barua

Barua (Assamese: বৰুৱা), also; Baruah, Barooah, Baruwa, Baroova, Barooa, Baroowa, Borooah, Boruah, Baroa is a very common Assamese surname.

View More On Wikipedia.org
  1. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Lengo kuu la kuchumbia au kupeleka barua ya posa ni nini?

    Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa Na kwanini huwa tunachumbia?
  2. Prosper Fidelis

    JamiiForums Tanzania kumbukumbu namba ya barua rasmi

    jamani walimu humu ndani naombeni mnieleweshe, unapoandika kumbukumbu namba, katika barua rasmi, kumbukumbu namba hiyo inahusiha mambo gani?
  3. D

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Majaliwa, kutoka kwa baadhi ya madereva wa Hiace Sumbawanga

    YAH: CHANGAMOTO YA KUONGEZEWA GHARAMA ZA KAZI YETU ZA KUBEBA ABIRIA KUTOKA OFISI YA MKURUGENZI YA MANISPAA YA SUMBAWANGA Mh. Waziri Mkuu, Sisi ni madreva tunaoendesha magari madogo ya abiria maalum kama Hiace yanayofanya safari kuanzia Sumbawanga kwenda wilaya za Mkoa wa Rukwa ambayo ni...
  4. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Bajaji zilizozuiwa kubeba abiria Mbezi Luisi ziruhusiwe kutokana na wingi wa abiria

    Ninayo heshima kubwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ya kukuandikia barua hii fupi. Kwanza kabisa hongera sana kwa kazi nzuri ya kuijenga taifa. Lengo la barua hii ni kuhusu marufuku uliyoitoa dhidi ya bajaji zinazobeba abiria kutoka kituo cha Mbezi Luisi zikiwapeleka...
  5. IgKim

    JamiiForums Tanzania Naomba kufundishwa kuandika barua ya uchumba

    Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa Ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa baadhi ya mabalozi wa nje wanaowakilisha mataifa yao nchini Tanzania

    NINASTAAJABISHWA sana na mwenendo wa kushtusha wa baadhi ya Mabalozi walioko Tanzania kwa kusigina kiwazi wazi maadili ya kazi zao. Tanzania ni nchi yenye upendo mwingi. Watu wake ni wakarimu sana na wanawaamini wageni, ikiwa ni pamoja na Mabalozi wa Mataifa ya kigeni hapa nchini. Mabalozi...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Kwenye Barua ya Spika Ndugai kuomba radhi bado anatudanganya Wakristo, akiri wazi kuwa yeye Imani imempiga chenga

    Kwa mujibu wa kanuni za bunge ni marufuku kuzungumza kitu usichokuwa na uhakika nacho bungeni Ndugai amepotosha makusudi hata tusipozingatia hicho anachokisema yeye aliponyokwa lakini hata kwenye Barua yake bado anapingana na bibilia (luka 2:4) angalia Maneno yaliyoblodiwa kwenye Barua yake uone...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  9. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Hatuna barua ya kumkamata Askofu Gwajima, utaratibu ufuatwe

    IGP Sirro amesema kuwa jeshi la polisi linaendeshwa kwa maandishi na kuna taratibu hivyo wanasubiri barua kutoka kwa waziri ili waangalie wanatekeleza vipi agizo lake. Pia ameongeza kuwa hayo maelekezo ameyaona kwenye mitandao ya kijamii hivyo anasubiri barua rasmi ili waangalie jinsi ya...
  10. tonnylee

    JamiiForums Tanzania Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  11. Mkazamoyo

    JamiiForums Tanzania Vunja Mbavu: Barua ya Wazi ya shabiki wa Arsenal, Yanga kwa Sa Godi

    C&P From mwanaspoti REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba. Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba. Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
  12. CONSCIOUS1996

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi: Tutasema Freeman Aikael Mbowe sio gaidi

    Tutasema " FREEMAN AIKAEL MBOWE SIO GAIDI" Kwako mhe. Freeman Aikael Mbowe. Ninapokuwa katika umri wangu huu wa karibu robo karne hakuna siku imewai kupita sijasikia jina Freeman au Mbowe maishani mwangu aidha niwe ndani ya nchi au nje ya nchi, aidha niwe online au offline. Tutasema " FREEMAN...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Taarifa Mbunge wa CCM amejiuzulu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Norway imeituhumu China kwa kushambulia Barua Pepe za Bunge lake

    Serikali ya Norway imeituhumu China kwa kuhusika na mashambulio ya kimtandao katika mifumo ya Bunge lake mnamo mwezi machi 2021. Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Ine Eriksen Soereide amesema uchunguzi umebaini kuwa mashambulizi hayo kwenye mfumo wa barua pepe yalifanywa kutoka China. Asema...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mbowe & CHADEMA: Kajipangeni Upya

    Kwako Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Ni wazi CDM mnapoteza focus maana Kama alivyosema E Lowassa mwaka 2015 kuwa Chama chenu ni wana harakati zaidi kuliko wanasiasa. Wanaharakati huenda na matukio wakati wanasiasa huenda na mikakati. Kuna mabadiliko makubwa ya kisiasa, kijamii na...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ndugulile: Tutafuta tozo zote kandamizi katika Tehama

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Faustine Ndugulile amesema watafuta tozo zote ambazo zilikuwa zinawabana vijana katika kujiajiri kwa kuendesha YouTube channels au blogs. Amesema vijana walikuwa wanapata shida kutokana na kodi na tozo zilizowekwa ktk uendeshaji wa blogs na YouTube...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
  19. Mohamed Ismail

    JamiiForums Tanzania Penzi la zamani

    Dunia inaenda kasi na maisha yanaenda kasi. Zamani upendo ulikuwa una thamani zaidi hata gharama iliyotumika ilikuwa ni ya thamani zaidi. Mahusiano yalighubikwa na maneno mazuri yenye kuvutia yakiwa yamejazwa na vionjo vyenye kusisimua nafsi. Acha masikhara yale ndio yalikuwa mapenzi. Hakukua...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Barua ya Uchumba; sababu 30 zilizonifanya nimpose Binti Yenu

    BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba na Mama Mkwe, wa Nchi ya Maziwa na Asali, inayomea miti izaayo matunda misimu yote. Neema ya Mungu...
Back
Top Bottom