuri...
Habari njema Matajiri Wawekezaji,
Hongereni wote kwa kuendelea kukaa kwenye mchakato wetu wa programu ya NGUVU YA BUKU, ambapo tunajifunza na kufanya uwekezaji kwa hatua ndogo ndogo, kwa muda mrefu na kwa msimamo bila kuacha.
Kauli mbiu yetu kwenye NGUVU YA BUKU, ambayo pia ndiyo imani yetu ni...
Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu.
Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew.
Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
Jana ika-pop up video ya live Tiktok mida ya jioni/usiku, zimejaa video za wadada kitandani wengine wakifanya biashara indirect huku wengine wakiwa tayari wamejiwekea price tag na zina viewers hatari. Tanzania watu wako mitandaoni, kila video inao watu... Nikakuta moja ya kidume kajiwekea live...
Umoja wa Ulaya (EU) umetoa €15 milioni (Sh43 bilioni) kusaidia shughuli za Biashara Ndogo na za Kati (SMEs) nchini Tanzania.
Fedha hizi zitaunganishwa na mikopo kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) kutoa mikopo kwa benki za ndani, na maendeleo haya makubwa yanalenga kuboresha upatikanaji wa...
Utangulizi.
Jina langu ni Juma, na nimejikita katika biashara ya kununua, kuendeleza, na kuuza viwanja. Safari yangu ya kibiashara inaanza miaka michache iliyopita, wakati nilipogundua fursa kubwa katika sekta ya ardhi.
Mara ya kwanza nilipokuwa natafuta njia ya kujiongezea kipato, nilikumbana...
Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake.
Saudi Arabia bado haijathibitisha ikiwa inataka kujiunga na muungano wa BRICS na imesimamisha uamuzi huo kwa zaidi ya mwaka...
Kumekuwa na watu mbalimbali wenye mitaji yao lakini wameshindwa kujua biashara za kuwekeza vijana karibuni tujuzane fursa mbalimbali za kutuinua kimaisha.
Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na mzunguko umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara.
Niliwaza nifanye biashara ya...
Wasakatonge wenzangu kama mjuavyo Mimi Huwa napenda kufanya vitu ambavyo vinaweza kuacha alama kwenye jamii, japo sijabahatika kuwa miongoni mwa watoa maamuzi muhimu wa Taifa, ila amini nakwambia siku moja tutakaa na watoa maamuzi wa Taifa na watatusikiliza kwa TUO.
Miezi kazaa nyuma niliazimia...
Wanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu ni wazo gani la biashara naweza kuanzisha kwa hapa Moro kwa Mtaji huu? Wale Wa negative comments...
Hili wazo najua Yanga wataiba mwakani, Simba nawashauri ingawa mnaniudh sana kwa kukosa ubunifu, anzisheni banda lenu pale sabasaba mwakani mtapiga hela sana, mtauza CD za mechi za zamani mlizowapiga yanga, mtauza jezi, soksi, fulana.
Mtaweka makombe mashabiki wapige picha, wapelekeni wachezaji...
Land flipping (kununua na kuuza ardhi)ni mchakato wa kununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukiuza kwa bei ya juu baada ya muda mfupi ili kupata faida.
Hii inaweza kufanyika kwa kuboresha ardhi kwa njia fulani. Njia za kuendeleza ardhi ni kama vile:
✓ Kuendeleza miundombinu,
✓ Kuomba...
Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili:
1. Makazi pekee.
2. Makazi na biashara.
Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je?
Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.